OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,102
- 114,689
Shabiki mfia Yanga anayekwenda kwa jina la Kanjunju mkazi wa Jangwani aliangua kilio baada ya mechi ya Simba na Yanga. Kanjunju aliliwa pesa ya mtaji shilingi 50,000 kutokana na kupinga na wenzake kwamba Yanga itashinda. Kwa bahati mbaya Kanjunju alikuwa amepinga hela ya mtaji wa biashara yake ya nguo. Mbele ya waandishi wa habari Kanjunju alilia kwa uchungu kupoteza pesa yake. Majina kamili ya mnazi huyo ni Kanjunju John.
MY TAKE
Yanga mtazameni kijana huyu kwa jicho la uchungu kwa kumrejeshea elfu 50 yake
c.c Mwigulu Nchemba
MY TAKE
Yanga mtazameni kijana huyu kwa jicho la uchungu kwa kumrejeshea elfu 50 yake
c.c Mwigulu Nchemba