Mashamba ya kukodi mkoa wa Mbeya

Njoo Nemes nina upendo kabisa ninachohitaji ardhi ilimwe kwakuwa hutaondoka nayo utatumia utaiacha, so feel free ila shamba lenyewe lipo kijiji kinaitwa Chiwanda kando ya barabara ya kuelekea sumbawanga kilometa 29 toka Tunduma
Mkuu upo serious
 
Njaa inakuuma wewe!!!, nina shamba la ekari 70 nalima ekari 30 ndiyo uwezo wangu, mimi nimemwalika hata bure atalima badala ya kukaa pori naona unatokwa viroboto mdomoni!!!! Ok akitaka aje asipotaka hamna kesi!!!
Panafaa kwa kilimo gani mkuu?
 
Bei tafadhari za kukodi, maana nataka kuhama jiji la DSM na kuishi Mby, ukiacha vishughuli vingine vya kupata pesa ya mboga nataka nijikite kilimoni...nishachoka kungoja pesa laki 5 za watu tena masimango kibao, mtaani unga uko juu, joto, na gharama za kimaisha....bora huko kusikokuwa na mliman city wala foleni...fuel Lita 10 week nzima!!!
 
  • Thanks
Reactions: cdc
me nafikiria kulima kiazi ulaya hpo Mbeya ila ntaka nijue wapi naweza pata shamba hasa la kilimo cha umwagiliaji
 
Ni mazao gani yanayostawi hapo mkuu? Me napenda sana kilimo, ila pa kuanzia ndio sina.
Shamba lile kwa sasa majirani na mimi tumepanda mahindi na yamestawi vyema, ila mazao kama ufuta, mihogo,maharage vinastawi pia,lakini cha kufurahisha kuna mto ambao ni 12 months flowing mita 60 toka shambani
 
Njoo Nemes nina upendo kabisa ninachohitaji ardhi ilimwe kwakuwa hutaondoka nayo utatumia utaiacha, so feel free ila shamba lenyewe lipo kijiji kinaitwa Chiwanda kando ya barabara ya kuelekea sumbawanga kilometa 29 toka Tunduma
Niliambiwa hayo maeneo mazao mengi sana yanastawi sana. Vipi lakini hali ya miundombinu?
 
Ntakuja PM mkuu ili tubadilishane mawazo
 
Niliambiwa hayo maeneo mazao mengi sana yanastawi sana. Vipi lakini hali ya miundombinu?
Miundombinu barabara ipo ya lami km1 toka shambani ni suala la kujiorganise kufyeka barabara kwa sababu hakuhitaji kujenga daraja eneo ambalo mashamba yapo so usafirishaji wa mazao ni rahisi
 
  • Thanks
Reactions: cdc
Kilimo cha mahindi (umwagiliaji) Utengule, Ipo wilaya ya mbeya vijijini, unaingilia mjimdogo wa mbalizi. Kutoka mbeya mjini had utengule nauli ni kati ya sh. 2000 had 4000.
ni sehemu nzuri sana kwa kilimo cha umwagiliaji na watu wanafsnya hayo tangu kitambo
Kuna mifereji inayotiririsha maji muda wote hata kiangazi kikali...
Watu wanalima nyanya pia
niulize zaidi kama una swali
Nisaidie no. Yako mbaba
 
Miundombinu barabara ipo ya lami km1 toka shambani ni suala la kujiorganise kufyeka barabara kwa sababu hakuhitaji kujenga daraja eneo ambalo mashamba yapo so usafirishaji wa mazao ni rahisi
We jamaa nitakucheki
 
Back
Top Bottom