Recent content by kimini

  1. K

    JamiiForums Tanzania Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

    huawei ascending y 530, imei 869563012181456
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kama unaipenda Tanzania soma hapa na uifikirie kwa makini 2015

    Wakubwa hapo ni kwenye gold tu.je tuliangalia diamond,uranium na madini mengine hivi tungekuwa wapi sisi.
  3. K

    JamiiForums Tanzania msaada ipod

    ndugu wanajmvi wenzanguu naombeni msaada nina ipod 80gb yani nilichomeka kwenye laptop kuweka video ikaconect kwa muda mfupi halafu ikakata sasa nikiiwasha inablink tu mpaka chaji inaisha haiwaki. tafadhali msaada wenu au kama kuna fundi naombeni namba. ahsanteni
  4. K

    JamiiForums Tanzania Umegundua nini ktk picha hii??

    i agree wit*u kuwa wamepakwa rangi tu wahajavaa t shirt.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Madaktari wafukuzwa Mbeya, Bugando na Dodoma... Mwananyamala walazimishwa kusaini...

    wanasema madai yao mengine hayatekelezeki,hawana*uwezo nayo.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Ulimboka: Hali ya afya (Updates)

    nakuombea*upone haraka Doc*urudi kazini,
  7. K

    JamiiForums Tanzania Dk Chitega: Ninawashukuru madaktari wote nchi nzima kusitisha huduma

    Naona hatari inakuja Tanzania jamani,yani kila siku tunaamka na matamko tofauti na la jana.tunaenda wapi jamani kama nchi. me naiomba serikali ishughulikie matatizo ya wananchi. tumechoka na kauli kila kukicha
  8. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kujua mahali wanapouza mbegu bora za vitunguu bei yake!

    Kama*upo Dar nenda Kariakoo sokoni*utapata mahitaji yako yote ya mbegu.ila nakushauri nunua mbegu ya red creole ndo nzuri kwa magonjwa na kuvumilia hali ya hewa mbaya.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya gharama nafuu - Small , simple but beautiful

    Daah nimeipenda sana hii ramani ,ila*unavo sema kuwa*gharama yake itakuwa ndogo,unamaanisha ni kiasi gani?????? kwa sababu suala la gharama ndogo au kubwa huwa linategemea kutoka mtu mmoja hadi mwingine. labda niambie gharam ndogo ni kiasi gani ????kwako Mkuu*.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Iran yamtia mbaroni jasusi wa Shirika la Kijasusi la Marekani CIA

    Du usalama wa iran ni noma kweli yani cjui kama wa kwetu wana skilz kama hizo za watu wa iran,
  11. K

    JamiiForums Tanzania Akili zetu wanaume zinatutosha wenyewe, we acha tu!

    hiyo hasira inatokana na homoni inayoleta wivu kwa mwanamme testosterone kama cjakosea
  12. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Wanaotakiwa kuwajibika wawajibike

    usimwamini mwongo,hata kama anaongea ukweli.
  13. K

    JamiiForums Tanzania List ya vigogo wanaotakiwa kuachia nyadhifa zao

    hapo mkuu haitoshi hao tu.hapa cha msingi ondoa serikali nzima maana hakuna inachofanya.labda magufuli kidogo anajitahidi.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Naweza kuongeza uwezo wa kufikiri?

    Mimi najua kama unataka kuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri nakushauri ufanye yafuatayo ndugu: 1.kuwa vegeterian 2.acha aina zote za vilevi 3.fanya mazoezi ya viungo kwenye maeneo yenye hewa safi. 4.soma majarida mbalimbali yenye kujenga ufahamu mpya...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Lady Gaga ni advocate wa Shetani

    Akili yako ndogo sana ,,unaonyesha hata ukiulizwa pua yako ina matundu mangapi kwa akili yako ndogo utasema bado hujafundishwa! Endelea kusubiri kuwa pua yako ina matundu mangapi..
Back
Top Bottom