Enyi wanaume msiwe na tabia kama za mume wangu

binafsi naomba kumtukuza Mungu kwwa kupanda laki moja 100,000 tafadhali ikibakimiezi miwili kabla ya kujifungua ni pm tafadhali najua kidogo lakini najua nilipotoka
Mungu akubariki dadaangu ukiwa na mahitaji ya kiroho ni email denismandia@yahoo.com
 
umeniumiza roho sana kwa nini wanaume ni wakattili hivi ,,mke wangu akikaribia kutoka hospiyal na mtoto akawa na dadammoja analia pemben yaani mumewe yuko moro kadai ajisaidie mwenyewe hana muda wa kuja ilimchukua siku tatu siku nilipokuwa naondoka wife akasema tumchukue .nikamweka kwenye gari wakakaa kwenye nyumba yetu ya nje miezi mitatu nalea wajwazito wawili jamani nilimwona Mungu sikuwa na kazi lakini alinipa kujua nalipaje maziwa nikafika wakati kumuuliza Mungu naitaji kazi angalia ninavyopambana mwenyewe ilinichukua wiki tatu kuwa hapa nilipo as a manager for the first time in ma life..yule mama akaomba nimpe nauli ya moshi nikapata mshahara wa kwanza nikajitoa lakimbili na nusu akamwita mtoto PDIDY jamani siko mwenyewe tuko didy hadi moshi kiraracha
 
Wee ropoka ropoka tuu! Alafu nahisi haujaolewa! Ameandika machache sana yaani hatujui ni mangapi ameficha na ni madhaifu gani wanayo. NAKUSHAURI DADA WAITE WAZAZI WAKO NA WAKE KAENI MUELEZEE MADHAIFU YENU NA MPATE SULUHU NA SIYO HAPA HATUWEZI KU-RESOLVE PROBLEM BY USING SINGLE CANDIDATE.

Mmmmmh, wewe kaka (Baba Enock) mtake radhi mwenzio labda ni mwanaume mwenzio??????????
 
umeniumiza roho sana kwa nini wanaume ni wakattili hivi ,,mke wangu akikaribia kutoka hospiyal na mtoto akawa na dadammoja analia pemben yaani mumewe yuko moro kadai ajisaidie mwenyewe hana muda wa kuja ilimchukua siku tatu siku nilipokuwa naondoka wife akasema tumchukue .nikamweka kwenye gari wakakaa kwenye nyumba yetu ya nje miezi mitatu nalea wajwazito wawili jamani nilimwona Mungu sikuwa na kazi lakini alinipa kujua nalipaje maziwa nikafika wakati kumuuliza Mungu naitaji kazi angalia ninavyopambana mwenyewe ilinichukua wiki tatu kuwa hapa nilipo as a manager for the first time in ma life..yule mama akaomba nimpe nauli ya moshi nikapata mshahara wa kwanza nikajitoa lakimbili na nusu akamwita mtoto PDIDY jamani siko mwenyewe tuko didy hadi moshi kiraracha
story yako imenigusa sana.unashangaa hilo???me nilizokuwa hospital kwa ajili ya kujifungua mtt ambae najua amekufa kupata hata msaada wa senti tanx kwa huyo wanaume ambae yupo humuhumu jamvini,hata baada ya kujifungua nikampigia simu ili aje wakamzike mwanangu akaniambia nitafute wale wafanyakazi wa hospital wazike.alikuja baadae sana baada ya kushauriwa sana na wenzie.kama haitoshi alinifukuza nyumbani mwake na kuniibia pesa zangu nyingi tu.kujua nitafanyaje na hata nilipojaribu kwenda kuchukua vitu vyangu nilipigwa vibaya sana mpaka nilibrid.na yuko anatembe mitaani na halafu ni deacon kwenye kabisa moja hivi huwezi kuamini .kn ni kweli.ilifika mahali nilitafuta kilo .kn hakikuja.hata nilipo huwa naona kama sipo duniani,nahisi ni malaika wangu ndo anaishi acha kabisa sielewi wanaume waumbwaje
 
Mi nadhani hapo kunatatizo lingine wala siyo hizo hela za mkopo. Kwanini ulikuwa unawakopesha mawifi bila kumshirikisha mumeo? Kabla ya kumjibu huyo wifi yako ulitakiwa kujadiliana na mumeo kwanza na siyo direct namna hiyo. Nadhani wewe utakuwa una tatizo jingine na hao wifi zako. Haiwezekani mwanamme akugeuke fasta namna hiyo.
 
sijathubutu kumuuliza ila wiki iliyopita nilikua kazini ghafla nikaanza kuishiwa nguvu nikamuomba anisaidie anipeleke hosp. Akakataa nikamwomba shemeji yng akaja akanipeleka kumbe presha na skari vilikua vimeshuka ikabidi nilazwe hajaja kuniangalia wl kunipigia simu hadi nilipotoka hosp. Kwa uchungu niliokua nao nilipomwona machozi yalianza kuteremka km maji sikuweza kumsemesha hata neno 1 zaid ya salam.

tatizo ndio hiloo au kuna lingine?
 
SIJATHUBUTU KUMUULIZA ila wiki iliyopita nilikua kazini ghafla nikaanza kuishiwa nguvu nikamuomba anisaidie anipeleke hosp. Akakataa nikamwomba shemeji yng akaja akanipeleka kumbe presha na skari vilikua vimeshuka ikabidi nilazwe hajaja kuniangalia wl kunipigia simu hadi nilipotoka hosp. KWA UCHUNGU NILIOKUA NAO NILIPOMWONA MACHOZI YALIANZA KUTEREMKA KM MAJI SIKUWEZA KUMSEMESHA HATA NENO 1 ZAID YA SALAM.

Hata mm nlikua nasubiria jibu la swali la bishanga hapo juu. Aisee pole sana dada yangu. Muombe sana Mungu one day atafungua njia. Kwan majaribu ni kipimo cha imani. Yaweza ikawa ndugu zake wana muonea wivu na mafanikio yenu. Naelewa sana haya mambo. Dah hzi ndoa hzi acheni tu.
 
Waungwana mbona Thread yenyewe kama ni ya siku nyingi sana (2011). Mleta mada kweli bado yupo humu JF????
 
Hayo ungemwambia mme wako sisi wengine hatuko hivyo. Dada zangu wote wanajua mipaka yao kuhusu mahusiano yangu na mke wangu na yeyote anayevuka mpaka anapewa makavu live hapo hapo.
 
Nahisi anaomba msamaha wa kusamehewa na mwenyezi Mungu kwani baada ya kumsusa mkewe akawa na mchepuko akalivaa lile gridi la taifa na sasa hajuwi atamuombaje mkewe msamaha wakati waliompotosha ni dada zake. Shetani kweli ni mlaghai, mimi na mademu wa kichagga tofauti kabisaaaa, bora nijipigie punyeto nijilalie zangu. Mchaggaaaaa, no fuc.king way!
 
Pole sana Sungura..mazoea hujenga tabia..piga maombi kwa sana and tafuta njia ya kuyaongea, ikiwezekana mshirikishe wakubwa.
 
Back
Top Bottom