Hii inazidi kudhihirisha ni kwa jinsi gani demokrasia tunayojaribu kuifuata haina manufaa kwa nchi za Afrika. Ukweli serikali mseto, shirikishi, jumuishi, n.k hazifanyi kazi zinazowaendeleza wananchi zaidi ya kuishia kulumbana bila sababu. Sasa hapo ni suala la uteuzi wa mabalozi peke yake...
....After the Sharpeville Massacre of 21 March 1960 Oliver Tambo left Johannesburg. He travelled via Tanzania [then Tanganyika] because of its reputation as a champion on African liberation under the leadership of Julius Nyerere, who was to become the country's first president in...
Wakuu vilevile wakati tunajadili tamko la Serikali pia tuangalie uhusiano (kihistoria) kati ya Israeli na Tanzania tangu serikali ya awamu ya kwanza hadi sasa. Uhusiano huo umebadilika au hapana? Na kama umebadilika labda serikali ilitakiwa kutoa tamko gani mbadala.
Mimi binafsi ninaona kama...
Mabibo hostel ina idadi kubwa ya watu kwenye eneo dogo. Mwandishi hajatoa takwimu (au makadirio) ya idadi ya wanachuo waliopo Mabibo hostel. Siyo rahisi zikakosekana hizo tabia anazoziongelea mwandishi sehemu wanayoishi binadamu wa umri kati ya miaka 15 na 30.
Vilevile anaongelea wasichana kuwa...
Mimi ninafikiri kama ni kumuenzi Mwalimu katika eneo hilo viongozi wa MNF wangekaa chini na kujenga jengo linaloenzi falsafa na mtizamo wa Mwalimu Nyerere. Na bahati nzuri wote waliopo sasa hivi walifanya kazi kwa ukaribu na Mwalimu na wanamfahamu alikuwa mtu wa aina gani. Halafu kama ni kitega...
Ninaomba mkuu yeyote anayefahamu kitabu au hata kijarida alichoandika mkuu wetu wa nchi anifahamishe ili nipate kukisoma. Nimejitahidi kufahamu misimamo na vision yake kwa kumsikiliza hotuba na matamko yake kwa kweli sijafanikiwa. Labda nikisoma machapisho yake nitaweza kumfahamu zaidi.
Smatta, where is Kenya in the 'ukabila index'? Where is Kenya since you started off with capitalism as independence was granted to you? Kenya would have expected to be far away as you 'believe' to have chosen the correct development path.
Hili swala la 'haki za binadamu' ninaona linaelekea kuzifanya nchi za dunia ya tatu kutawaliwa na mataifa bepari hata kuingilia sheria za nchi husika. Bila kuwa na mipaka na kuisimamia kulingana na sheria za nchi husika sidhani kama tutafika mbali. Kweli mambo mengine pamoja na kuwa...
Sina uhakika sana ni kwa kiasi gani watanzania watakubaliana na wito huu wa kugoma kwenda kutazama mechi katika hatua hii.
Kwa upande mwingine, labda wachezaji wa timu yetu ya taifa watapata fursa ya kujinoa na kujiuza katika ngazi za kimataifa.
Inaelekea hapa alijihesabia kipindi chake cha pili (ambacho ana uhakika nacho) na miaka mingine 3 kwa atakayemrithi ndiyo mbayuwayu wairudishe hoja mezani....
Unaelekea ni uamuzi (wa muda mfupi) wa kulipizana kisasi kama siyo kunidhamishana kidiplomasia. Njia rahisi ingalikuwa kushirikiana na wafanya biashara wa Tz, Ug au Rw (katika jina la shirikisho...??!) ili kuweza kuendelea kupata bidhaa kirahisi kwani wao siyo lazima kwao kuwa na digrii.
Ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.