Kwanini wanawake wa kimachame ni wakatili kuliko simba?

Kwanini wanawake wa kimachame ni wakatili kuliko simba?

Status
Not open for further replies.
mzalendo mie ndio wa kunishukuru mwaya nimewarusha kimtindo na mwaka huu usipopata mimba kabla ya ndoa basi mahari ntakuja kuipokea mie mdada pls usininyime ndoa kama bado

ha ha ha ha ha umenichekesha hadi basi du yamekuwa hayo Pdidy, basi ntabana ili uje upokee mahari ya wakaka wewe tu, yaani mipango ikianza tu nakupm
 
Ana Toyota Stout huyo! Hana dili. Mi nna Cruza, mkonga, ya 2010, pick up lakini hata ukijileta kwangu bure sikutaki bana! Usije uka ni mwakyembe bure!

unafikiri hata mi nataka mtu kama wewe sitaki unajua kwa nini kwa sababu unafikiri unajua kumbe hamna lolote halafu we mkabila gani maana nshahisi ni lile ninalolichukia ha ha ha ha embu punguza makali usiniharibie mwenzio
 
Ujinga ungekua unaua tungewapoteza wengi!!

yaani naona wananichosha kwa kweli especially sara embu ngoja nitafute mbege ya sikukuu nije nimpumzikie. kha hivi kwa nini tunawajibu pesa nani atatutafutia, sara hawezi hata kuuza mkonga wake ndio huo tu anao. tukatafute hela mwaya maneno yao hayatulishi wala kutuwekea magari yetu mafuta.
 
kuna mmoja huku kiteto, manyara alikorofishana watoto wa kaka yake, baada ya ugomvi kukolea akaendea panga akataka kuwacharanga watoto wa kaka yake. Mwanzoni tulidhani utani, bahati nzuri madogo walitimua mbio. Na jamaa wakikasirkia lazima wajitambulishe kuwa 'wao ni wanawake wa kimachame'.

unasema huyo kuna yule binti aliekuwa na duka kubwa pale moshi mjini kituo cha basi samahani wachaga hii ni msg ya mwisho kwa wachaga mumewe akashtuka ana jamaa anakula mzigo aisee yulejamaa nahisi ni mkuria akamterminate kwenda dukani siku inayofwata aisee loh binti asimchukue mtoto mchanga akafungua oven akamhifadhi huko mumewe anarudi anasikia arufu ya nyama na karatasi la salamu zao ..kufungua unajua kilichotokea naomba niishie hapo..ukizaa nao uwe makini sana hasira ni dk 2 mbele
 
Ikiwa wanaume wakichaga wanaogopa kuoa Machame unategemea nini?
 
bora liwepo jukwaa la kuwasema wanawake wa kimachame khaaaa toooo much thread za kutusema dailyyyy .......wat z goood mahari zinaletwa
 
alichangia kumua mwanao kwa kutokuja hospitali au? ebu tuambie mary mana kila cku unatuambia maneno haya kama unachuki binafsi na wamachame kuwa wazi tu mana unaye mlalamikia ni mmoja lakini unawahusisha wamachame wote inaonyesha ulimpenda sana akakupiga chini mbona wahehe wengi wanafanya mabaya mengi na ukatili lakini usemi? badala yakutuhumu watu jamvini kama alihusika kumuua mwanao ulichukua hatua gani? hayo ndiyo ya msingi ili tujue ukatili ukoje acha kutuletea chuki binafsi watu wanaleta hoja za maana ww unadakia kwa chuki binafsi

wewe hawajambo huko usukumani??halafu siku hizi hapendwi mtu tunaangalia maslahi.anyway hayo yapo huko usukumani na si hapa mjini.
hata hivyo habari za siku nyingi???umepotea kweli toka mje siku ile sijakuona tena.karibu bwana tupo
 
KILA SIKU NASEMA NAONA LEO NIANDIKIE HII RANGI NYEKUNDU ILI MUNIELEWE

KAMA WAMACHAME WAMEWASHINDA SI MUENDE HUKO KWENU MKAOE KABILA ZENU JAMANI KWANI SISI HUWA TUNAWATONGOZA ki ukweli inaboa sana daily machame, hata sisi hatuwapendi vyasaka wakubwa nyie ... rundeni mashora muhe urere wenu simbai , visaa nyose
 
aikka kyeeku..ngekukundi so much.
 
KILA SIKU NASEMA NAONA LEO NIANDIKIE HII RANGI NYEKUNDU ILI MUNIELEWE

KAMA WAMACHAME WAMEWASHINDA SI MUENDE HUKO KWENU MKAOE KABILA ZENU JAMANI KWANI SISI HUWA TUNAWATONGOZA ki ukweli inaboa sana daily machame, hata sisi hatuwapendi vyasaka wakubwa nyie ... rundeni mashora muhe urere wenu simbai , visaa nyose

me penda veve sana tuu.......Shalis!!
 
kila siku nasema naona leo niandikie hii rangi nyekundu ili munielewe

kama wamachame wamewashinda si muende huko kwenu mkaoe kabila zenu jamani kwani sisi huwa tunawatongoza ki ukweli inaboa sana daily machame, hata sisi hatuwapendi vyasaka wakubwa nyie ... Rundeni mashora muhe urere wenu simbai , visaa nyose

lakini leeeeeee bana aaaaaaaaaaaaaaa luende uye lurudi wandaaaaaaaaaaaaaaaa ruwa nawatarama mkeri necha woseeeeeeeee amba nkiki kuanzia wanda muishi shindu shila muishi nenguo 7*8 ngiichi nacho nelalamika hia ila leeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee lurudi nyuma seeeeeeeeee wai ngiamba loi na kukonikunda ngikunde koniwaya ngiwaye tupu kuore mondu ngiamba ma ruwa naichi mkundi utani kabisa kabisa hasa kokuta mume wofo naore mali ngiamba neshaaaaaaa mpaka nasikie naiwashwa matulu
 
KILA SIKU NASEMA NAONA LEO NIANDIKIE HII RANGI NYEKUNDU ILI MUNIELEWE

KAMA WAMACHAME WAMEWASHINDA SI MUENDE HUKO KWENU MKAOE KABILA ZENU JAMANI KWANI SISI HUWA TUNAWATONGOZA ki ukweli inaboa sana daily machame, hata sisi hatuwapendi vyasaka wakubwa nyie ... rundeni mashora muhe urere wenu simbai , visaa nyose

lakana nao mighima ikewawawia onkonu nyesi nsii mbwalukunde deenyi miuu ikewawawia fyasaka hifi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom