Naombeni msaada, mke wangu baunsa ataniua

a real man we vip unatuaibisha sana dawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzake mtafutie bi mdogo heshima itarudi. Laaa ukishindwa mpinge mimba fasta concentration yote itakua ktk tumbo
hahaaa km mme anatolewa nduki..huyo mke si atang'olewa papu..chi??
 
Jamani kwa kweli nina hali mbaya, wakati namwoa hakuwa na mwili mkubwa kama alivyo sasa, lakini vilevile sikufikiria kama anaweza kuwa na nguvu kiasi hicho.

Tatizo lake yeye ni ngumi mkononi,anachokiamua yeye hakuna mjadala ukibisha ngumi mkononi haangalii niko na marafiki zangu au la,kuna siku nilimtishia kumpa taraka akanikwida bahati sana nilipokonyoka na kukimbia.

Siku ya pili nilkuja na marafiki zangu nikiamini kwamba zoezi litakamilika cha ajabu alitoka ndani na upanga akaanza kutukimbiza marafiki zangu nilio wategemea wakakimbia wote na mimi mwenyewe nikatimka.

Ilikuwa yapata saa sita,akaanza kuzunguka kijiji kizima huku akitishia kwamba leo nikiwakamata ama zao ama zangu,lakini ktk kututafuta akakutana na mmoja wetu akaanza kumfukuza mpaka kijji jirani.

Utata uliisha pale nilipomwomba radhi na kuridhia .zilipita siku kadhaa tu nilimkamata ugoni lakini alinijibu kwamba kinachoniuma ni nini wakati ametumia mali yake na wala hajatumia mali yangu,mbaya zaidi ananiambia nikimwacha atanifanyia kitu mbaya.
Vitu vingine huku JF ni vigumu kuviamini!
 
Awe mama wee
Ungekuwa we ungefanyajeee

Wapi bushoke
 
mi nilimwamini ila hapo kwenye kumkamata ugoni ndiyo paliponistua, mtu ukimkamata ugoni hanaga maneno anakuwa mpole sana, na wala asingekuwa na ujasiri wa kujibu hivyo!! hapo kwenye kutunga bado ujaweza kutunga vizuri

Ametunga...sema kazidisha manjonjo na matukio mpaka kharibu
 
uwe jasir tu, nachokwambia niliwahi kukishuhudia mama mdogo alikuwa akitandika wanaume balaa mwanaume 4 baada ya kutorizika na manyanyaso cku hiyo alipga bangi zake akampga mpini tangia hapo mama yangu anaheshima wala hajawah kuleta tena nyodo

nashukuru kwa ushauri ,ngoja nijipange kwa hilo halafu nitakuja na feedback
 
...mjini mipango nguvu kijijini,kwani ukubwa wote huo hunaga kale wanaita kabastola kama ka wachaga..? nauliza tu...
 
Jamani kwa kweli nina hali mbaya, wakati namwoa hakuwa na mwili mkubwa kama alivyo sasa, lakini vilevile sikufikiria kama anaweza kuwa na nguvu kiasi hicho.

Tatizo lake yeye ni ngumi mkononi,anachokiamua yeye hakuna mjadala ukibisha ngumi mkononi haangalii niko na marafiki zangu au la,kuna siku nilimtishia kumpa taraka akanikwida bahati sana nilipokonyoka na kukimbia.

Siku ya pili nilkuja na marafiki zangu nikiamini kwamba zoezi litakamilika cha ajabu alitoka ndani na upanga akaanza kutukimbiza marafiki zangu nilio wategemea wakakimbia wote na mimi mwenyewe nikatimka.

Ilikuwa yapata saa sita,akaanza kuzunguka kijiji kizima huku akitishia kwamba leo nikiwakamata ama zao ama zangu,lakini ktk kututafuta akakutana na mmoja wetu akaanza kumfukuza mpaka kijji jirani.

Utata uliisha pale nilipomwomba radhi na kuridhia .zilipita siku kadhaa tu nilimkamata ugoni lakini alinijibu kwamba kinachoniuma ni nini wakati ametumia mali yake na wala hajatumia mali yangu,mbaya zaidi ananiambia nikimwacha atanifanyia kitu mbaya.

Duh umenifanya nicheke sana asubuhi hii. Jamaa kakimbizwa hadi kijiji cha pili. Huyo ndio waifu matirio usimuache mkuu.
 
Jamani kwa kweli nina hali mbaya, wakati namwoa hakuwa na mwili mkubwa kama alivyo sasa, lakini vilevile sikufikiria kama anaweza kuwa na nguvu kiasi hicho.

Tatizo lake yeye ni ngumi mkononi,anachokiamua yeye hakuna mjadala ukibisha ngumi mkononi haangalii niko na marafiki zangu au la,kuna siku nilimtishia kumpa taraka akanikwida bahati sana nilipokonyoka na kukimbia.

Siku ya pili nilkuja na marafiki zangu nikiamini kwamba zoezi litakamilika cha ajabu alitoka ndani na upanga akaanza kutukimbiza marafiki zangu nilio wategemea wakakimbia wote na mimi mwenyewe nikatimka.

Ilikuwa yapata saa sita,akaanza kuzunguka kijiji kizima huku akitishia kwamba leo nikiwakamata ama zao ama zangu,lakini ktk kututafuta akakutana na mmoja wetu akaanza kumfukuza mpaka kijji jirani.

Utata uliisha pale nilipomwomba radhi na kuridhia .zilipita siku kadhaa tu nilimkamata ugoni lakini alinijibu kwamba kinachoniuma ni nini wakati ametumia mali yake na wala hajatumia mali yangu,mbaya zaidi ananiambia nikimwacha atanifanyia kitu mbaya.

Ligera pole. Fanya mazoezi ya ubondia ili zengwe likitokea tena mzichape nitakuja kuamulia
 
Mwanaume gani hujiamini?

inategemea ,we leo uliambie jeshi letu likapigane na marekani kwa kuwa lina wanaume wengi litaenda ,vitaanza visingizio chungu nzima.
 
Mwanamke wako ndo jeshi la marekani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom