TAI DUME
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 11,192
- 30,743
Marketing ya kutoa namba za simu ita sustain watejaSiku magari mazuri wametoa ajira rasmi kwa kina Dada walipiga marketing
Marketing ya kutoa namba za simu ita sustain watejaSiku magari mazuri wametoa ajira rasmi kwa kina Dada walipiga marketing
Utumwa huo, Umekaririshwa asili zetu hazina vitu vizuri.Basi zur ila jina bovu
Marketing ya kutoa namba za simu ita sustain wateja
Wadau Kimbinyiko Dom-Mbeya nauli shs ngapi?
Super champion habari ya mjini! Hawabagui abiria, hata ukiwa na 12,000 wanachukuaABC itabaki kileleni...hahaha huchoki aisee,.mm kuna safari moja natoka Dom nilitamani ile foleni ya ubungo igande tuu tusiingie terminal kwa raha...plus u-smart wa wahudumu..lol
Hadi 10000 unapanda...unapewa kigoda chako tuuSuper champion habari ya mjini! Hawabagui abiria, hata ukiwa na 12,000 wanachukua
Ptincess Muro [emoji28]hongera yako,kuna mabasi mengine yanafanya safari yako iwe kama unaenda jehanamu
achana na hayo matoroli mkuu panda kimbinyiko mkuu hutajuta.Furaha ya mteja ndio fahari yetuPtincess Muro [emoji28]
kVC investment
Champion
Usijaribu kabisa haya mabasi
hizo ni zile zinazoenda KongwaKuna kimbinyiko nilipanda muda kidogo tbh ilikuwa imechoka sema kwenye mabio zipo njema