Mjita Pure
Member
- Jul 29, 2015
- 42
- 24
Inafuata ZerionMaana tunaambiwa kuna mamilioni ya pesa, mabilioni na ma trillion sasa ukitoka hiyo TRILION unaingia ngapi au ndo inakuwa mwisho wa kuhesabu?
Inafuata ZerionMaana tunaambiwa kuna mamilioni ya pesa, mabilioni na ma trillion sasa ukitoka hiyo TRILION unaingia ngapi au ndo inakuwa mwisho wa kuhesabu?
centillionZlilion ndo ya mwisho kabisa
Halafu ukitoka 'shitabalwa" si ndiyo unaingia 'liwelelo' na baadaye 'Nghungumalwa'?Unaingia "shitabhalwa"
Halafu ukitoka 'shitabalwa" si ndiyo unaingia 'liwelelo' na baadaye 'Nghungumalwa'?
Maana wengi hesabu tulizikimbia tukaenda kusomea bla bla ambayo ndiyo inalipa.

TetralionMaana tunaambiwa kuna mamilioni ya pesa, mabilioni na ma trillion sasa ukitoka hiyo TRILION unaingia ngapi au ndo inakuwa mwisho wa kuhesabu?
babalao 2 inategemea budget iko katika currency gani....sifuri zinaweza fika 18.....Kama uchumi wa china kwa bajeti yao hawajafika zifuri 18 basi kizazi chetu hapa Tanzania hakitashuhudia bajeti ya trl 200
Fika kwanza trilioni utajua tu....Maana tunaambiwa kuna mamilioni ya pesa, mabilioni na ma trillion sasa ukitoka hiyo TRILION unaingia ngapi au ndo inakuwa mwisho wa kuhesabu?
qutrilion,octatrilion,sexatrilion..............omegaMaana tunaambiwa kuna mamilioni ya pesa, mabilioni na ma trillion sasa ukitoka hiyo TRILION unaingia ngapi au ndo inakuwa mwisho wa kuhesabu?
Quadrillion! Hiyo ina sifuri 15!Maana tunaambiwa kuna mamilioni ya pesa, mabilioni na ma trillion sasa ukitoka hiyo TRILION unaingia ngapi au ndo inakuwa mwisho wa kuhesabu?
Kwa kiwango chetu cha madafubabalao 2 inategemea budget iko katika currency gani....sifuri zinaweza fika 18.....
Inaweza kuwa Zimb $ ama Vietnamese dong
Trillion (Number of zero 12)
(1,000,000,00
Quadrillion (number of zero 15)
Quintillion (number of zero 18)
Sextillion (number of zero 21)
Septillion (number of zero 24)
Octillion (number of zero 27)
Nonillion (number of zero 30)
Decillion (number of zero 33)
Undecillion (number of zero 36)
Duodecillion (number of zero 39)
Tredecillion (number of zero 42)
Quatttuor- decillion (Number of zero 45)
Quindecillion (number of zero 48)
Sexdecillion (number of zero 51)
Septen-decillion (number of zero 54)
Octodecillion (number of zero 57)
Novemdecillion (number of zero 60)
Vigintillion (number of zero 63)
Centillion (number of zero 303)
hahahalakionea
elfuonea
hahahahahah
Maana tunaambiwa kuna mamilioni ya pesa, mabilioni na ma trillion sasa ukitoka hiyo TRILION unaingia ngapi au ndo inakuwa mwisho wa kuhesabu?