Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,865
- 2,176
2 MILION HIYO NI KUBWA SANA
- Tatizo letu sisi watanzania tunataka kuanzia juu, tunataka kuanzisha duka na kujaza vitu bila kujalisha vinanunuliwa au la, tunataka kupendezesha maduka, tunapenda kusifiwa kwamba duka la fulani limesheheni sana vitu,
Mkuu 2 milioni inatosha kabisa ni wewe kujipanga tu na kuja na strategies za kureduce cost na katika kupunguza kost hapo utafanikiwa, kuna watu walianza na mchicha fungu mbili lakini leo hii wako mbali sana, Yule Marehemu MUGUKU wa kule Kenya alianza na kuku wasio pungua kumi ila mwisho wa siku akaja kuingia kwenye Orodha ya matajiri watano wakubwa kabisa nchini Kenya, kinacho takiwa ni determination na si vinginevyo,
Unaweza kuwa na milioni 200 na bado ukashindwa kufanya hiyo biashara, tatizo tuna tageti utajiri wa haraka haraka na kutaka kusifiwa,
Ukiondoa mawazo ya kutaka utajirike fasta, kutaka uonekane, kutaka usifiwe utaweza songa mbele na hiyo milioni 2,
Na katika biashara kuna kitu kinaitwa kujiposition, na si lazima wewe uuze kila kitu, si lazima upambe duka kwa vitu visivyo nunuliwa mkuu,
NA MWISHO KABISA, TATIZO LILIPO HUKU JF NA MTAANI ni kwamba Unapo taka ushauri wa biashara ni bora kabisa ukawatageti wahusika means wafanya biashara wengine, HUMU JF UTAKUTANA NA WAHANGA WA MISHAHARA NA WATAKUKATISHA TAMAA BALAA, Mtu alisha zoea mwsiho wa mwezi na yeye kwake Biashara ni kama gereza so ni lazima ukatishwe tamaa, usitarajie hata siku moja kwenda kuomba ushauri kw amtu ambaye ni mwajiriwa utarajie Postive ushauri, atajitahidi sana kukuvunja moyo na kukuogopesha ili wote muwe kundi moja la Mwisho wa Mwezi
kama uliufanyia kazi huu ushauri nina hakika utakuwa mbali pia NDUGU YANGU USIPENDE KUBADILI MAWAZO KISA UMEAMBIWA HIVI ni bora ukatafuta namna ya kujiongeza kuliko kubadili maana hutakuwa na passion bali upo after money KITU CHOCHOTE PESA IWE BAADAE pesa huwa inakuja tu hata laki tano ni mtaji tosha kwa vifaa vya ujenzi kikubwa una maono gani ANAEPINGA ANIULIZE NIDADAVUE kufanikiwa sio leo ni kesho