Majina ya rangi uzijuazo kwa Kiswahili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majina ya rangi uzijuazo kwa Kiswahili

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Masikini_Jeuri, May 10, 2010.

 1. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Wadau nimetatizwa na swali jepesi nadhani nimesahau ama sikuwahi kufahamu

  Hivi hizi rangi kama Pink; Blue. Silver, Peach, Gray, na nyinginezo zinaitwaje kwa kiswahili?

  Niondoleeni aibu (Nimeulizwa na mzungu; akashangaa namtajia kwa kizungu I mean ki blu ray):becky:
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  silver - samawati
  gray - urujuani
  peach - pitisi
  Blue - hudhurungi

  etc etc etc
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  mie pia nimetatizika kama wewe
   
 4. RR

  RR JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Samawati = blue
  Hudhurungi = grey (kijivu???)
  Kahawia = brown
  Zambarau = purple
  Rangi ya fedha = silver
  Pinki = pink
  Hope my memory card is still in place.
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  halafu na wewe hiyo avatar yako inanichanganya...huwa najiuliza punda milia ni mweusi mwenye mistari myeupe au ni mweupe mwenye mistari myeusi?...hebu nifafanulie hilo

   
 6. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  mmh mbona hoja zinapingana tena? FL1 umelinganisha majibu ya Roya boy na Preta?
   
 7. Companero

  Companero Platinum Member

  #7
  May 10, 2010
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mbona mnaogopa kuitaja rangi ya chama cha mapinduzi - hii hapa:

  CHANIKIWITI
   
 8. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #8
  May 10, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  uh PINKYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYY?
   
 9. RR

  RR JF-Expert Member

  #9
  May 10, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Usichanganyikiwe Preta....
  Huo ni mkono (wa binadamu) uliochorwa mistari myeupe na myeusi!
   
 10. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #10
  May 10, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  yah lakini ni mchoro wa zebra ndio nilitaka nijue rangi yake kamili ni ipi
   
 11. RR

  RR JF-Expert Member

  #11
  May 10, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  well, ni mistari myeupe na myeusi, kwa maana hamna rangi iliyozidi nyingine.
   
 12. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #12
  May 10, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,367
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
  Samawati ni blue lakini ya mawingu= sky blue
  blue mara nyingi huwa inaenda hivyohinyo tu,

  Pale Blue =Buluu Mpauko
  Sea Blue= Buluu Bahari
  Sky Blue=Samawati
  Black=Nyeusi
  White=Nyeupe
  Orange=Rangi ya chungwa
  Yellow=Njano
  Green=Kijani
   
 13. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #13
  May 10, 2010
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,672
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  wee kweli kituko hahahhaaa-bolded words
  rangi nyingi sijui kiswahili chake kwakweli...shida tupu na huu uswahili
  lugha haijitoshelezi labda mtu wa BAKITA ateremshe desa hapa
   
 14. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #14
  May 10, 2010
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,672
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  peach - pitisi

  jamani ya kweli haya?????
   
 15. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #15
  May 11, 2010
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Pink - Waridi
  Blue.- Samawati
  Silver - Fedha
  Peach - Rangi ya pichi
  Grey - Kijivu
  Brown - Kahawia/hudhurungi
  Green - Kijani
   
 16. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #16
  May 11, 2010
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,555
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Purple - kipaplipapli
   
 17. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #17
  May 18, 2010
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Purple = Zambarau (matunda ya mizambarau au mawengewenge)
  sky blue = samawati/ blue bahari
  brown = Hudhurungi/damu ya mzee/udongo
  dark green - kijani kibichi
  grey - kijivu
  khaki = majani makavu
  red rose = Waridi jekundu
  yellow = njano
  silver = fedha
  black =nyeusi

   
 18. K

  Kekuye Senior Member

  #18
  May 18, 2010
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vilevile rangi ya brown kwa kiswahili hujulikana kama kahawia au hudhurungi
   
 19. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #19
  May 18, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  mengine mmeenda sawasawa.. hudhurungi ndiyo pink.
   
 20. RR

  RR JF-Expert Member

  #20
  May 18, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Mzee wa shamba hapo utakua umeenda kusiko...
  Maji ya kunde = chocolate??
   
Loading...