Kwa wale walionunua simu za Tigo, Airtel, Vodacom ambazo zinatumia mtandao mmoja tu
Kwa tsh 20'000 Tu
Weka order yako sasa ya NETWORK UNLOCK CODES ili uwe huru kutumia mtandao wowote ule nchini na nnje ya nchi
Contact: Mwl.RCT +255 784 496 856
- Je simu yako ni model ipi?
- Info kuhusu rooting kwa model husika zipo katika mtandao, na video waweza ona youtube
- Karibu
Ni Huawei y 330-U11 hizi za tigo
- Tumia "Kingo Android ROOT" Download hapa | Kingo Android Root, the most reliable free Android rooting tool
- Ila hakikisha unafahamu nini unachokifanya vinginevyo waweza halibu simu yako
- Tumia mtandao ili kujifunza zaidi kuhusu rooting
- Cost ya simu yako ni tsh 30,000/- tu
- Karibu
​![]()
Nimenunua simu yangu siku tatu zilizopita Huawei Y530. Leo nimeweka simcard tofauti ili niweze ku copy majina yaliyokuwa kwenye sim card. mara ikaniambia niweke code. nikarudishia ile simcard yake ya mwanzo bado mambo yakawa hayohayo, nikacheza nayo na kujaribu codes tofauti lakini mambo yakawa hayohayo tu. sasa inaniandikia
SIMLOCK block unlock reset KEY. naomba msaada tafadhali

Inawezekana,
Je iko locked kwa mtandao gani?
Je ni model ipi?
Imetoka nje so line zote za kibongo ukiweka inasema invalid. Ni iphone 5