waropokaji kama wewe njia yao fupi,toa hayo maandiko yanayosema hivyo kuback up hayo maneno"jisaidie usaidiwe.". Kama huna(nina uhakika huna) acha uropokaji na jambo ambalo huna uhakika nalo.
Utafuteni kwanza ufalme wa Mungu........kazi zenyewe zipo umezikuta na utaziacha usitake kujifanya unajua sana kufanya kazi.Usikute toka uanze kufanya kazi hio una mafanikio ya chini tu na Ofisini ni mtu wa kawaida lkn kwa kupigia wenzako kelele? Fanya kazi ila tambua Mungu ndo anaekuwezesha kufanya kazi hio
wengi wa wanaojiita wakristo are not at all Christ followers because they don't meet discipleship criteria,hivyo siyo wakristo kibiblia ni religious narzis,they're known in their own books but unknown in the book of LIFE!
However,the so-called moslems aren't at all mohammedans rather hypocrites and religious harrots!
Take note:dini ni zenu na wokovu ni wa Mungu wetu aliye hai na anawajua walio wake yaani wale aliowaridhia na anawajua hata kabla ya kuwekwa kwa misingi ya ulimwengu!
Nilishasema dini ni zaidi ya bangi haswa haya makundi mawili yaliyotajwa!!Kuna rafiki yangu alimpa ustaadhi kazi ya kufitisha milango kwa siku anafitisha mlango mmoja kila saa anaenda kusali.Mlokole naye kila akipiga rangi square mita moja anatokea simu inaitwa na mchungaji anasema site ina mapepo!!Yeleuuuuuuwi!! Hivi tutafika?Sasa na wewe unavyoshinda humu jamii forum unajifanya uko busy kwenye comp.unafanya kazi kumbe unapiga umbea ktk mitandao hao watu wa dini watakwenda kukusemea wapi?malizeni mambo yenu huko si kila kitu ulete ktk mitandao.sasa wao watapa wapi nafasi ya kujitetea?tutajuaje kama unawachafua tu makusudi.
Wamesahau hata vtabu vua maandko vnasema jsaidie nawe utaidiwe.wanapenda dezp hao..hawana lolote
elewa kwamba OKW BOBAN SUNZU ni taasisi na sio mtu, nakuibia siri tu kuwa ni Associate inayojihusisha na Accountancy na Auditing Consultancy, so usikurupuke mda woteSasa na wewe unavyoshinda humu jamii forum unajifanya uko busy kwenye comp.unafanya kazi kumbe unapiga umbea ktk mitandao hao watu wa dini watakwenda kukusemea wapi?malizeni mambo yenu huko si kila kitu ulete ktk mitandao.sasa wao watapa wapi nafasi ya kujitetea?tutajuaje kama unawachafua tu makusudi.
Mkuu Mtumishi wa Mungu, ndo maana sijasema wooote. Pamoja na kuwachana lakini sio hawa tu wa ofisini kwetu wapo na wengine kona zingine, so ni vyema tukawaeleza kwa njia hizi pia. Hongera sana mtumishiMi ni mkristo mlokole, lakini ofisini nasifika kwa bidii ya kazi na nimeshapewa hadi tuzo ya ufanyakazi bora. Hao mnaosema hawafanyi kazi siyo walokole wa kweli.
Hzlafu okwI BOBAN SUNZU kama mtu anakukera si umwambie hapo hapo, kuliko kuja kutuambia sisi huku? Huoni kuwa wee ni mnafiki?
Kuna mtu humu alisema "Religion is for fools". Bado natafakali kauli hii, kweli wanazingua aisee
Mniwie radhi kwa kuwa mkali kidogo.Lakini hakuna pakusemea ni hapa hapa duniani.Japo sio wote lakini ni dhahiri ndugu zetu hawa wanazingua kwenye kazi,hawajitumi,ruhusa zisizo isha,hawana mda wa kujifunza kazi/kuji-update wao kutwa na biblia au koroani tu!
Kibaya zaidi hawajisikii aibu kutokujua mambo mengi hata ya kawaida kabisa.Wameridhika huwakuti wakichacharika.
Hapa ofisini tunao wote wawili.Ustaadhi ye mda wote yupo na majarida ya kislam,ukimpatia kazi ya masaa ataifanya wiki na hataifanya vizuri.
Ana ratiba ya kufundisha madrasa mpaka sa 11 usiku anakuja job kupiga usingizi.Ndivo ilivo kwa mkiristo mwenzangu huyu mlokole,ruhusa za vikao vya dini haziishi.
Ajabu kwenye mambo yetu chini ya kapeti tunapigaga wote.Acheni hizo wandugu,dini zipeni nafasi yake,na kazi ipewe nafasi yake.Kama huwezi basi acha kazi ubaki msikitini au kanisani.
Hakuna dini inayosema uabudu usiku na mchana, huo ni uvivu wao wanatumia visingizio vya dini.