Ehee anarudi tena south si alikuwa kenya
Media za Zambia wamelalamika kwamba wanadhani wamedharauliwa kwa vile eti Kaunda hakupangwa kuzungumza awali ya kwanza pamoja na (au badala ya) akina Obama. Sijui kama awamu hii atapangwa kuzungumza huyo Kaunda.
Ehee anarudi tena south si alikuwa kenya
hivi nani anampangia. mkulu safari jmaa achoki dah! kweli rais 2mempata .
Super Brand Chama Cha Mapinduzi kwenye Anga la Kimataifa!
Itakuwa vyema iwapo ataongea Kiswahili
.Kunavitu havihitaji kuangalia gharama nilazima uvikabili kwa hali yiyote ile. Wp waisrail wamesema wanabana matumizi kwa kutokwenda kumzika mzee madiba?Sababu za Wa Israel kutoenda kwenye memorial service ya Mandela ni ili kuepusha gharama kubwa ambayo ni Kama 2$ million. Sasa sijui Kama TZ ni Nchi Tajiri Kuliko Israel ama vipi!!??
Kwa wale watakao husika na uandaaji wa hotuba tafadhali msituangushe mara ohooo.....
"Nimesikia" "nimeambiwa""umbea" na mengineyo msiyapeleke.
Huko mpeleke hotuha iliyoshiba kama vipi mdese kwa Obama aliyoitoa juzi..
hiyo mengine ibaki ni siri ya ndani.!!
kwani kuna umbali?
Ehee anarudi tena south si alikuwa kenya
Wandengereko ndivyo walivyo they like show off at any expense, so after he has spoken then what?
Sababu za Wa Israel kutoenda kwenye memorial service ya Mandela ni ili kuepusha gharama kubwa ambayo ni Kama 2$ million. Sasa sijui Kama TZ ni Nchi Tajiri Kuliko Israel ama vipi!!??