Recent content by Lukome

  1. L

    Kampuni ya mabasi ya Shabiby ni wahuni

    Kumbe shabiby ndiyo walivyo HIVYO, lakini njia ya Arusha zipo dar LUX, Kilimanjaro express, hai express, tilisho, easter nk Na dar to Dom zipo super lux buses kimbinyiko, ABC buses hizi super roof machines
  2. L

    Hivi kati ya Roman empire na Marekani ni nani haswa anayeitawala dunia?

    NAFIKIRI kupitia Uzi HUU wa LEO, nimeamini wapo baadhi ya wanaojiita wasabato masalia Ni SHIDA MNO, wana uelewa mdogo KHS biblia, watajaribu kuongelea chuki zao kwa kujaribu kutumia biblia in a wrong interpretation kuzungumzia mawazo ya mwanzilishi wa dhehebu lao anaitwa G. White KUHUSU uelewa...
  3. L

    Roman Abramovich Mmiliki wa Klabu ya Chelsea Ahamia Israel na Kupewa Uraia

    But, we say all are the citizens of Israel
  4. L

    Wolves, Leicester city na Everton watasumbua Sana epl

    EPL is the best league in Europe
  5. L

    Hivi haiwezekani kukamilisha upepelezi wa kesi ya mtuhumiwa yeye akiwa uraiani?

    There is no limitation of time to complete investigation, but mahakama yaweza kuifuta KESI ikiwa kuna uchelewshaji KESI
  6. L

    Ahsanteni Kimbinyikyo International Coach Dar-Dodoma

    Mimi nikienda DODOMA, napanda shabiby luxury bus, super loof, two by two bus seats, naikubali sana
  7. L

    USHUHUDA : Watanzania tuwe wakweli, kufuga kuku siyo rahisi kama tunavyodhania

    HII mada ya ufugaji, mbona huwa inazungumzwa Na madalali, kwanini huwa haizungumzwi Na wafugaji wenyewe? Kumbuka, kuku hufa sana Na magonjwa mbalimbali kama kideri, nk Na gharama za madawa ziko juu SANA. Ufugaji Ni gharama SANA Na faida yake Ni ndogo MNO Na unaweza kufuga kwa hasara KBS Sent...
  8. L

    Je, Bunge letu linaendeshwa kikada? Ili tuwe na Bunge la haki, lenye uwezo wa kuisimamia Serikali Kikamilifu, kuna haja Spika asitokane na vyama?

    Kaka Mayalla Paschal, hayo yote yapo ktk rasimu ya pili ya tume ya warioba, tumuombe Mungu atusaidie turudi kuyapitia yote makabrsha ya tume, turudi tuandike kariba ya karne
  9. L

    Usifanye Masters kama lengo lako sio kutafuta PHD

    PhD candidate is the person, who is prepared to the intellectual person who specializes a certain branch of knowledge and expert to solve any problem in the society Sent using Jamii Forums mobile app
  10. L

    Kwaherini wanaJF, nimegundulika nina ugonjwa wa Hepatitis B. Niliowakosea naomba mnisamehe

    PLEASE nenda muhimbili medical hospital nenda kitengo cha magonjwa ya ini, utaonana Na madaktari bingwa utaanzishwa dozi ya kukusaidia body immunity iwe Na nguvu ya kufight against the Hbv, please give up, God will heal YOU through medical treatment Sent using Jamii Forums mobile app
  11. L

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    We are suffering from saridecease, if we don't sack this manager, we gonna not enter into top four EPL. The team does possess football, but can't win against very small teams, we have no coach Sent using Jamii Forums mobile app
  12. L

    Makabila kumi yenye wanawake wazuri sana Tanzania

    Huyu kasahau KBS, kwa maoni yangu, wairaq, wambulu, wasambaa, wabondei, wadigo, wanyatulu, wanyiramba, wapare, warangi, wachaga, wahangaza Sent using Jamii Forums mobile app
  13. L

    Lissu is too shallow compared to Prof Kabudi

    Mwenye clip ya hotuba ya mh halima mdee bungeni akiwatetea wanasheria wote. Tupeni pia clip ya hotuba ya mh lissu ktk bunge la katiba, hapo tujadili ya mtoa Uzi huu
  14. L

    MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

    Mimi ni mkatoliki, nilibatizwa mwaka wa 1970, nilizaliwa mwaka 1968 NA sasa Nimefikisha miaka 50 na miezi kadhaa. Kwa kweli niseme tu, hizo kashifa dhidi ya kanisa letu hazikuanza Leo, zipo tangu zamani miaka ya nyuma sana na ziliasisiwa miaka 1880 NA waprostetant wa karne hizo NA baadaye...
Back
Top Bottom