Chakula cha mifugo kwa bei chee kabisa

Chakula cha mifugo kwa bei chee kabisa

Mary Glory

Senior Member
Joined
Mar 20, 2011
Posts
124
Reaction score
20
Jaman chakula cha mifugo hasa nguruwe au ngombe kinauzwa kwa bei chee kabisa.chakula hiki ni special kwani kina mchanganyiko wa vitu vifuatavyo:

1.pumba
2.ngano
3.unga wa mahindi
4.mahindi yenyewe.
ni kizuri na kinanenepesha sana mifugo hasa nguruwe kwa muda mfupi.bei ni nzuri tutaelewana.kwa anaehitaji please piga namba hii


karibuuuuuuuuu
 
Sema bei kabisa ndugu tupunguze gharama za simu.
 
Back
Top Bottom