Unataka mwanao aje kuwa wizard wa computer . Soma hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unataka mwanao aje kuwa wizard wa computer . Soma hapa

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mtazamaji, Feb 29, 2012.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Miaka ya sas akuna nyezo nyingi tena kwa bei rahisi na nyingine bure amabzo zinawawezesha vijana wa kesho wawe wakali wazaidi kwenye mambo ya ICT kuliko wababaishaji kina mtazamaji lol . How can i Insult mysfelf? .... kiu ya kujua zaidi

  Anyway C&P ya habari yenyewe ni hii hapa


  Demand for a new miniature computer designed to interest children in coding sent the websites selling the product crashing earlier today - just hours after it went on sale.

  The Raspberry Pi – which costs just £22 - is being hailed as a revolutionary new device that could create a new generation of programmers.It is a rudimentary open circuit board that, once connected to a monitor, mouse and keyboard, works as a conventional computer.

  [​IMG]
  The operating system includes a version of entry-level computer language program "Scratch", which was originally devised at the world renowned Massachusetts Institute of Technology. Using this, Pi is designed to get children into computing coding, a trend that was sparked by the BBC Micro and Sinclair Spectrum in the 1980s.

  All proceeds from the project are going to charity as the circuitboard was created by volunteers headed by computer technician Eben Upton.

  It triggered so much excitement that two websites selling the Pi crashed this morning. The websites of component companies RS and Premier Farnell were unable to cope with demand – although the sites appeared to be back up and running by midday. But the official Raspberry Pi website had to revert to a static site as high traffic levels overwhelmed it.

  "We didn't realise how successful this was going to be," said Mr Upton. "This means we can scale to volume. Now we can concentrate on teaching people to programme."

  "The £22 model on sale today [Wednesday] is actually the pricier version of Raspberry Pi - a stripped-down £16 model will go on sale later this year."

  The circuitboard can be plugged into older analogue television sets as well as digital counterparts and it harnesses power from mobile phone chargers.

  Once the setup is complete users can boot up the open-source Linux operating system included on the inserted SD card. The Pi also contains an Ethernet port, allowing it to connect to the internet.


  NB
  Tusihishie kuwanunulia watotot na vijana wetu game za kuendesha magari na game za FIFA. wataishia kuwa "mateja" wa games huku hawajui hata chembe ya How hizo game zinavyotengnezwa. Hata tukiendelea kuwa End user basi tuwe end user wajanja.

  Na tusianshange kwa nini Kijana wa Miaka 19 UK aliweza kuhack tovuti ya FBI wakati hapa mtazamaji anaelekea kuzeeka .... mhh niishie haa nisijibishe zaidi . sisi tulichelwa na internet ilikuwa shida sio leo

  Chanzo Yahoo

  Nawasilisha
   
 2. C

  Chief Lugina JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 290
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mtoto wangu ana miezi 3
   
 3. k

  kotinkarwak JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2012
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Chief, ni vyema aanze mapema. Already ashaona ukiweka simu sikioni, and in its tiny beautiful mind will soon know unaongea na mtu mwingine ambaye hayupo hapo ulipo, else atashangaa, huyu vipi?!?!

  Good news, I have just rcvd an e-mail kuwa niweke order, next build nami nitapata elimu!...
   
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  mhh huyo may be bado lakini usimnunulie zawadi ya bastola unless.........
   
 5. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #5
  Mar 2, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  fi sana hii k2 mkuu nataka mwanangu awe mchawi wa hivi v2 mapema
   
 6. M

  Mary Glory Senior Member

  #6
  Mar 2, 2012
  Joined: Mar 20, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mh inategemea mtt mwenyewe makuzi yake.naimagine kuna mtu anamtt ambae alimfukuza mama yake miaka mingi iliyopita.mtt amekua akiishi na mama tofauti.leo huyu kesho huyu achilia mbali mahausigeli wa ajabu ajabu wengine hata wachawi.yan ni wiki tu kama tatu zimepita mtu amemfukuza mwanamke mwingine ambae hata miezi mitatu hajamaliza.mbaya zaidi mwanamke mwingine kenda kupeleka mtt mwenye kama mwaka mmoja hivi na mtt ni kopi right na baba kwan kashindwa kulea,loh nae kafukuzwa kama mbwa!jaman unategemea eti huyo mtt awe bright!haha yan ndo wauza karanga wa baadae kwa ujinga wa baba.jamn kuna wanadamu wanajiona kama Mungu!ananyanyasa watu ka vile hataenda kaburini!ila malipo hapahapa dunian coz kumbe hata hela ya kula saa hizi ni taabu.yetu macho tuemfungua tuone episode na ndo kwanzaaaaaa imeanza!
   
 7. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #7
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Karbu tena jukwaa la teknoloa dada MG . Nilitaka kujibu kitu lakini naona nitatoka kwenye mada kuu. Maelezo yako yaatia huruma..........
   
Loading...