Toyota IST

Tip Master

JF-Expert Member
Oct 17, 2011
490
532
Nimetokea kuvutiwa na toyota ist kwa yeyote mwenye uzoefu nayo naomba anihabarishe uimara wake kabla sijaingia mkenge wapendwa.
 
Nimetokea kuvutiwa na toyota ist kwa yeyote mwenye uzoefu nayo naomba anihabarishe uimara wake kabla sijaingia mkenge wapendwa.

Ni gari nzuri sana ila halitaki barabara mbovu kabisa, kama unaishi upanga na maeneo kama hayo ni gari nzuri
 
Kwanini haitaki barabara mbovu mkuu?tatizo ni body au tyre system si imara mkuu!
 
ni gari nzuri na fuel consumption yake ni ndogo. According to google hiyo ni highest version ya starlet(hawatengenezi vistarlet siku hizi.)

ingawa upatikanaji wake wa spare sijui labda wakija wengine watujuze.

Kingine gari ni utunzaji wako mkuu ukiwa unainhia kwenye makorongo na spidi za ajabu itaharibika, ila ukiitunza itakutunza!!!!
 
Ah..gari ya fuel consumption ndogo bana ina maana na engine yake ni ndogo...

Si ajabu haifiki hata lita moja!(kama Funcargo)

Anyway tujuzane
 
gari ndogo sana kama hizo ist vitz etc sio designed kuhimili barabara mbovu, hivo bodi zao zinakuwa nyepesi na laini ili engine ivute kirahisi. Spring zao pia si imara ukilinganisha na gari kama gx 100 etc zenye engine kubwa na bodi ndogo. Na gari ndogo kama hizo ist nyingi hawaweki tachometer (rpm mita) kwenye dash bodi, hivo kama rpm ziko juu during idling hutajua na ukichunguza utakuta gari hizo ndogo zina silence iko juu na hiyo hufanya tofauti ya fuel consumption kuwa ndogo kama kilomita 3 au hata 2 na gari yenye cc 2000 na yenye bodi ya wastani.
 
Mh!hivi inaweza kuimili safari kama ya dar mwanza ambapo ni full lami bila kuchemsha?
 
Mh!hivi inaweza kuimili safari kama ya dar mwanza ambapo ni full lami bila kuchemsha?

loh!!!! kwa hilo sijui , ila najua kuna jamaa yangu ana vitz anatoka nayo songea hadi dar, kama anasimama mahali sijui, then dar hadi arusha, sasa sijui vits na ist kama zinatofautiana sana?
 
loh!!!! kwa hilo sijui , ila najua kuna jamaa yangu ana vitz anatoka nayo songea hadi dar, kama anasimama mahali sijui, then dar hadi arusha, sasa sijui vits na ist kama zinatofautiana sana?

IST ni kubwa kuliko VITZ. Vitz inarange tokea cc 1000 to 1300 hadi 1500 na ndiyo ilirithi Starlet kuanzia mwaka 99. Marekani wanaita Yaris. IST inaitwa PRIUS huko marekani na IST ni jina la soko la Japan. Engine ya ist inarange kuanzia cc 1.3 mpaka 1.8 na zipo hadi AWD. Matumizi yako pekee yanaweza kuamua idumu or isidumu. Kuhusu safari ndefu usijali. Nenda popote as long as ni gari yenye injini inayojipoza.
 
kama ina nguvu basi itamfaa mtoa mada, maana pamoja na yoote gari ni utunzani wako. akipata yenye cc 1500- 1800 itamfaa kwa trip zake za mwanza,

hapo kwenye red, Vits kwenye soko la ulaya huitwa Yaris na Yaris Verso ni Funcargo .
 
Nashukuru sana wapendwa.naombeni kujuzwa hivi vipimo vya cc za engine vina huusiano na ulaji wa mafuta?
 
Nashukuru sana wapendwa.naombeni kujuzwa hivi vipimo vya cc za engine vina huusiano na ulaji wa mafuta?

ndo maana yake, ingine inavyokua kubwa ndo ulaji zaidi na nguvu zaidi. Ila gari ya cc 1500 haili mafuta kivile. . . Itakufaa
 
Nashukuru sana wapendwa.naombeni kujuzwa hivi vipimo vya cc za engine vina huusiano na ulaji wa mafuta?
cc means 'cubic centimeter' of fuel can be accomodated inside gasoline or diesel internal combustion engine.
 
mimi naomba kujuzwa cc na consumption ya mafuta ya mini-rav4.yan ile ya milango mitatu.na offcourse ningependa kujua bei yake kwasasa.nataka kujua kama itanisaidia kwashughuli zangu za hapa mjini
 
Mh!hivi inaweza kuimili safari kama ya dar mwanza ambapo ni full lami bila kuchemsha?

ist zina cc 1290 na 1490, nina jamaa wawili na wafaham wameenda mwanza na kurud kwa vitz yenye cc 990 bila tatizo kbs
so with ist ur more confident
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom