Kampuni ya mabasi ya Shabiby ni wahuni

Kampuni ya mabasi ya Shabiby ni wahuni

Bongo bongo tu, Shabiby imejijengea heshima sana kati ya makampuni ya usafirishaji nchini, lakini kuna watu wanaiharibu sana. Ikitokea ukapata safari ya gafla na hujafanya booking hasa kwa ubungo, ukienda kuulizia ticket tuseme gari la muda fulani unaambiwa limejaa halafu anajitokeza mtu anakuvuta pembeni kuwa nina ticket moja ila inabidi uipandie dau, gari ya 35k atataka 45k, gari ya 25 atataka 35k. Na hapo unakuta anaticket 7 kwenye mfuko wa shati na hazijaandikwa details zozote.

Hongera kwa waliopo stendi ya Shabiby dodoma, ukifika kama ticket zimeisha wanasema kabisa zimeisha na hawana namna labda usubiri mida ya majeruhi kama kuna mtu ataahirisha safari.
 
Hao abood wenyewe route ya Dar - Mwanza ni wahuni vibaya, kipindi flani nilisafiri nao tulipofika Moro wakaingia gereji kwao, wakatusubirisha zaidi ya 1h , baada ya kuwalalamikia sana ndo tukaendelea na safari. But Abood Dar to Moro ni confortable sana
Huo upuuzi wanao sana Abood, tena kama unatokea Dar kwenda Zoo ni lazima wapitie kwenye gereji yao Moro na kuwakalisha weee hata zaidi ya saa zima ndipo mnaanza safari, lakini cha ajabu kutokea Zoo kuja Dar ni siku hiyo hiyo unatoboa bila kwere.
 
We baba ww umesafiri wewe au umehadithiwa.
Shabiby hana ruti yoyote ya dar kwenda arusha wala arusha kuja dar iwe via chalinze au bagamoyo.

Ruti za shabiby line ni
Dar Dom
Dom Moshi
Dom Rombo
Dom Mbeya
Ila kwa namba ya gari ndio shabiby ana DLC series yutongs.
 
Hii kampuni nilikua naamini ni kampuni inayojiheshimu ila leo ndio nimewadharau na sitokaa nipande tena mabasi yao. Leo nimesafiri na basi lao namba T 132 DLC toka Dar kwenda Arusha cha ajabu tumefika moshi wakatuweka kama nusu saa kisha wakatuambia wameahirisha hawafiki Arusha wanaishia Moshi. Wakatufaulisha kwenye libasi libovu limetoka vijijini na bahati mbaya basi lilikua limejaa tukabishana nao sana wakadai tusimame asietaka ashuke. Kuna wamama walikua na watoto wamelalamika mno na wengine wakaamua kutafuta usafiri mwingine. Binafsi pia niligoma kusimama basi limejaa mno.
Kudhihirisha sio bahati mbaya ni uhuni kwanza walituchelewesha sana pale Same baada ya abiria kwenda kulalamika kwa polisi wamelipa nauli mara mbili na wqmegoma kurudishiwa. Hao abiria walikua wanne mmoja aliwalipia wenzake watatu na wao bila kujua wqmelipiwa wakalipa tena baadae walipogundua wakadai refund Shabiby wakagoma ndio kisa cha kutuchelewesha tena lisaa lizima pale Same. Hawa jamaa ni wahuni kupitiliza tofauti na wanavyoonekana na basi zao kuvutia.
Mkuu kwanza nikupe pole sana kwa yaliyokukuta ila naomba nikuulize swali. Tangu lini shabiby akafanya route ya dar arusha?? mimi nakukatalia hakuna shabiby ya dar to arusha uo ni uongo inawezekana umehadisiwa nina uhakika kabisa shabiby hajawahi fanya safari ambazo hazihusishi gari kufika dodoma yalipo makao makuu gari zote lazima ziguse dododma izo ndio route za shabby.

Na nikupe pole pia kwa kutulisha matango pori iyo shabiby yenye namba 132 DLC kwa uelewa wangu inafanya route ya DODODMA ARUSHA MOSHI SAME. kwa kifupi DODDOMA SAME via arusha na moshi.
 
Shabiby wanaenda Arusha\Moshi wakitokea Dar siku hizi?
 
Hii kampuni nilikua naamini ni kampuni inayojiheshimu ila leo ndio nimewadharau na sitokaa nipande tena mabasi yao. Leo nimesafiri na basi lao namba T 132 DLC toka Dar kwenda Arusha cha ajabu tumefika moshi wakatuweka kama nusu saa kisha wakatuambia wameahirisha hawafiki Arusha wanaishia Moshi. Wakatufaulisha kwenye libasi libovu limetoka vijijini na bahati mbaya basi lilikua limejaa tukabishana nao sana wakadai tusimame asietaka ashuke. Kuna wamama walikua na watoto wamelalamika mno na wengine wakaamua kutafuta usafiri mwingine. Binafsi pia niligoma kusimama basi limejaa mno.
Kudhihirisha sio bahati mbaya ni uhuni kwanza walituchelewesha sana pale Same baada ya abiria kwenda kulalamika kwa polisi wamelipa nauli mara mbili na wqmegoma kurudishiwa. Hao abiria walikua wanne mmoja aliwalipia wenzake watatu na wao bila kujua wqmelipiwa wakalipa tena baadae walipogundua wakadai refund Shabiby wakagoma ndio kisa cha kutuchelewesha tena lisaa lizima pale Same. Hawa jamaa ni wahuni kupitiliza tofauti na wanavyoonekana na basi zao kuvutia.

Mkuu hujawatendea haki hiyo kampuni, uwaombe radhi kabisa maana Shabiby hawa ruti ya Dar to Arusha.....pole sana
 
Shabiby wameanza lini kwenda Arusha toka Dar?
 
Sure, hii Kampuni ya Shabiby nowadays wamekuwa wahuni tu. Julai mwaka huu walinisumbua sana kusafirisha parcel yangu kutoka Iringa kwenda Mbeya. Mbaya zaidi ilikuwa ni vifaa vya ofisi kwa ajili ya shughuli za Serikali. Parcel ilichukua muda wa wiki 1 kufika Mbeya. Uhuni ulianza hivi; Parcel ilikwenda Mbeya baada ya siku 2 kukabidhi ofcn kwao Iringa, kufika Mbeya Parcel ikarudi tena Iringa na kupitiliza Dodoma,dah! Ilikuwa ukiuliza wahusika majibu wanayotoa ni upuuzi mtupu, no sorry no ushirikiano kabisa. Cha ajabu nilipewa namba za konda wa bus ili nianze kumtafuta mie!!Hapo zishapita kama siku 5 hivi. Baada ya purukushani siku ya 5, siku ya 6 nikapata namba ya Mmiliki wa mabasi, ile kuwaonesha namba na dhamira ya kuwasiliana na tajiri mwenyewe wote ofcn wakawa wapole sasa. Samahani kibao na kunipliz nisimpigie tajiri. Nikatoa sharti kuwa parcel naitaka the next day yaani day 7 bila kukosa, hatimae ikawa kweli parcel ikafika na nikarudishiwa pesa za kusafirisha mzigo. Kiukweli hii kampuni wameanza uhuni nowadays.
 
IMG_2543.JPG
 
Kila route ina wababe wake; ukiwa unaenda moshi mpaka Arusha usiache kupanda mabasi haya; Kilimanjaro, dar express, extra, happy nation, dar lux, kidia one, esther, buffallo, Bm na kapricon. Hutojutia
 
Karibu mabasi yote yana namba za simu za wahusika incase kuna mambo kama haya...kwa nini hamkuzitumia hizo?
 
Ww Jamaa ni Mpuuzi sana..Unapewa ticket bila hata ya kuisoma kujua kweli ni ya kampuni husika?Vigezo na masharti vinasemaje ktk ticket hiyo?na ukaendeleza upuuzi zaidi ukaamua kuanzishia uzi upuuzi wako wa mwanzo,hivi Ukishtakiwa kwa kosa la kuchafua Brand ya Kampuni utamlaum nani? Kujenga jina la kampuni ni kazi kubwa sana ila kuibomoa it takes only a minute,kuonyesha uungwana Embu anzisha Uzi mwingine tena wa kuomba radhi kwa hiki ulichokifanya..

Mungu Ibariki Tanzania[emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Gairo
Mungu Ibariki Morogoro
 
Hii kampuni nilikua naamini ni kampuni inayojiheshimu ila leo ndio nimewadharau na sitokaa nipande tena mabasi yao. Leo nimesafiri na basi lao namba T 132 DLC toka Dar kwenda Arusha cha ajabu tumefika moshi wakatuweka kama nusu saa kisha wakatuambia wameahirisha hawafiki Arusha wanaishia Moshi. Wakatufaulisha kwenye libasi libovu limetoka vijijini na bahati mbaya basi lilikua limejaa tukabishana nao sana wakadai tusimame asietaka ashuke. Kuna wamama walikua na watoto wamelalamika mno na wengine wakaamua kutafuta usafiri mwingine. Binafsi pia niligoma kusimama basi limejaa mno.
Kudhihirisha sio bahati mbaya ni uhuni kwanza walituchelewesha sana pale Same baada ya abiria kwenda kulalamika kwa polisi wamelipa nauli mara mbili na wqmegoma kurudishiwa. Hao abiria walikua wanne mmoja aliwalipia wenzake watatu na wao bila kujua wqmelipiwa wakalipa tena baadae walipogundua wakadai refund Shabiby wakagoma ndio kisa cha kutuchelewesha tena lisaa lizima pale Same. Hawa jamaa ni wahuni kupitiliza tofauti na wanavyoonekana na basi zao kuvutia.
POLICE Mlikwenda kuriport? Awana jeuri ya kufaulisha bila sababu
 
Kumbe shabiby ndiyo walivyo HIVYO, lakini njia ya Arusha zipo dar LUX, Kilimanjaro express, hai express, tilisho, easter nk Na dar to Dom zipo super lux buses kimbinyiko, ABC buses hizi super roof machines
 
Back
Top Bottom