Lissu is too shallow compared to Prof Kabudi

Wasioelewa watakushukia kwa maneno ya kipumbavu lakini ukweli ndo huo. Lissu hana anachojua zaidi ya kubwabwaja. Ni kati ya wanasheria wa hivyo kuwahi kutokea. Hata bwana mdogo Albert Msando anamtoa kwente reli. Ajitathmini aone kuwa nje ya ulingo wa siasa anacho kitu anaweza kufanya ? He is a bare headed mind in the darkest of ghost.
Msando huyuhuyu mchumia tumbo.
 
presentation ya kabudi naielewa vema sana anapotoa na mifano na huku anawakazia yale macho yake makubwa
 
K
Unazungumzia Kabudi gani ...........!!?

Huyu aliyetuingiza NKENGE kwenye Makinikia au mwingine .......!!? Tatizo Watanzania tunapenda sana maneno matamu ...!!
Kazi ya kabudi in kutoa macho kama bundi wakati anajibu hoja bungeni hasa asizozijua.
 
Umebugia maharagwe ya wapi?au Dodoma?
Naanza kwa kukubali title yangu ndiyo, kabudi ni level nyingine kwa kina Lissu na mdee,

Najua nitapigiwa kelele baada ya uzi huu wengine watasema umetumwa, wengine watasema heshima yako inashuka no sina heshima hapa, nipo kuwasilisha mawazo yangu,

Kwa uwezo wa kabudi wa uwasilishaji wa mazungumzo na mijadala huwezi kumlinganisha Lissu hata siku moja,
Lissu uonekana anajua sheria kwa wasioelewa,

Kwa kifupi lissu hupiga kelele kwa kutaja vifungu n.a. watu wanashangilia bila kujua,

Kwa ufupi nimefuatilia hata baadhi ya hoja za kibatala nikaona Lissu uanasheria wake anacheza na jukwaa tu,
Hajafika hata level za kina Marando, au Advocate Mukono, ila kwakuwa hawana platform ya kuonekana watu hawagundui

Angalia presentation style ya kabudi na relevance ya anachokisema kutokana na sheria, mwangalie LIssu presentation na relevance ya anachoongea, kwa kifupi Lissu sheria yake haijafika level hizo mnapomuweka,

Akiacha kuongea kwa kupiga kelele akiwa ametulia atakuwa mwanasheria mzuri , bado Ana nafasi afanye mazoezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni moja ya mada za kipuuzi na kijinga zaidi nilizowahi kuzisoma hapa jamvini!! labda tuwaachie wachache wenye muda mchafu wajadiliane na wewe! Bs.
 
Ata mama yako nae mbona yuko vizuri tu kwa ubishi

Sent using Jamii Forums mobile app
Haaahaaa....imekuwaje tena mama zetu na sio mimi na wewe? Mna kazi sana mnaomtumainia binadamu ambaye ana limitations zake. Lissu sio Tanzania. Ila ni mtoto wa Tanzania. Mtoto kamwe hawezi kukua kwa baba au mama yake. Mtabisha sana ila ukweli ni kuwa kuisaliti nchi sababu ya ubinafsi haikubaliki
 
Naanza kwa kukubali title yangu ndiyo, kabudi ni level nyingine kwa kina Lissu na mdee,

Najua nitapigiwa kelele baada ya uzi huu wengine watasema umetumwa, wengine watasema heshima yako inashuka no sina heshima hapa, nipo kuwasilisha mawazo yangu,

Kwa uwezo wa kabudi wa uwasilishaji wa mazungumzo na mijadala huwezi kumlinganisha Lissu hata siku moja,
Lissu uonekana anajua sheria kwa wasioelewa,

Kwa kifupi lissu hupiga kelele kwa kutaja vifungu n.a. watu wanashangilia bila kujua,

Kwa ufupi nimefuatilia hata baadhi ya hoja za kibatala nikaona Lissu uanasheria wake anacheza na jukwaa tu,
Hajafika hata level za kina Marando, au Advocate Mukono, ila kwakuwa hawana platform ya kuonekana watu hawagundui

Angalia presentation style ya kabudi na relevance ya anachokisema kutokana na sheria, mwangalie LIssu presentation na relevance ya anachoongea, kwa kifupi Lissu sheria yake haijafika level hizo mnapomuweka,

Akiacha kuongea kwa kupiga kelele akiwa ametulia atakuwa mwanasheria mzuri , bado Ana nafasi afanye mazoezi
Kabudu yupi huyo unaemzungumzia? Yule wa bunge la katiba au ni huyu huyu kinyonga wa sheria na katiba?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasioelewa watakushukia kwa maneno ya kipumbavu lakini ukweli ndo huo. Lissu hana anachojua zaidi ya kubwabwaja. Ni kati ya wanasheria wa hivyo kuwahi kutokea. Hata bwana mdogo Albert Msando anamtoa kwente reli. Ajitathmini aone kuwa nje ya ulingo wa siasa anacho kitu anaweza kufanya ? He is a bare headed mind in the darkest of ghost.
Wewe hujui lolote kaa tulia sindano ikuingie walimshindwa hadi wazee wa miwani nyeusi kumshauri amuondoe kwa mtutu maana ni shida atakuja kumsumbua yeye na genge lake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweki toka Kabudi awe mwanasiasa amezidi kuwa shallow. Lisu anajua kujenga hoja mara dufu kuliko Kabudi.
Kwa nchi yetu, uprof na uPhD havinajawahi kuwa faida bali hasara tupu. Wasomi wetu wanaogopa Sana wanasiasa. Daima hawapendi kusema ukweli.
Up to the moment I haven't seen Kabudi's worth to the country.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Let Prof. Kabudi be x and y be Lisu a function of x, f(x)

So

If x is member of all professors

Then f(x)=y

y=αx+β
Where
α and β are non negative integers and non zero

So, if there is no exit of prof, Lisu is equal to Constant

Therefore Lisu is always the best than professors regardless of their numbers

Don't forget other factors are fixed

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye clip ya hotuba ya mh halima mdee bungeni akiwatetea wanasheria wote. Tupeni pia clip ya hotuba ya mh lissu ktk bunge la katiba, hapo tujadili ya mtoa Uzi huu
 
Let Prof. Kabudi be x and y be Lisu a function of x, f(x)

So

If x is member of all professors

Then f(x)=y

y=αx+β
Where
α and β are non negative integers and non zero

So, if there is no exit of prof, Lisu is equal to Constant

Therefore Lisu is always the best than professors regardless of their numbers

Don't forget other factors are fixed

Sent using Jamii Forums mobile app
Duu! Umetisha
 
Naanza kwa kukubali title yangu ndiyo, kabudi ni level nyingine kwa kina Lissu na mdee,

Najua nitapigiwa kelele baada ya uzi huu wengine watasema umetumwa, wengine watasema heshima yako inashuka no sina heshima hapa, nipo kuwasilisha mawazo yangu,

Kwa uwezo wa kabudi wa uwasilishaji wa mazungumzo na mijadala huwezi kumlinganisha Lissu hata siku moja,
Lissu uonekana anajua sheria kwa wasioelewa,

Kwa kifupi lissu hupiga kelele kwa kutaja vifungu n.a. watu wanashangilia bila kujua,

Kwa ufupi nimefuatilia hata baadhi ya hoja za kibatala nikaona Lissu uanasheria wake anacheza na jukwaa tu,
Hajafika hata level za kina Marando, au Advocate Mukono, ila kwakuwa hawana platform ya kuonekana watu hawagundui

Angalia presentation style ya kabudi na relevance ya anachokisema kutokana na sheria, mwangalie LIssu presentation na relevance ya anachoongea, kwa kifupi Lissu sheria yake haijafika level hizo mnapomuweka,

Akiacha kuongea kwa kupiga kelele akiwa ametulia atakuwa mwanasheria mzuri , bado Ana nafasi afanye mazoezi

Kwanza kabisa Halima Mdee muondoe kwenye hii ligi ya magwiji wa sheria, huyu ni mtoto mdogo sana kumuweka kwenye ligi ya sheria ya Kabudi na Lissu.

Prof Kabudi na Lissu wote ni wanasheria wa level ya juu kabisa katika nchi hii, wote ni gifted wana uwezo usiokuwa wa kawaida.

Ukiongea maneno haya mbele ya mawakili au majaji au mahakimu utapigwa mawe, utazomewa na wanaweza kukumeza kabisa.Majaji wa mahakama ya rufaa wanasema kwao Lissu ni darasa tosha akiwa na kesi mbele yao na wajifunza mengi kutoka kwake.

Kumbe onaongea ambacho haukijui kabisa, Nimrodi Mkono sio mwanasheria in practical sense bali ni mfanyabiasha wa huduma ya sheria kwa maana yeye haendi mahakamani kabisa na hafanyi kazi za sheria bali aliwaajiri wanasheria wazuri katika law firm yake na akachagua partners wazuri kama Dr. Kapinga (enzi hizo) hawa ndo waliifanya Mkono Advocates iwe maarufu sana na sio Mkono mwenyewe.

Kwa taarifa yako Lissu hajawahi kushindwa kesi yoyote na Serikali na kama unataka kumjua Lissu kamuulize Stevin Wasira kwenye kesi ya uchaguzi dhidi ya Ester Bulaya au kasome kesi ya uchaguzi ya Lema, katika Mahakama ya Rufaa au Kesi ya ugaidi ya Lwakatare.
 
Back
Top Bottom