Posta kutamu bwana, asikuongopee mtu.

Dah, nilijikuta ghafla nimefika Posta ya zamani, acha ile mpya yenye makelele na mijengo mingi ya kisasa.
Pale kwanza kuna upepo bwana, wa bureeh! Afu kuna garden pale mbele ya NBC Corporate ambalo hata hulipi kuwako hapo, ingawa kuna viuchafu vya hapa na pale vya chupa za maji na maganda ya shikirimu, potelea mbali!
Cha bure huchagui bwana!
Yote tisa, kumi ni yale makundi ya raia wa Kiswahili wakicheza drafti na bao, kwanza hawana ubaguzi, hawaulizi kabila wala dini, mradi unasema lugha kama yao we unaliunga na stori zao. Wengi ni madereva taksi na mishen tauni, wanaujua mji vema sana, mtaa mpaka mtaa. Ukijiloga ukiwauliza eneo fulani, watakupa maelezo ya kina mpaka watakukera! Nilipata muda wa kujumuika nao, ni wacheshi, hawana ubaguzi hata kama ndo wanakuona mara ya kwanza, I mean hawakuulizi 'join date' au 'rep. power'?
Ah, Mungu Mwenyezi awazidishie viumbe wale...
Hivi nishawajuza kama pale kuna upepo wa bure eh? Miksa unasafisha macho yako kwa 'view' ya bandari na maji ya bahari, bila kusahau majengo imara ambayo umri wayo si haba ati?
Cha mwisho, hakuna kuchefuana pale, wale vijana wenye maisha ya 'bongo movies' wanaopatikana Mlimani City pale hawapo, kila mtu ni 'genuine' kama alivyo... Wala hautaona vi-skin vya kubana makalio na vitop vya kuacha matiti inje. Utamaduni wa Mswahili ungali na uhai fulani pale.
Hiyo ndo POSTA bwana,
afu ati watu wanalazimisha wengine wahamie Dodoma,
chezea Posta weye?

Ndefu sana inabore hata kwenye kusoma
 
hayo maeneo nikipitaga nakuwaga bize mno kiasi kwamba kila kitu mbele yangu naona kinanichelewesha,yaan napaona panafaa kupita ikiwa na ulazima.Ngoja siku na mm nikatalii huko labda nitakifurahia hicho kiparadiso kilichoelezewa.
 
Mpavu mbona uko banned lakini uko jukwaani kama kawa. Ymekatizia wapi mod hajakuona mkuu???:lol:
 
Dah, nilijikuta ghafla nimefika Posta ya zamani, acha ile mpya yenye makelele na mijengo mingi ya kisasa.
Pale kwanza kuna upepo bwana, wa bureeh! Afu kuna garden pale mbele ya NBC Corporate ambalo hata hulipi kuwako hapo, ingawa kuna viuchafu vya hapa na pale vya chupa za maji na maganda ya shikirimu, potelea mbali!
Cha bure huchagui bwana!
Yote tisa, kumi ni yale makundi ya raia wa Kiswahili wakicheza drafti na bao, kwanza hawana ubaguzi, hawaulizi kabila wala dini, mradi unasema lugha kama yao we unaliunga na stori zao. Wengi ni madereva taksi na mishen tauni, wanaujua mji vema sana, mtaa mpaka mtaa. Ukijiloga ukiwauliza eneo fulani, watakupa maelezo ya kina mpaka watakukera! Nilipata muda wa kujumuika nao, ni wacheshi, hawana ubaguzi hata kama ndo wanakuona mara ya kwanza, I mean hawakuulizi 'join date' au 'rep. power'?
Ah, Mungu Mwenyezi awazidishie viumbe wale...
Hivi nishawajuza kama pale kuna upepo wa bure eh? Miksa unasafisha macho yako kwa 'view' ya bandari na maji ya bahari, bila kusahau majengo imara ambayo umri wayo si haba ati?
Cha mwisho, hakuna kuchefuana pale, wale vijana wenye maisha ya 'bongo movies' wanaopatikana Mlimani City pale hawapo, kila mtu ni 'genuine' kama alivyo... Wala hautaona vi-skin vya kubana makalio na vitop vya kuacha matiti inje. Utamaduni wa Mswahili ungali na uhai fulani pale.
Hiyo ndo POSTA bwana,
afu ati watu wanalazimisha wengine wahamie Dodoma,
chezea Posta weye?

Nilikupiga picha ukishangaa shangaa

bustani-posta-ya-zamani.jpg
 
Hahahaahahah!
Asante kwa ofa lol!
Ngoja wanaomezea mate kwanza wakupate mie nitakuwa wa mwisho!!!
 
Akchuale haiko jikoni, ila inakuwaga ya moto siku zote.
Nasubiri tamko lako kama unaitaka...
Tatizo sijajua ni nn unataka kunipa,
Aambayo inakuwa ya moto wakati wote,
Tell me Mphamvu,wat is it jaman lol!
 
Tatizo sijajua ni nn unataka kunipa,
Aambayo inakuwa ya moto wakati wote,
Tell me Mphamvu,wat is it jaman lol!

mhm?
Hembu tukutane PM, my thread is too young kuhamishwa jukwaa la chini.
Sawasawa?
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom