Recent content by Mary Glory

  1. M

    JamiiForums Tanzania Jamani naitaji dume la german shepherd

    lkn haki iko,siku moja ukweli utajulikana
  2. M

    JamiiForums Tanzania Chakula cha mifugo kwa bei chee kabisa

    Jaman chakula cha mifugo hasa nguruwe au ngombe kinauzwa kwa bei chee kabisa.chakula hiki ni special kwani kina mchanganyiko wa vitu vifuatavyo: 1.pumba 2.ngano 3.unga wa mahindi 4.mahindi yenyewe. ni kizuri na kinanenepesha sana mifugo hasa nguruwe kwa muda mfupi.bei ni nzuri tutaelewana.kwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Jamani naitaji dume la german shepherd

    if rightousness can not be found on earth you better find it in heaven
  4. M

    JamiiForums Tanzania Unataka mwanao aje kuwa wizard wa computer . Soma hapa

    mh inategemea mtt mwenyewe makuzi yake.naimagine kuna mtu anamtt ambae alimfukuza mama yake miaka mingi iliyopita.mtt amekua akiishi na mama tofauti.leo huyu kesho huyu achilia mbali mahausigeli wa ajabu ajabu wengine hata wachawi.yan ni wiki tu kama tatu zimepita mtu amemfukuza mwanamke...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Toyota IST

    mimi naomba kujuzwa cc na consumption ya mafuta ya mini-rav4.yan ile ya milango mitatu.na offcourse ningependa kujua bei yake kwasasa.nataka kujua kama itanisaidia kwashughuli zangu za hapa mjini
  6. M

    JamiiForums Tanzania Posta kutamu bwana, asikuongopee mtu.

    sie tunaoishi pale tunaona pa kawaida tu hamna cha ajabu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Message:bye 2011 welcome 2012

    umeongea kweli tupu.ni wakati wa kumuomba Mungu kuhusu mwaka ujao wa 2012.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nitakukumbuka milele mwaka 2011

    2011 sitaisahau maishani mwangu.mambo yaliyotokea kwangu machungu yasiyovumilika,sijawahi kupata machungu kama ambayo yalinipata 2011.namshukuru Mungu kwa mwaka huu.nilidhani sitamaliza mwaka huu lakini ilipofika leo asubuhi nikajua kweli nimeumaliza huu mwaka.najua hata maadui zangu hawakujua...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wa kimachame ni wakatili kuliko simba?

    wewe hawajambo huko usukumani??halafu siku hizi hapendwi mtu tunaangalia maslahi.anyway hayo yapo huko usukumani na si hapa mjini. hata hivyo habari za siku nyingi???umepotea kweli toka mje siku ile sijakuona tena.karibu bwana tupo
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wa kimachame ni wakatili kuliko simba?

    Mh!!i dought she is the one am talking about.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wa kimachame ni wakatili kuliko simba?

    me namjua mmoja anakaa kimara resort jina namuhifadhi ile ipo siku hapa jamvini nitawaja coz hawana roho za ubinadamu.nikiwa hospital nimelazwa kwa ajili ya kujifungua hakuja.akajidai kuja wakati nimeshatoka hosptl vile vitu sijavitumia mpaka leo nasubiri tu siku moja nimrudishie coz alichangia...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Enyi wanaume msiwe na tabia kama za mume wangu

    story yako imenigusa sana.unashangaa hilo???me nilizokuwa hospital kwa ajili ya kujifungua mtt ambae najua amekufa kupata hata msaada wa senti tanx kwa huyo wanaume ambae yupo humuhumu jamvini,hata baada ya kujifungua nikampigia simu ili aje wakamzike mwanangu akaniambia nitafute wale...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Enyi wanaume msiwe na tabia kama za mume wangu

    kuna ukweli kuwa wanaume wa kabila hili wanaukatili flan hivi.kisa kinachokupata kina fanana kabisa na kilichonipata.usipokuwa makini wanaweza kabisa kukuletea madhara makubwa.fanya uamuzi sahihi
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane MATUKIO YA KUSIKITISHA yaliyotokea TZ 2011

    nakumbuka jinsi mtt wangu alivouliwa na jamaa mmoja tena huku akishirikiana na mama yake.wakati nipo kwenye msiba huo anataka kunimaliza kbs kwa kuniibia pesa zote nilizokuwa nazo kkisha kuzitafuna na mama yake. Cha ajabu na kushangaza ni mwanajf na hujifanya kuandika madam mbili mbali humu...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Wa Mafia Mkoani Pwani Mheshimiwa Abdulkarim Shah Akodi Boti na Kushiriki Kuokoa Wahanga Wa Ma

    binafsi nampongeza sana yule mbunge.yan alipanda mpaka ile boti ya uokoaji na kushiriki ktk kuokoa wale ndugu zetu.ni mfano wa kuigwa.mbunge tunakupongeza sana kwa moyo wako wa utu.
Back
Top Bottom