Naomba ushauri wa haraka; Public relations and marketing - SAUT vs Public administration - UDOM

Go-getter

New Member
Oct 29, 2017
2
0
Public relations and marketing - St Augustine
Public administration - Udom
Ushauri wenu wakuu ni wapi pana uwanja mpana.
 
Public relations and marketing - St Augustine
Public administration - Udom
Ushauri wenu wakuu ni wapi pana uwanja mpana.
public relation ni nzuri zaidi katika soka la ajira ila hakikisha unakua dip kweli kweli kama akina Malisa Godilisen uweze kuandika makala za uhakika namna hiyo. public administration unaweza kuwa hata HR
 
Bila kujiuliza Mara mbili mbili nenda hiyo Public relation and marketing SAUT
 
Hiyo ya UDOM ni multipurpose, popote unaajiriwa mkuu, ni course ambayo hutaijutia kwenye soko la ajira,utajishangaa kila nafasi ya kazi inayotangazwa unafit , nenda UDOM
 
Public relations and marketing - St Augustine
Public administration - Udom
Ushauri wenu wakuu ni wapi pana uwanja mpana.
Soma kozi ambayo unaona inakupendeza na ambayo hata ajira ikisumbua, HUTOJUTA kwakuwa ulichagua mwenyewe. Nakushauri
 
Nenda UDOM ase ni course ambayo hautakaa sana mtaani ukimaliza hasa kwa hiyo marketing, marketers ni wachache mno mfano finalists mwakani hawaziti 25 kwa hapo. Kasome hiyo boss
 
Nenda UDOM ase ni course ambayo hautakaa sana mtaani ukimaliza hasa kwa hiyo marketing, marketers ni wachache mno mfano finalists mwakani hawaziti 25 kwa hapo. Kasome hiyo boss
hapa unamshauri aende wapi sasa. naona mwenyewe umechangnyikiwa. Ameandika hivi:
Public relations and marketing - St Augustine
Public administration - Udom
Ushauri wenu wakuu ni wapi pana uwanja mpana.

mpe ushauri hapo, usichanganye mambo.
 
Public relations and marketing - St Augustine
Public administration - Udom
Ushauri wenu wakuu ni wapi pana uwanja mpana.
Hizo program zote shida tupu kwa sasa. At least Public Relation unaweza kuwa na uwanja mpana.
 
Wakuu kati ya BBA(Bachelor in business administration)MWENGE UNIVERSITY na Bachelor of science in taxation IFM ipi ni sawa, bora na marketable kwa usawa huu
 
Back
Top Bottom