Enyi wanaume msiwe na tabia kama za mume wangu

pole cna, zaidi zaidi angalia afya yako na mtoto aliye tumboni ucje ukasema unang'ang'ania mali baadae hali ikawa worse zaidi ukapotea wewe na kiumbe chako, kama sasa hivi una uwezo wa kula vizuri mpka utakapojifungua hebu fanya hivo hayo matatizo mje msolve ukiwa umeshajifungua, but now mhhhh ckushauri kupambana, kama mlichuma wote nazani una access ya kuchukua pesa pia kwa matumiz yako na mtoto bila kumwomba yy. pole cna
 
kuna ukweli kuwa wanaume wa kabila hili wanaukatili flan hivi.kisa kinachokupata kina fanana kabisa na kilichonipata.usipokuwa makini wanaweza kabisa kukuletea madhara makubwa.fanya uamuzi sahihi
 
i have learnt my lesson... Hat mtu alalame vp kuhusu mwenza, never listen to one side of the story. Nilisikiliza wengi nikaona huruma kuja kujua ya kweli nilitamani ardhi ipasuke... Much as i feel sorry, i think tje man who wakes up in the middle of the night crying and seeking for forgiveness has a lot more to share

merry new yia
 
kuna ukweli kuwa wanaume wa kabila hili wanaukatili flan hivi.kisa kinachokupata kina fanana kabisa na kilichonipata.usipokuwa makini wanaweza kabisa kukuletea madhara makubwa.fanya uamuzi sahihi

Mary Glory hebu sema wewe ulifanyaje baada ya kukumbana na hali hiyo ili mwenzio nae aige mafanikio yako
 
nimeolewa na ninamtoto 1 wa 5yrs, mwanzo wa ndoa yetu tulikua na maisha ya chini ndugu wa mume waliniheshimu nami niliwaheshimu, MUNGU akatujalia rizki tukajenga na tukafungua biashara, mawifi (Wamachame)wote wameolewa na wanamaisha mazuri wakaanza tabia ya kuja kwangu ghafla kwa wakati tofauti bila taarifa na wananiambia naomba laki 5,6 nitarudisha, inabidi nijipigepige niwape nikatoa km mara 3 hawarudishi mwisho akaja 1 kutaka nimpe kaki 8 atarudisha nikamuuliza mbona hajarejesha ile hela nyngne aliyonikopa? hapo ndo wakaanza kunipiga vita na kumwambia mdogo wao "mume wangu" kuwa
mimi simfai eti kwanini nawanyima hela wakati ni za ndugu yao, na mumewangu akaanza kunichukia, nikimwelewesha haelewi amenimbia hataish na mimi km mkewake na hatajishughulisha na mtoto aliye tumboni mwng kwa sbb sitaki kuwafanyia dada zk chcht wanachotaka,HUU NI MWEZI WA 2 UNAISHA HAJAWAH KUNIULIZA CHCHT JUU YA MAENDELEO YANGU WL MWANAE TUMBONI ila mara 3 sasa anaamka usiku analia na kumuomba MUNGU AMSAMEHE, NIFANYAJE MIMI?

DADA YANGU;
Ushauri wangu kwako ni kama ufuatao;
1. wewe kamwe usiache kazi yako na endelea kufanya kazi. Pia usikubali kwenda kukaa kijijini wkt una kazi ya kufanya. Kumbuka, hiyo kazi ndiyo itakayokusaidia wewe na huyo mtoto.
2. vunja ukimya na uongee na mmeo ili uweze kujua tatizo ni nini?
3. mkishaweza kuongea na kuelezena hali halisi, na mkubaliane kabisa kwamba hao ndugu zake wakija awape pesa yeye, na wewe utawapa tu kama unaziada (yaani kama nafasi inaruhusu).
4. Jitahidi sana kutulia na kuwa na amani ili uweze kumzaa huyo mtoto uliyenaye tumboni. Ukizidi kuzozana na hao mawifi, nakuambia kula uwezekano ukampoteza huyo mtoto uliyenaye tumboni. Na ikitokea hilo, mimi nabashiri hakutakuwa na ndoa hapo, kwani vituko vitakuwa vingi zaidi.
5. Pia mmeo huyo anapaswa kujua kwamba ndoa ni ya wawili na si ya ukoo. Kwani ukiruhusu third party kwenye ndoa, haijalishi ni nani? mara nyingi hiyo ndoa haitadumu.

Mwisho nakutakia kila la kheri na Mungu akulinde.
 
Dada polesana sana
yaani nilipokuwa nikisoma ilinichukua nusu tu ya habari kujua umeolewa na jini na sio mume kutoka kwa mungu
usisikie maneno ya watu ooh huyo ni mumeo ..watchout..utakuwa kafara akuna wachawi kamawanawake wa kimachame na ndio maana wanaume wengi wakiingia kule ni zaidi ya zezeta lakini ukiamua kusimama na mungu ukamtumikia mungu na kumkumbusha weeeeeeeeee watarudi umachameni na doublecoaster nakwambia sisemi ufike uko

mwambiemungu huyu mtotot nakukabidhi wewe umtunze umlishe muvalishe atakapokuwa na umsomeshe
nakwambia watakuja kwako kukuinamiaa best..nimeona church wacha huyo wako jini wakristo kabisa kanisan anasali kanisa moja wameachan jumapili mama anakuja kanisani na mimba yake na mume katoka kwake anaingia kanisa moja.....nasema usiogope m ni mmoja wa waathirika wa hayo maisha na nakuhakikishia watoto hao watakuwa nguzo kwenye familia na kila mmoja atamheshimu...mamayangu mzazi alifukuzwa nyumban akiwa na ujauzito wa miezi saba akaenda kulala kwenye vile vibanda vya polisi kwa kakake pale msimbazi...alipojigungua astill mwenye ile mimba alikuwa hai akuja kujua nani kazaliwa....samahani kukwambia nimemjua babangu mzazi nina miaka 13,aliposikia nimefaulu naenda form 1.nikahamishiwa kwenda private st anthony shangazi zangu walianza kelele bimkubwa anajidai ana hela wakamforce kakayao asinisomeshe..nasema simama na mungu anasema ananitumikia atoaibika kamwe..mamayangu alimpenda mungu na akiwa freealitumika kwa mungu ...sikumwona babtena mpaka aliposikia nimefaulu to pugu sec school,,nikiwa kule nilimwambia mungu anipe hii miaka miwili roho ya msamaha..nikiwa off narudi nyumban namsikia baba anampigia mama unaringa na huyo mtoto wako unafikiri atafika mbali..aisee wacha usimguse huyu mungu nilimwambia kama ni mapenzi yako basi naitaji kwenda chuoni kudhihirisha ufalme wako sikuacha kumwita mungu kila nikisoma kila nikifanya mtihani................leo namtunza babangu akiwa kwake alisema nitafika wapi

omba msahama..tubu kwa ajili ya mwanao kwa maneno yoyote mabaya mzee aliosema juu yake..maneno yanaumba then msamehe simama na mungu hii nistory ya ukweli nakwambia kukupa moyo mungu ndie anajua mwanao atasomaje kuna thread nilimtukuza mamangu kwa upendo wake kwa kuuza pete yandoa nilipe ada ya form six leo anakula memam ya nchi kutoka kwa mwanae nikiwa duniani..mwambie mungu asimchukue mzee aone matunda ya mungu akiwa hai
sikupi pole ujafiwa sema na muumba wako
ubarikiwe
 
Acha ujinga wewe wanawake wanaweza siku hz namna gani bana alah hao mawifi zako wanakupa uhai? Wanaweza kulala na kaka yao bila nguo? Wewe una nafasi yakumshawishi kitandani mkiwa hamna nguo jaribu halafu unambie kama hajaingia line hujui trick zahawa viumbe?

duh! wewe ni mtu "hatari" sana
 
nimeolewa na ninamtoto 1 wa 5yrs, mwanzo wa ndoa yetu tulikua na maisha ya chini ndugu wa mume waliniheshimu nami niliwaheshimu, MUNGU akatujalia rizki tukajenga na tukafungua biashara, mawifi (Wamachame)wote wameolewa na wanamaisha mazuri wakaanza tabia ya kuja kwangu ghafla kwa wakati tofauti bila taarifa na wananiambia naomba laki 5,6 nitarudisha, inabidi nijipigepige niwape nikatoa km mara 3 hawarudishi mwisho akaja 1 kutaka nimpe kaki 8 atarudisha nikamuuliza mbona hajarejesha ile hela nyngne aliyonikopa? hapo ndo wakaanza kunipiga vita na kumwambia mdogo wao "mume wangu" kuwa mimi simfai eti kwanini nawanyima hela wakati ni za ndugu yao, na mumewangu akaanza kunichukia, nikimwelewesha haelewi amenimbia hataish na mimi km mkewake na hatajishughulisha na mtoto aliye tumboni mwng kwa sbb sitaki kuwafanyia dada zk chcht wanachotaka,HUU NI MWEZI WA 2 UNAISHA HAJAWAH KUNIULIZA CHCHT JUU YA MAENDELEO YANGU WL MWANAE TUMBONI ila mara 3 sasa anaamka usiku analia na kumuomba MUNGU AMSAMEHE, NIFANYAJE MIMI?

Muombe kukaaa nae umushauli/umuelimishe akigoma mtafutie raia wa ma busara wamshugulikie.
 
jaman dada yangu nimekuwa nikisoma reply zako aisee inaonekana unapitia kipind kigumu sana ktkt ndoa yako, usikate tamaa dada muombe mungu sana yan sana, sali usiku na mchana mungu ni mwema atakujib 2, no wounder kuna nguvu za giza zinatembea hapo kat yenu ww usiache kusali wala usikate tamaa. pia kamwe usiache kuplay party yako kama mke jikaze ivo ivo wala usikate tamaa. uko kwenye sala zangu dada angu, wish u mary x mass.
 
Hapa nimejifunza kitu, ushirikiano ndani ya ndoa ni ki2 muhim sana, hata kampuni ina idara ya mawasiliano na philantropy, lazima kuwe na mutual agreement, kama dada anataka pesa lazima mkubaliane kwa pamoja.
Pia msiwashutumu wachaga, ndoa inahitaji shule na dini ina part kubwa sana hapa.
Ushauri wangu, ongea na mumeo vizuri utajua tatizo na mkubaliane jinsi ya kutatua, huyo mume ana matatizo sana ambayo kwa kukosa ushirikiano na mawasiliano kamili anateseka sana.

Merry x-mass
 
Bado hujamuacha tu huyo mume? Kimbia mwanakwetu atakuuwa huyo shauriako, kwani wazazi huna?
 
Then the LORD God made a woman from the rib he had taken out of the man, and he brought her to the man. The man said, "This is now bone of my bones and flesh of my flesh; she shall be called 'woman, ' for she was taken out of man." For this reason a man will leave his father and mother and be united to his wife, and they will become one flesh. Genesis 2: 22-24

But at the beginning of creation God 'made them male and female.' 'For this reason a man will leave his father and mother and be united to his wife, and the two will become one flesh.' So they are no longer two, but one. Therefore what God has joined together, let man not separate. Mark 10: 6-9
 
pole dada,huyo mumeo nae sie kabisa samahani kama ntakua nimekukera, huyu jamaa vp awaone dadazake wanamana kuliko wewe mkewe? kama pesa unawapa wao walikua wanatakaje hao ma wifi wambia waje wakae wao hapo ndani wewe wende kwa waume zao,
kama wanaona wewe unafaidi sana hapo kwa kaka yao, asikupoteze muda hukumkuta na pesa kama ni pesa amepata mkiwa nyote
sasa kinachokufanya ukaogopa maisha ya chini nini? kama mtoto atakua usikubali kua mtumwa eti sababu ya mtoto au sababu ya pesa...
 
i have learnt my lesson... Hat mtu alalame vp kuhusu mwenza, never listen to one side of the story. Nilisikiliza wengi nikaona huruma kuja kujua ya kweli nilitamani ardhi ipasuke... Much as i feel sorry, i think tje man who wakes up in the middle of the night crying and seeking for forgiveness has a lot more to share

merry new yia

Hilo nalo neno... Na ana seek forgiveness kwa nani? Mkewe? mbona hapa kama sijapaelewa vile!
 
Pole sana dada Sungura Mpole. Ulivyotaja kwamba mawifi ni wamachame mwili wangu uliota mbege.Wanawake wengi wa kimachame 70% ni wapenda hela wa hatari.Hata kukuua apate hela hilo kwao ni jambo rahisi sana. Sasa wewe yaelekea hukulifahamu hili ndo maana kama alivyoserma mwanaJF mmoja kwenye thread ingine, uliwapa mawifi lifti wao wakapiga honi.
Nikuambie kitu.Hata kama mnayo miti bustanini mwenu inayopukutisha manoti kila jioni, hizo fedha si za kugawa. Halafu siku zote ndugu wa mume wanaelewa kwamba hela mliyo nayo ni ya ndugu yao hata kama mgongo wako ulivunjikaga kutafuta hiyo hela. Kwa hiyo hukutakiwa kabisa kuwapa mawifi hata senti tano. Kilichowasumbua mawifi mpaka wakaanza kukusema ni kwa sbb ulitoa hela halafu ukafika mahali ukaacha.Hayo ndo yanakutesa sasa. Tatizo la mumeo ni kwamba anashindwa kuwaonyai dada zake kwani yeye ni mdogo wao. Anajisikia vibaya kutawaliwa na dadazake. Sungura Mpole, ukipona kutoka hali uliyonayo, mwulize mumeo dada zake wanapeleka wapi hela ilhali wana waume zao. ninavywajua wanawake wa machame, huenda hiyo hela wanayochukua waume zao hawana habari, wamazitumia kunywea pombe na kutamba mitaani basi - hata kuwatambia waume zao kwamba wana hela. Nakutakia Krismas njema dada na mwaka mpya uliojaa baraka tele.
 
Pole sana dada Sungura Mpole. Ulivyotaja kwamba mawifi ni wamachame mwili wangu uliota mbege.Wanawake wengi wa kimachame 70% ni wapenda hela wa hatari.Hata kukuua apate hela hilo kwao ni jambo rahisi sana. Sasa wewe yaelejea hukulifahamu hili ndo maana kama alivyoserma mwanaJF mmoja kwenye thread ingine, uliwapa mawifi lifti wao wakapiga honi.
Nikuambie kitu.Hata kama mnayo miti bustanini mwenu inayopukutisha manoti kila jioni, hizo fedha si za kugawa. Halafu siku zote ndugu wa mume wanaelewa kwamba hela mliyo nayo ni ya ndugu yao hata kama mgongo wako ulivunjikaga kutafuta hiyo hela. Kwa hiyo hukutakiwa kabisa kuwapa mawifi hata senti tano. Kilichowasumbua mawifi mpaka wakaanza kukusema ni kwa sbb ulitoa hela halafu ukafika mahali ukaacha.Hayo ndo yanakutesa sasa. Tatizo la mumeo ni kwamba anashindwa kuwaonyai dada zake kwani yeye ni mdogo wao. Anajisikia vibaya kutawaliwa na dadazake. Sungura Mpole, ukipona kutoka hali uliyonayo, mwulize mumeo dada zake wanapeleka wapi hela ilhali wana waume zao. ninavywajua wanawake wa machame, huenda hiyo hela wanayochukua waume zao hawana habari, wamazitumia kunywea pombe na kutamba mitaani basi - hata kuwatambia waume zao kwamba wana hela. Nakutakia Krismas njema dada na mwaka mpya uliojaa baraka tele.
 
SIJATHUBUTU KUMUULIZA ila wiki iliyopita nilikua kazini ghafla nikaanza kuishiwa nguvu nikamuomba anisaidie anipeleke hosp. Akakataa nikamwomba shemeji yng akaja akanipeleka kumbe presha na skari vilikua vimeshuka ikabidi nilazwe hajaja kuniangalia wl kunipigia simu hadi nilipotoka hosp. KWA UCHUNGU NILIOKUA NAO NILIPOMWONA MACHOZI YALIANZA KUTEREMKA KM MAJI SIKUWEZA KUMSEMESHA HATA NENO 1 ZAID YA SALAM.
Unaweza kuanzia hapo. Inaonekana huyu shemeji ni mwelewa... mweleze haya matatizo ya ndugu yake uone itakuwaje
 
Kuna kitu hakiko sawa hapo dada, mtu amekwambia hawez kuishi na wewe kama mkewe na hatajishughulisha na ujauzito wako, halafu usiku anaamka na kulia na kumuomba Mungu msamaha?! kwa nini asikuombe wewe?! anapokuwa anaomba msamaha anajua unasikia au unakuwa unaigiza kusinzia!? Nadhani kuna kitu ambacho hujapenda labda kutuambia? ama kwa kusahau ama kwa makusudi.
Najiuliza kwa nini dada zake wasimwombe yeye wakuombe wewe? kwa nini ahitaji uwasikilize dada zake kiasi chote hicho? na kwa nini awaamini wao(dada zake) kiasi cha kukubali hata wakimuambia chochote kuhusu wewe ambaye ninaamini kwa muda mliokaa pamoja anakufahamu vizuri zaidi!
 
Pole sana dada hizo ni changamoto za maisha tu kwani njia ya mafanikio ina kona na vikwazo kibao, mtegemee Mungu ndiye pekee mtetezi wako
 
HATUJAWAH KUWAJOPA KWANI WKT TUNAOANA MIMI NA YEYE TULIKUA WAAJIRIWA NA TULIPANGA JINS YA KUTUMIA HELA NA AKIBA TULIIDUDULIZA MPAKA TUKAWEZA KUFUNGUA BIASHARA NA KUJENGA, ninavyoelewa jambo jingine lililowaudhi mawifi ni WALIKUA WANANILAZIMISHA NIACHE KAZI NA NIMUACHE MUME WANGU MJINI NIKAKAKAE MACHAME NA MAMA MKWE jambo ambalo nililikataa pia
aaah hapa penye red mama. Nitakuambia jambo. Ninae mwanamke shujaa wa maisha yangu. nae walimwambia aache kazi. akagoma wakamfanyia visa hadi ikabidi afanye uamuzi mgumu. aliondoka akiwa na watoto wawili. akaendelea na kazi yake tena ya ualimu. akasomesha hao watoto hadi vyuo vikuu.ahahahahha gues what? the so called mawifi wanabaki midomo wazi kila kukicha. acha kufa kwa presha kaza buti changamkia biashara yako nyanyuka mwanamke. Mungu alimuumba mwanamke na extra akili hasa akizitumia. hujiulizi kwanini mwanamke mjane anaweza kulea wanawe vizuri kwa akili wakati mwanaume hadi awagawe watoto au aoe tena.eeebo nyanyuuuuuka mama. prove to them kwamba we ni strong. na ufanye yote katika mungu. usijidanganye au marafiki wasikudanganye kwa habari ya kwenda kwa waganga au walozi. SIMAMA KWA Miguu Yako ukaifanye kazi kwa mikono yako na Mungu akubariki hata washangae.
 
Back
Top Bottom