KWA WANAUME:
Wanaume walikuwa kwenye semina wakaulizwa. Mara ya mwisho kumwambia mkeo unampenda ni lini? Wengine wakasema leo asubuhi, wengine muda sio mrefu. Muwezeshaji akawaambia kila mmoja sasa hivi amuandikie mkewe sms amwambie nakupenda mke wangu halafu badilishaneni simu kila mmoja asome maajibu ya mwenzake. Majibu yalikuwa hv:
1. Unaota au?
2. Umekumbwa na nn?
3. ??!! Makubwa!
4. Utanieleza hii sms ulikuwa unamtumia nani.
5. Leo sikusamehi najua kuna kitu.
6. Huyo ulienae ndo kakwambia unitumie hii sms?
7. Najua tu tayari kuna kitu umeharibu.
8. Wewe sema unachotaka.
9. Leo hunipati ng'o!
10. Nani mwenzangu