glory vipi mbona cjaelewa yan nimerudia mara 2 2 cjaelewa kwanini unaonekana umechukizwa na thread ya jamaa
vipi huyo dada anayejiapiza kwako kuna shida naye?thanks mkuu nilimnunua uko uko kwa polic mmoja nimecheki nae kaenda kusoma itabidi nitafute mwingine hapo
wakuu nina mbwa wangu jike ila sina dume la kulipanda na lipo heat naitaji mwenye dume zuri germansherpahad pls
Dr. Phone
Hebu tupia jicho kwenye thread hii, huenda ukapata huyo mbwa.
Kila la kheri
Kumbe mnajuana kwa mengine??ww jike dume la NBC ukiendelea kunifata fata nitaweka ***** wako wote hapa hadharani ucfikiri nakuogopa unafatilia maisha yangu ww una maisha yako wanaume wapo wengi nakuonya mara ya mwisho nikiona post yako yakunizungumzia hapa jamii forum ujue imekula kwako umeajiriwa na benki na wanakulipa mshahara sio kufatilia maisha yangu kila nakwambia wazi nitaweka kila k2 hapa na za ofisi unazotumia kuongea masaa kibao na wa2 kuchunguza maisha yangu hyo computer ya ofisi umepewa kwa matumizi ya ofisi na siyo kufatilia maisha yangu na kunichafua yatosha yatosha kama unahoja mashitaka juu yangu madai juu yangu nenda kwenye sheria na kweleza ukweli nilikusamehe lakini naona unanifata fata nitakusanya ushahidi wote wa kwenye facebook, jamii forum na msg za simu na rb zote nilizonazo tutakutana mbele ya sheria nimechoka. mm sio mumeo tafuta mumeo RUDIA TENA NAWEKA FULL DATA ZAKO HAPA NA UNAPOFANYIA ILI WAKUJUE NA WATOE COMMENT ZAKO.
ookey kumbe mbwa jike unayemzungumzia c mbwa bali mtu!?ww jike dume la NBC ukiendelea kunifata fata nitaweka ***** wako wote hapa hadharani ucfikiri nakuogopa unafatilia maisha yangu ww una maisha yako wanaume wapo wengi nakuonya mara ya mwisho nikiona post yako yakunizungumzia hapa jamii forum ujue imekula kwako umeajiriwa na benki na wanakulipa mshahara sio kufatilia maisha yangu kila nakwambia wazi nitaweka kila k2 hapa na za ofisi unazotumia kuongea masaa kibao na wa2 kuchunguza maisha yangu hyo computer ya ofisi umepewa kwa matumizi ya ofisi na siyo kufatilia maisha yangu na kunichafua yatosha yatosha kama unahoja mashitaka juu yangu madai juu yangu nenda kwenye sheria na kweleza ukweli nilikusamehe lakini naona unanifata fata nitakusanya ushahidi wote wa kwenye facebook, jamii forum na msg za simu na rb zote nilizonazo tutakutana mbele ya sheria nimechoka. mm sio mumeo tafuta mumeo RUDIA TENA NAWEKA FULL DATA ZAKO HAPA NA UNAPOFANYIA ILI WAKUJUE NA WATOE COMMENT ZAKO.
je mbwa jike anayezungumziwa ni wewe?! Maneno yako yananipa wasiwasinafsi yakoinakusuta sana kwa huyo mbwa.unajua alipatikana vipi.lkn Mungu yupo anaejua kuwakomesha wenye kiburi na wadhulumishi.ijapokuwa unaona hawana mtetezi lkn yupo asieonekana.inawezeka unajiona umewin,mjanja ndio lkn ipo siku utavuna ulichopanda na macho yetu yatashuhudia.ni watu wangapi leo wanalia kwa uovu wako??namba inajulikana.lkn ipo siku yule anaenyanyasa watu hatutamuona tena.ipo siku!ipo siku!na haiko mbali
angalia usije ukajiua sbb ya mwanaume!lkn haki iko,siku moja ukweli utajulikana
lkn haki iko,siku moja ukweli utajulikana
Kumbe mnajuana kwa mengine??
Manaake wadau tulikua tunajiuliza kulikoni mbwa kutafutiwa mume, eti yeye ahuzunike na kutoa maapizo chungu mzima.
Thanks mkuu kwa kutuweka wazi