Biashara ya kuuza genge

jajo47

New Member
Aug 14, 2015
4
5
Swali 1:

Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam, ningependa kufanya biashara ya kuuza genge, naomba msaada wenu mwenye kujua naweza nunua wapi vitu vya sokoni kwa bei nzuri na nikimuajiri mtu aniuzie inabidi nimlipaje?

Natanguliza shukurani..

Swali 2:

Pinkshlady
Habari wana jf, nina wazo lakuanzisha biashara ya genge, lakini la kitofauti kidogo na haya tuliyozoea, nikiwa na imani nitawateka watu wengi, sababu itakuwa karibu na barabara kuu na paking ipo ya kutosha,

Nikitarajia kuuza matunda ya aina zote, vitu vya sokoni, mayai, ikiwezekana na kuku.

Naomba ushauri wenu niwe na mtaji kiasi gani wa kuanzia? Ni soko gani naweza kupata vitu kwa bei ya chini?

Na kuna ulazima wa kuwa na leseni ya biashara?

Ushauri:

Miongoni mwa biashara zenye hela nzuri ni biashara ya genge. Genge linataka mtaji mdogo lakini faida yake ni nzuri sana na kwa mtu anayetaka afanye hii biashara ni nzuri sana

Pia, ni biashara nzuri ambayo hautapata usumbufu wa TRA na pia hutowaza sana kuhusu wezi tofauti na biashara yengine

Cha kuzingatia ili biashara yako hii ya genge ifanikiwe:-

Kwanza unatakiwa uwe mtu social sana uwe unaongea na wateja vizuri pia uwe ni mtu wa tabasamu mteja akija wakati mwingine mfano kitunguu ni 200 yeye kaja na mia basi usisite kumpa kwa mia hii itamsogeza kwako

Kingine ni ubora wa bidhaa, chagua bidhaa zenye ubora na zenye mvuto mfano ukichagua nyanya bamia au nyanyachungu ziwe ni zenye ubora na mvuto hata mtu akipita akiziona azisiache .

Usiuze vitu ghali sana uza walau bei ya sokoni au inayokaribiana na sokoni ili hata mtu akiwaza unavyouza aone ni sawa tu na sokoni aone kwenda buguruni sokoni kununua nyanya ni sawa tu na kununua kwako maana unauza sawa tu na sokoni

Kingine ni kiwango cha bidhaa uzingatie usipunje wateja uza kama kiwango cha vipimo vya sokoni ili kumfanya mtu awe mtejawako wa kila siku aachane na mpango wa kwenda sokoni

Kwa mbinu hizi utapata wateja na utauza sana

Kila la kheri!


Pilipili
Nyanya
Vitunguu
Matunda
Mchicha
Spinach I
Ndimu
Limao
Vitunguu swaumu

Nk. uwezi amini biashara ya genge inafaida sana sema wengi awajui Ku-brand
Jinsi ya Ku brand biashara ya genge

1:Tengeneza genge safi ikiwezekana Tumia vyuma liwe na muonekano mzuri na wa kuvutia
2:Weka jina mfano kwa babu Juma
3:Nunua friji
4:Nunua vitu safi vya kupangia au vifungashio vizuri
5:Tafuta Mtu ambaye atakuwa anawasambazia Wateja majumbani wengine


Inategemea unapanga kuuza nini..vitu kama nyanya ndimu na aina za matunda ni perishables
kununua na kupata hasara kwenye hivyo vitu ni kawaida tofauti na vitunguu nazi na viazi..nakushauri ufanye genge duka kwa maana pamoja na kuuza vitu vya kawaida kama nyanya na pilipili na maembe uwe pia unauza na vitu vingine kama sabuni mafuta, maji nk...anza taratibu kupata uzoefu waweza anza na vitu kama nyanya vitunguu carrot hoho dagaa chumvi samaki nk...

SOKO:.Masoko ya dsm yanatofautiana sana..unaweza pata matunda bei rahisi sana buguruni, machungwa nazi maembe mihogo viazi nk...Temeke stereo unaweza pata pia matikiti na mapapai kwa bei rahisi sana..kariakoo utapata vitunguu na mboga mboga bei chee kwa kupatana ...

ILALA viazi mbatata na ndizi ni bei rahisi sana.. MTAJI..ukiondoa kodi kwa kuanzia laki 5 inatosha ila hata ukiwa na chini ya hiyo unaweza kuanza tu cha muhimu uanze na kupata uzoefu..sio biashara mbaya kama upo eneo lenye mzunguungo mzuri wa pesa na unaweza kujibana itakulipa..changamoto ni hiyo ya mgawanyiko wa masoko yenyewe ila kama mtaji ukikua utakua unaletewa hapo hapo ofisini vitu vyako...kila la kheri
 
Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam ningependa kufanya biashara ya kuuza genge, naomba msaada wenu kwenye kujua naweza jumua wapi vitu vya sokoni kwa bei nzuri, na nikimuajiri mtu aniuzie inabidi nimlipaje, natanguliza shukurani

Nenda Buguruni naona wengi wanachukua mzigo kule.
 
Asante ngoja nikafanye survey,nitawapa feedback, asanteni sana sana mmenitia moyo kwa kweli

Deadline ya feedback ni lini ili ukichelewa tukuulize, hata Kariakoo pia ila tofauti na masoko mengine K/koo unatakiwa uwe maeneo yale ya soko alfajiri ya kuanzia saa 11
 
Ndani ya week mbili nitatoa feedback na kuhusu huyo mtu wa kumuajiri, aweze kusimamia na kuuza, Je malipo yanakuwaje?! Ushauri jamani
 
Pilipili
Nyanya
Vitunguu
Matunda
Mchicha
Spinach I
Ndimu
Limao
Vitunguu swaumu
Nk uwezi amini biashara ya genge ina faida sana sema wengi hawajui Ku brand
Jinsi ya Ku brand biashara ya genge
1: Tengeneza genge safi ikiwezekana Tumia vyuma liwe na muonekano mzuri na wa kuvutia
2: Weka jina mfano kwa babu Juma
3: Nunua friji
4: Nunua vitu safi vya kupangia au vifungashio vizuri
5: Tafuta MTU ambaye atakuwa anawasambazia wateja majumbani wengine
 
Pilipili
Nyanya
Vitunguu
Matunda
Mchicha
Spinach I
Ndimu
Limao
Vitunguu swaumu
Nk uwezi amini biashara ya genge inafaida sana sema wengi awajui Ku brand
Jinsi ya Ku brand biashara ya genge
1:Tengeneza genge safi ikiwezekana Tumia vyuma liwe na muonekano mzuri na wa kuvutia
2:Weka jina mfano kwa babu Juma
3:Nunua friji
4:Nunua vitu safi vya kupangia au vifungashio vizuri
5:Tafuta MTU ambaye atakuwa anawasambazia Wateja majumbani wengine
Kwahiyo ni unaifanya kwa kusambaza ila baada ya kufungua genge?
Pia mtaji wake kwa experience yako ukoje na faida yake?
 
Habari wana jf, nawazo la kuanzisha biashara ya genge lakini la kitofauti kidogo na haya tuliyozoea, nikiwa na imani nitawateka watu wengi, sababu itakuwa karibu na barara kuu na paking ipo ya kutosha,

Nikitarajia kuuza matunda ya aina zote, vitu vya sokoni, mayai, ikiwezekana na kuku.

Naomba ushauri wenu niwe na mtaji kiasi gani wa kuanzia? ni soko gani naweza kupata vitu kwa bei ya chini?

Na kuna ulazima wa kuwa na leseni ya biashara?
 
Wazo zuri mkuu hongera sana ngoja wabobezi wa biashara biashara waje kujazia nyama.kuhusu mtaji mi nazani wewe ungeanza kusema una shilingi ngapi?ili wachangiji wawe na mwanya mkubwa
 
habari wana jf, nawazo lakuanzisha biashara ya genge, lakini la kitofauti kidogo na haya tuliyozoea, nikiwa na imani nitawateka watu wengi, sababu itakuwa karibu na barara kuu na paking ipo ya kutosha,

nikitarajia kuuza matunda ya aina zote, vitu vya sokoni, mayai, ikiwezekana na kuku.

Naomba ushauri wenu niwe na mtaji kiasi gani wa kuanzia? ni soko gani naweza kupata vitu kwa bei ya chini?

na kuna ulazima wa kuwa na leseni ya biashara?

Inategemea unapanga kuuza nini..vitu kama nyanya ndimu na aina za matunda ni perishables
kununua na kupata hasara kwenye hivyo vitu ni kawaida tofauti na vitunguu nazi na viazi..nakushauri ufanye genge duka kwa maana pamoja na kuuza vitu vya kawaida kama nyanya na pilipili na maembe uwe pia unauza na vitu vingine kama sabuni mafuta, maji nk...anza taratibu kupata uzoefu waweza anza na vitu kama nyanya vitunguu carrot hoho dagaa chumvi samaki nk...

SOKO:.Masoko ya dsm yanatofautiana sana..unaweza pata matunda bei rahisi sana buguruni, machungwa nazi maembe mihogo viazi nk...Temeke stereo unaweza pata pia matikiti na mapapai kwa bei rahisi sana..kariakoo utapata vitunguu na mboga mboga bei chee kwa kupatana ...ILALA viazi mbatata na ndizi ni bei rahisi sana.. MTAJI..

Ukiondoa kodi kwa kuanzia laki 5 inatosha ila hata ukiwa na chini ya hiyo unaweza kuanza tu cha muhimu uanze na kupata uzoefu..sio biashara mbaya kama upo eneo lenye mzunguungo mzuri wa pesa na unaweza kujibana itakulipa..changamoto ni hiyo ya mgawanyiko wa masoko yenyewe ila kama mtaji ukikua utakua unaletewa hapo hapo ofisini vitu vyako...kila la kheri
 
Inategemea unapanga kuuza nini..vitu kama nyanya ndimu na aina za matunda ni perishables
kununua na kupata hasara kwenye hivyo vitu ni kawaida tofauti na vitunguu nazi na viazi..nakushauri ufanye genge duka kwa maana pamoja na kuuza vitu vya kawaida kama nyanya na pilipili na maembe uwe pia unauza na vitu vingine kama sabuni mafuta, maji nk...anza taratibu kupata uzoefu waweza anza na vitu kama nyanya vitunguu carrot hoho dagaa chumvi samaki nk...

SOKO:.Masoko ya dsm yanatofautiana sana..unaweza pata matunda bei rahisi sana buguruni, machungwa nazi maembe mihogo viazi nk...Temeke stereo unaweza pata pia matikiti na mapapai kwa bei rahisi sana..kariakoo utapata vitunguu na mboga mboga bei chee kwa kupatana ...ILALA viazi mbatata na ndizi ni bei rahisi sana.. MTAJI..ukiondoa kodi kwa kuanzia laki 5 inatosha ila hata ukiwa na chini ya hiyo unaweza kuanza tu cha muhimu uanze na kupata uzoefu..sio biashara mbaya kama upo eneo lenye mzunguungo mzuri wa pesa na unaweza kujibana itakulipa..changamoto ni hiyo ya mgawanyiko wa masoko yenyewe ila kama mtaji ukikua utakua unaletewa hapo hapo ofisini vitu vyako...kila la kheri
Asante sana kwa mawazo yako mkuu, ubarikiwe
 
Kila la heri mama, chochote kitakachokusaidia maishani cha halali, fanya research mtandaoni kuna watu wametoa ushauri wa hili swala, inalipa kabisa, safi sana...
 
Back
Top Bottom