Hivi kati ya Roman empire na Marekani ni nani haswa anayeitawala dunia?

Mwamba 3

Member
Joined
Dec 20, 2018
Messages
80
Points
125

Mwamba 3

Member
Joined Dec 20, 2018
80 125
Roman empire imekufa miaka elfu kadhaa wewe unaiongelea leo. Nani alikwambia kanisa la Roma ni Roman empire? Em tafuta vitabu usome
Duh! Wewe ndiyo uko nyuma kabisa na maarifa haya . Roman Empire - Ni mnyama mwenye jeraha la mauti ( kuanguka kwake ) . Roman Catholic Church - Jeraha la mauti la Roman Empire limepona , mnyama kaibuka kwa namna nyingine tu ( RC Church ) lakini mipango ni ile ile ya karne na karne ilimradi mpango wa yule joka mkubwa yule joka wa zamani itimie (Mipango hii hiyo imeshatimia kwa kiwango kikubwa sana ) .
 

Lukome

Member
Joined
Jul 14, 2018
Messages
19
Points
45

Lukome

Member
Joined Jul 14, 2018
19 45
NAFIKIRI kupitia Uzi HUU wa LEO, nimeamini wapo baadhi ya wanaojiita wasabato masalia Ni SHIDA MNO, wana uelewa mdogo KHS biblia, watajaribu kuongelea chuki zao kwa kujaribu kutumia biblia in a wrong interpretation kuzungumzia mawazo ya mwanzilishi wa dhehebu lao anaitwa G. White KUHUSU uelewa wake finyu wa ukatoriki
 

Bengalisis

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Messages
718
Points
1,000

Bengalisis

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2018
718 1,000
NAFIKIRI kupitia Uzi HUU wa LEO, nimeamini wapo baadhi ya wanaojiita wasabato masalia Ni SHIDA MNO, wana uelewa mdogo KHS biblia, watajaribu kuongelea chuki zao kwa kujaribu kutumia biblia in a wrong interpretation kuzungumzia mawazo ya mwanzilishi wa dhehebu lao anaitwa G. White KUHUSU uelewa wake finyu wa ukatoriki
Mungu akuhurumie sana, haujui ulitendalo, hivi unaweza kutuambia haya uyasemayo ww yameandikwa wapi? Au ni mawazo yako tu?
 

sweettablet

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Messages
2,597
Points
2,000

sweettablet

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2014
2,597 2,000
Kuna ukweli juu ya hili la Roman Empire ndio hao hao roman Catholic tangu zamani kumbuka story ya Mfalme Henry wa uingereza alitaka kuoa mke wa pili akaomba kibali kwa papa akamtosa akaruhusu bible itafsiriwe kwa lugha tofauti na kilatini kilichompata alikiona

Huo ni mfano mmoja ila Roman Empire ipo imevaa koti la kidini na ndio wanaopanga watawala duniani
Kwenye Bunge la Ulaya pale Ubeleji kuna "Mbunge" anayekalia kiti namba "666" lakini jina lake na nchi anayotoka huwa havitajwi!
 

Forum statistics

Threads 1,344,022
Members 515,307
Posts 32,805,495
Top