The Road to The 2014 FIFA World Cup - Brazil

The Road to The 2014 FIFA World Cup - Brazil

Status
Not open for further replies.
Hili ndio chama langu!
 

Attachments

  • 1401726669737.jpg
    1401726669737.jpg
    47.6 KB · Views: 63
  • 1401726705244.jpg
    1401726705244.jpg
    52 KB · Views: 58
  • 1401726761810.jpg
    1401726761810.jpg
    51.3 KB · Views: 54
Samahani muda huo usiku!
 

Attachments

  • 1401727904410.jpg
    1401727904410.jpg
    51.6 KB · Views: 87
  • 1401727975822.jpg
    1401727975822.jpg
    51.2 KB · Views: 78
  • 1401727996091.jpg
    1401727996091.jpg
    51.3 KB · Views: 72
  • 1401728032084.jpg
    1401728032084.jpg
    52.8 KB · Views: 69
  • 1401728069307.jpg
    1401728069307.jpg
    53.7 KB · Views: 71
  • 1401728100692.jpg
    1401728100692.jpg
    50.5 KB · Views: 70
  • 1401728126516.jpg
    1401728126516.jpg
    53.1 KB · Views: 71
ZIMESALIA SIKU 10 KABLA YA KUANZA KOMBE LA DUNIA...
Siku kumi kabla ya michuano ya Kombe la Dunia kuanza, tutaanza kuhesabu siku
zilizosalia kwa kutazama mawili matatu kuhusu michuano hiyo.
Je unafahamu kuwa BRAZIL 2014:
Hii itakuwa mara ya kwanza teknolojia ya golini kutumika katika Kombe la Dunia.
Kutakuwa na kamera 14 katika kila paa ya kila uwanja utakaotumika. Kamera 7
zitakuwa zinatazama goli moja, na 7 nyingine goli jingine. Kamera hizo
zimeunganishwa kwenye kompyuta ambayo itatathmini kila mpira utakapopigwa.
Mpira unapovuka tu mstari wa goli refa atahisi mtikisiko katika saa maalum
atakayokuwa amevaa mkononi. Pia atapata ujumbe mfupi wa maandishi kupitia
saa hiyo unaosema "Goli".
 
Hiyo technologi kwa sababu ya visa vya England,tuone kama itashinda kombe la dunia kwa goal techlogy
Lakini binadamu ni wa ajabu kwani Malaysia Boeing M370 unajua imepotezwaje?
 
Kwanini unaanzisha uzi mwingine wakati kuna special thread ya michuano hii? Mods "faulishia" kule kwenye world cup special thread.
 
Pia inatakiwa ushangae Klose kuitwa kikosi cha ujerumani,wakat kuna walioperform zaidi yake.futboli fitna si bongo tu!!

Klose ameitwa Ili Ajaribu kuvunja record ya ronaldo de Lima Ili awe WC all time goal scoarer. Amezidiwa kama goli 2 hivi.
 
Klose ameitwa Ili Ajaribu kuvunja record ya ronaldo de Lima Ili awe WC all time goal scoarer. Amezidiwa kama goli 2 hivi.

Yaah hilo ndo wanalitaka mkuu maana ronaldo ana goli 15 name klose ana 14 maana wanao mfata hapo wote hawachez sasa
 
but i knw hatoiaribu 100% cz yule jamaa gol 15 katupia kwenye mfururizo wa makombe matatu tu ya dunia , huyo Close utakuwa ni mfururizo wa makombe manne ya dunia so record'ke itabase kwenye makombe ya dunia manne ya Baba lao itakuwa kwa makombe matatu ya Dunia. pia atavunja lakn ukwel utabaki palepale tu only one dangerous Ronaldo never happen again 'm telln' u
 
jamaani tuache makocha waliosomea kazi hiyo kufanya kazi yao kuna vigezo anbavyo wanavitumia kumchagua mchezaji wenzangu
 
mbona mkuu analia bure? wako na wenzake.

Torres,
David Villa,
Diego Costa,

Del Bosque; mojawapo ya makocha wanaoheshimika zaidi Spain nzima. Kocha amemchagua Torres kulingana na yale anayoweza kufanya.
Kuhusu Negledo kuachwa; angalia hata Man city wamekuwa wanamtumia Dzeko mechi nyingi sana kuliko Negredo; hasa katika mzunguko wa 2.


baada ya negredo kupata injury
 
Spain inatisha kuna mastaa wengi wanacheza Spain wa2 wengi wao hawawajui,hata Negredo na Navas wengi wao wakiwemo memba wa humu barazani wamewajua baada ya kuja kucheza England
 
mchukue torres mweke kikosi cha man city na umchukue negredo umweke kikosi cha chelsea ......... je unafikiri torres atafunga magoli 15 tu kwenye msimu?!
 
Del bosque ni kocha tena kocha haswaaa alinifanya nikawa shabiki wa realmadrid enzi hizo kusema ukweli he really knows what football is
Ninamwamini sana yule kocha
 
Mechi kati ya England na Ecuador, hadi sasa ni 2-2 ila nacho kiona ni kwamba England wamekamatika sana make ukizingatia sifa na mbwembwe nyingi za UK na vyombo vyao vya habari na Ligi yao lakini bado wanachezza mpira huu!!! Very slow, no creativity and sometimes they do recall Mourinho style "Defending/Parking the bus" in a friendly match like this!! How about the World Cup Championship?
 
mimi mshabiki mzuri sana wa England lakini kwa display ya mechi hii ya leo sijui kama wataweza kuleta ushindani kwenye kombe la dunia
 
Kipindi cha kwanza kilivyo isha tu na mi nikaachana nao so boring haina mvuto yaani utadhani taifa stars na uganda. Mi wote tu sizani kama yupo atakayeenda mbali. Though Ecuador nimeona ni watulivu zaidi golini wametulia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom