Recent content by kwalele

  1. kwalele

    JamiiForums Tanzania Kero ya watumiaji wa barabara ya Tabata maji chumvi

    Habari zenu wana JF Kumekuwa na kero kubwa ya watumiaji wa barabara inayopita external kupitia jeshini kuelekea tabata kimanga hapa kati kati kuna kipande hakina rami na barabara haijachongwa na kutokana na hari ya hewa ya mvua basi kila siku kero ya magari yana nasa na kusababisha kero kwa...
  2. kwalele

    JamiiForums Tanzania Jaribio la kombora la korea kaskazini lafeli

    Maafisa wa Marekani na Korea Kusini wamesema jaribio la kombola la korea Kaskazini limefeli kwani kombola hilo lilianguka punde tu mara baada ya kupaa angani.Maafisa wa Marekani wamesema kombora hilo lilipaa angani kwa sekunde kadhaa kabla ya kuanguka,hii ni ishara kwamba korea Kaskazini haina...
  3. kwalele

    JamiiForums Tanzania Fahamu mita za LUKU zinazofungwa majumbani

    Mkuu kuhusu kuna form nimeskia zipo TANESCO unajaza kwa wale wananchi wenye matumizi madogo ya umeme unakuwa unalipa 9700 kwa mwezi,je hiyo inabidi uwe na mita maalumu za watu wachini au kwa mteja yoyote mwenye matumizi madogo hiyo huduma inamuhusu?
  4. kwalele

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aamuru Madaktari walioomba kufanya kazi Kenya waajiriwe nchini mara moja

    Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amesema kuwa Madaktari 258 waliokuwa wamekidhi vigezo vya kuajiriwa kwa mkataba nchini Kenya wataajiriwa nchini mara moja,amewaeleza waandishi wa habari Bungeni leo kuwa uamuzi huo ni agizo la Mheshimiwa Rais Dk John...
  5. kwalele

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemkuta hayupo

    Mara nyingi watumiaji wa lugha ya kiswahili tunafanya makosa bila kujua,kwa wataalamu wa lugha ya kiswahili je ni sahihi kusema kuwa"Nimemkuta hayupo" pale unapoenda kumtafuta mtu ukamkosa
  6. kwalele

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Serikali imefanya uwekezaji mkubwa katika Sekta ya Umeme Nchini

    Hongereni sanaa TANESCO,ila pia mngesaidia kupunguza bei ya unit za umeme ila hata wale wananchi wa hari ya chini waishio vijijini waweze kumudu gharama za kulipa bill ya umeme
  7. kwalele

    JamiiForums Tanzania Joh makin Vs Fid q

    Heri ya pasaka wana JF Leo katika pitapita nimekutana na mjadala uliokuwa unawaelezea wakali wa miondoko ya kufoka(hip hop) wa hapa TZ kati ya Joh makini na Fid q,toa maoni yako nani ni mkali zaidi katika uandishi wa mashairi na kuimba
  8. kwalele

    JamiiForums Tanzania Nani Comedian/Mchekeshaji mzuri duniani?

    Chaplin ni kiboko
  9. kwalele

    JamiiForums Tanzania Ben Pol v/s Belle 9 kwenye 'chorus' za Hip-Hop

    Wote wakali ila ben pol nimemuelewa sanaa kwenye sikati tamaa ya darasa na mama yeyo ya g nako
  10. kwalele

    JamiiForums Tanzania Nape Moses Nnauye; Shujaa wa awamu kandamizi

    Siasa haina rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu,pale mtu anapofanya maamuzi yenye manufaa kwa taifa ikiwemo kutetea democracy anastahili pongezi
  11. kwalele

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda mpenzi wangu ila ugumu wa maisha una hatarisha penzi langu

    Acha uwoga
  12. kwalele

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shabiki wa Yanga aangua kilio baada ya kuliwa pesa za Mtaji

    Kulia haisaidii,usibet kama ka ma muoga kuliwa
  13. kwalele

    JamiiForums Tanzania nimejifunza kitu hapa ingawa ni kichekeaho

    Hahaaaaaa
  14. kwalele

    JamiiForums Tanzania Makavu yanaendelea

    [emoji23] [emoji23]
Back
Top Bottom