Habari zenu wakuu, tunaonana kwa Mara nyingine. Inasemekana kusoma kitabu au hata jarida na nakara yoyote ni sawa na kupiga story na muandishi husika, hivyo ukisoma kitabu cha Donald Trump basi unapiga nae story pia, ukisoma Bible?
Ok leo unapiga story na mimi mtanzania mwenzenu, Leo tugusie...