Lady Gaga ni advocate wa Shetani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lady Gaga ni advocate wa Shetani

Discussion in 'Celebrities Forum' started by NGULI, Mar 21, 2011.

 1. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  "Alejandro” by Lady Gaga.
  Very subtly the devil sneaks into our lives to steal and destroy souls!

  .We don’t even realise that just by singing the lyrics of a seemingly ‘innocent’ song with a nice tune, we open the door wider for his evil spirit!!
  ‘
  Alejandro’ means: man's defender and protector’ (GOD).
  ‘Fernando’ means: ardent for peace (JESUS).
  ‘Roberto’ means: bright or shiningly framed (HOLY SPIRIT).

  ‘Babe’ is the same as ‘child’
  Now the lyrics again:

  ??"Don't call my name; don't call my name, Alejandro(GOD).I'm not your child, i'm not your child, Fernando (JESUS). Don't call my name; don't call my name, Roberto (HOLY SPIRIT) Alejandro; Alejandro (GOD), Just let me go."
  People, please stop listening to Lady Gaga!Real name Stefani Joanne Angelina Germanotta. She sold her soul to the devil for fame and fortune, suddenly having 8 million followers on Twitter; top selling artist, and the top winner at the Grammys. This is clearly the devil at work!
  Remember the images with her inside the egg carried on a cross? Hatching from an egg signifies the cold blooded rebirth. Implanted horns on her shoulders and cheek bone indicating the transformed BRIDE OF SATAN! (Save a soul and pass this on)
  I received it, and I've passed it on. The blood is off my shoulder...
   
 2. h

  housta Senior Member

  #2
  Mar 21, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  True dat!Well said!
   
 3. Hute

  Hute JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,059
  Likes Received: 3,926
  Trophy Points: 280
  kusema ukweli, yule ni advocate wa shetani, shetani lile limevaa mwili wa lady gaga...hayumo ndani mle anaweza kuwa alishachomolewa muda na pale ni sanamu tu la shetani..kwasababu kwanza anaabudu kanisa la shetani....so kwakweli, wanaomsikiliza wanahitaji msaada wa dharura..
   
 4. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Sio Gaga peke yake, maselebriti wengi ni satanic agents, tena na juzi nimesikia kuwa hata wa kibongo nao wamo..
   
 5. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #5
  Mar 22, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,947
  Likes Received: 1,507
  Trophy Points: 280
  hapa bongo hao tunaowaita ma tycoon nao wamo kwenye dini ya kuabudu mashetani
   
 6. F

  Fishyfish JF-Expert Member

  #6
  Mar 22, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 231
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  "This is clearly the devil at work!"

  No, her success is the work of an extremely large corporation with vast business resources. Whether the people who run her label believe in God or not is irrelevant.

  This 'news' isn't really surprising - one informed look at any of her videos will reveal her fascination with cults (some of which are indeed satanic). The real debate is whether or not her fascination is genuine, and whether or not her fascination will lead to an initiation.
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Mar 22, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,471
  Likes Received: 19,862
  Trophy Points: 280
  stori za kwenye kahawa
   
 8. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #8
  Mar 22, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  :embarassed2:
   
 9. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #9
  Mar 22, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 28,039
  Likes Received: 8,532
  Trophy Points: 280
  Mwacheni jamani lady gaga atengeze pesa,wivu wa nini nikua naangalia mziki wake leo HUYO DADA WA UKWELI,
   
 10. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #10
  Mar 22, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,576
  Likes Received: 18,548
  Trophy Points: 280
  Chonde chonde isiwaingilie Freemassons na Illuminati, tena tuna mpaka ma Rosae Crusis (Rosecrusins) hapa bongo na wote ni very succesiful.

  Somo lao la kwanza ni kujitambua 'self awarenes', ukishajitambua ndipo utakapojua how much power do you posses inside. Sucess huja kwa kuitumia hiyo power on whatever you do, and top you will go!.

  Nilimsikia Mchungaji Rwakatare, akishuhudia wito wake wa uchungaji, alitokewa na Mungu na kuambia amemteua aeneze neno lake, yeye Mchungaji akamuomba Mungu, kama kweli anataka aeneze neno pia ampe na utajiri. Kwa sasa ni tajiri mkubwa na anahubiri umasikini ni laana. Jee wewe unapenda umasikini?. Kama lengo ni utajiri, Kuna tofauti gani kuwa illuminati na ukawa tajiri, au kulitumia jina la bwana na ukawa tajiri?. Kwa maoni yangu, yote mawili ni kazi ya Shetani, kwa iluminaji, amejidhihirisha kwao, kwa hawa wengine, ameji disguize kwa jina la Bwana. (Sio wote waitao Bwana Bwana ni Wangu).
  Yesu alisema "watakuja watakao toa mapepo kwa jina langu, lakini sii wangu", jee tutawajuaje?.

  Fanya utafiti wa hawa wahubiri kwenye TV mbalimbali na utajiri wao, wengine tunao hapa hapa miongoni mwetu, hebu angalia macho yao!
  Mwezi Desemba, wachungaji zaidi ya 10 wa kanisa fulani, walikopeshwa mikopo ya nyumba na benki ya kanisa lao, mwezi Desemba wametupiwa vyombo vyao nje na kutimuliwa huku nyumba zikiuzwa kwa mnada kisa hawajakamilisha kulipa deni!, hawa nao wantumikia Mungu?.

  Kwa wanaomjua Yesu, alikuwa akitembea peke, hakuja na kitu dunia hii, hakutafuta kitu dunia hii, na aliondoka kama alivyokuja, wanaomfuata Yesu, tumfuate, na wanaomfuata Lady Gaga waache wamfuate!.
   
 11. Glue

  Glue Senior Member

  #11
  Mar 22, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Huyu mwanadashost ni Freemason toka enzi kabisa. anafanya kila awezalo ili awe the top of the top. Tumekwishaaa
   
 12. Glue

  Glue Senior Member

  #12
  Mar 22, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Endelea kuamini hivyohivyo!
   
 13. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #13
  Mar 22, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,293
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  ya ngoswe.......!!!
   
 14. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #14
  Mar 22, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 28,039
  Likes Received: 8,532
  Trophy Points: 280
  Kwani freemason ndo nini mwawaonea bure hawana hata njama na dunia hii, tafuta hawa Rothchild,rocfeller,illuminat ,vatican ndo tatizo.freemason ni wajenzi tu hao.
  Yapata utambue dunia sasa yaendeshwa na wenye pesa hasa hawa makampuni ya mafuta kama BP,TOTAL ,NA watengeza slaha ambao wanataka kuuza.freemason hawamo hapo
   
 15. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #15
  Mar 23, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Its too big for u.....
   
 16. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #16
  Mar 25, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 9,355
  Likes Received: 3,494
  Trophy Points: 280
  all said true
   
 17. Mtoto wa Kishua

  Mtoto wa Kishua JF-Expert Member

  #17
  Mar 25, 2011
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 819
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45

  Mbona mnaenda mbali sana huko? Hakuna cha Lady gaga wala sijui Fremasson, hebu anzeni kujiuliza nyie wenyewe matendo yenu sio ya kishetani? je hampishani kwa waganga ? mnafanya maovu mangapi? watu acheni kuogopa eti fulani ni Devil's agent wakati shetani yumo ndani yako na anakutawala kila siku .
   
 18. k

  kimini Member

  #18
  Mar 25, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Akili yako ndogo sana ,,unaonyesha hata ukiulizwa pua yako ina matundu mangapi kwa akili yako ndogo utasema bado hujafundishwa!
  Endelea kusubiri kuwa pua yako ina matundu mangapi..
   
 19. Wandah

  Wandah Member

  #19
  Mar 25, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we hav to think twice
   
Loading...