Boy acha ushabiki tuungane tumchague kiongozi mwenye sifa na atakayewafaa watanzania kwa ujumla bila kujali utabaka na ambaye atakuwa na mamuzi sahih na kwa wakati
Tumekosa hekima na maarifa juu ya dini hizi. Tumekua watumwa wa dini baadala ya mungu.Kukosa kuwa na hekima na busara juu ya dini hizi mwenyezi mungu hatuko nae. Ndungu shituka kutoka usingizini juu ya neno dini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.