Tukumbushane MATUKIO YA KUSIKITISHA yaliyotokea TZ 2011

Mheshiwa "david kafulila"kuvuliwa uanachama wa chama cha nccr mageuzi na kisha kulia hadi kutoa makamasi kwa zaidi ya dakika 40 kwa nia asamehewe kuvuliwa uanachama...kweli unga mtamu,sifa kwishinia.
 
nakumbuka jinsi mtt wangu alivouliwa na jamaa mmoja tena huku akishirikiana na mama yake.wakati nipo kwenye msiba huo anataka kunimaliza kbs kwa kuniibia pesa zote nilizokuwa nazo kkisha kuzitafuna na mama yake. Cha ajabu na kushangaza ni mwanajf na hujifanya kuandika madam mbili mbali humu jamvini .kn ni muuaji tena tapeli mkubwa.ila yanayompata kwa sasa nafikiri anajutia nafsi yake na kwakweli malipo ni hapahapa duniani.
 
Hee! Pole sn. Tutajie ID ya huyo muuaji basi!
 
mabomu ya gongo la mboto, kifo cha sheikh yahaya,.kifo cha gaddafi, kuachiwa huru kwa askari waliomuua imran kombe, lowassa kumpasulia ukweli jk kuhusu richmond, kuvuma kwa habari et mwisho wa dunia 21/5/11

now ni 21.12.2012
 
nakumbuka jinsi mtt wangu alivouliwa na jamaa mmoja tena huku akishirikiana na mama yake.wakati nipo kwenye msiba huo anataka kunimaliza kbs kwa kuniibia pesa zote nilizokuwa nazo kkisha kuzitafuna na mama yake. Cha ajabu na kushangaza ni mwanajf na hujifanya kuandika madam mbili mbali humu jamvini .kn ni muuaji tena tapeli mkubwa.ila yanayompata kwa sasa nafikiri anajutia nafsi yake na kwakweli malipo ni hapahapa duniani.

pole sana inaonyesha unauchungu sana moyoni mwako ila kama alikuibia ulichukua hatua gani? mana ni mwizi kwenye mauaji ulimchukulia hatua gani? kwenye utapeli pia uliwai kumshitaki? na ni yalompata sasa? mana kila mara unapost kisa cha m2 huyo huyo ujawai kutuambia sasa yupo polic au la? je shutuma zako zinaukweli wowote?
 
Back
Top Bottom