Jamani naitaji dume la german shepherd | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani naitaji dume la german shepherd

Discussion in 'Matangazo madogo' started by drphone, Mar 5, 2012.

 1. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  wakuu nina mbwa wangu jike ila sina dume la kulipanda na lipo heat naitaji mwenye dume zuri germansherpahad pls
   
 2. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,120
  Likes Received: 7,368
  Trophy Points: 280
  Ukikosa kabisa unaweza ukajisevia hata wewe tu (joke)
   
 3. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #3
  Mar 5, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  hehehe Dah!
   
 4. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #4
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  mkuu nenda pale polisi ufundi kurasini, watakupa msaada.
   
 5. M

  Mary Glory Senior Member

  #5
  Mar 5, 2012
  Joined: Mar 20, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  if rightousness can not be found on earth you better find it in heaven
   
 6. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #6
  Mar 5, 2012
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Mary nini tena mamaa? Mbona maapizo mengi?
   
 7. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #7
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,120
  Likes Received: 7,368
  Trophy Points: 280
  Kwani imekuweje tena dada??
  Yaani umehuzunika kutokana na nini hasa??
  Yeye si anamtafutia Mbwa wake bwana, tabu iko wapi kwani??
   
 8. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #8
  Mar 5, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  he!? isijeikawa unaugomvi na mumeo
   
 9. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #9
  Mar 5, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,580
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  mamaaa...!, kuna nini tena???
   
 10. Kiteitei

  Kiteitei JF-Expert Member

  #10
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 14, 2009
  Messages: 1,257
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  heeee! Jamani hivi german shepherd ni mbwa au ni mtu!!!mbona sielewi elewi hapa!!
   
 11. kejof2

  kejof2 JF-Expert Member

  #11
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 1,722
  Likes Received: 349
  Trophy Points: 180
  mhh unamuonea wivu mbwa kupandwa na g.shephrd?
   
 12. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #12
  Mar 5, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  glory vipi mbona cjaelewa yan nimerudia mara 2 2 cjaelewa kwanini unaonekana umechukizwa na thread ya jamaa
   
 13. M

  MWENDAKULIMA JF-Expert Member

  #13
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 961
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Dah,sijui ni nini kinaendelea hapa Dr. Phone muanzisha uzi kaingia mitini na mtoa tuhuma pia.Kuna nini bandugu? tujuzane SVP
   
 14. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #14
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,422
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  seems like huyu mama Glory aliwahi kuibiwa mbwa na anamtuhumu huyu anayetafuta dume kwa wizi ule!
   
 15. RabidDog

  RabidDog Member

  #15
  Mar 6, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 25
  Kuna mambo ya msingi hapa!
  1. Dr Phone, unafugaje mbwa jike bila mbwa dume (what was your plan? Are you a man?). The principle is that the animal need to be fixed unless you wanted to breed the animal which in all case you were then supposed to have a male friend! The female dog need to be spayed to control hormonal functions (mambo ya hamu). Vinginevyo wewe uko miongoni mnaosababisha mbwa/wanyama wa mtaani!
  2. What is the interest of Mary Glory to this scenario?, is it that you stole the dog or she is your wife and she has become aware that you are involved with the dog! If this is the case, then Shame on you!
   
 16. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #16
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  du mkuuu naogopa chama cha haki za wanyama (joke)
   
 17. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #17
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  thanks mkuu nilimnunua uko uko kwa polic mmoja nimecheki nae kaenda kusoma itabidi nitafute mwingine hapo
   
 18. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #18
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  ww jike dume la NBC ukiendelea kunifata fata nitaweka ***** wako wote hapa hadharani ucfikiri nakuogopa unafatilia maisha yangu ww una maisha yako wanaume wapo wengi nakuonya mara ya mwisho nikiona post yako yakunizungumzia hapa jamii forum ujue imekula kwako umeajiriwa na benki na wanakulipa mshahara sio kufatilia maisha yangu kila nakwambia wazi nitaweka kila k2 hapa na za ofisi unazotumia kuongea masaa kibao na wa2 kuchunguza maisha yangu hyo computer ya ofisi umepewa kwa matumizi ya ofisi na siyo kufatilia maisha yangu na kunichafua yatosha yatosha kama unahoja mashitaka juu yangu madai juu yangu nenda kwenye sheria na kweleza ukweli nilikusamehe lakini naona unanifata fata nitakusanya ushahidi wote wa kwenye facebook, jamii forum na msg za simu na rb zote nilizonazo tutakutana mbele ya sheria nimechoka. mm sio mumeo tafuta mumeo RUDIA TENA NAWEKA FULL DATA ZAKO HAPA NA UNAPOFANYIA ILI WAKUJUE NA WATOE COMMENT ZAKO.
   
 19. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #19
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Mkuu analake jambo huyu bidada soon nitayaweka hapa naona amevuka mipaka
   
 20. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #20
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mkuu huyu mbwa nilimnunua kuracni ckuwa na hela ya kununua 2 muuzaji akaniambia nichukue jike kwa vile ni mkubwa ataingia heat mapema alafu atanipa dume ila akaja kuliuza akaenda shule ndicho kilichotokea mkuu na sitaki apandwe na makoko.
  2.Huyu mary anamatatizo yake binafsi na mm na alijiunga humu ili kuja kunifatilia sio mke wangu wala mchumba wangu kujuana ndo imekuwa tabu kiasi hiki sikuwai kujua kama ni kosa kumwambia m2 sitaki urafiki na ww tena ni kuchafuana
   
Loading...