Msaada wa kujua mahali wanapouza mbegu bora za vitunguu bei yake! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa kujua mahali wanapouza mbegu bora za vitunguu bei yake!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Deodat, Feb 7, 2012.

 1. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, nina mpango wa kuanza kilimo cha vitunguu msimu huu wa kilimo. Naomba yeyote anayefahamu mahali napoweza kupata mbegu bora anifahamishe. Ukinijulisha na bei pia itakuwa vizuri zaidi.
   
 2. k

  kimini Member

  #2
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kama*upo Dar nenda Kariakoo sokoni*utapata mahitaji yako yote ya mbegu.ila nakushauri nunua mbegu ya red creole ndo nzuri kwa magonjwa na kuvumilia hali ya hewa mbaya.
   
 3. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Mara nyingi pembejeo husika hupatikana kw aurahisi katika eneo husika wewe unafanyaia wapi hiki kilimo..kwenye hilo eneo lazima kuna njia rahisi za uapatikanaji wa vitu muhimu kwa kilimo cha eneo hilo
   
Loading...