Safiri na rwandair frm dar-kigali-bujumbura -nairobi-southafrica-brussels | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Safiri na rwandair frm dar-kigali-bujumbura -nairobi-southafrica-brussels

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Pdidy, Aug 4, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,613
  Likes Received: 5,783
  Trophy Points: 280
  Kwa wale wapenzi wa safari waliokuwa wakiumiana kuhuzunika kwa kukaa sana pale
  airport nairobi na mi nikiwa mmoja wao nimeona mwanga ..wiki iliopita nilipata rafiki kanionyesha ndege ya RWANDAIR..kwa kweli sikuamini ilinifanya nianze kuichimba zaidianyway wakati mwingine unaweza kulia ila kilichonifurahisha nikuona zile safari tulizokuwa tukikaa sana pale nairobi leo hii tunaenda moja kwa moja

  ukiwa kama msafiri moja ya kuangali ni muda...tujitahidi kuwasapoti hawa jamaa zetu kwa kweli wako mbali siwezi hata kuwafananisha anyway sijui kagame akija kikwete aulizii mafanikio yake ama lah..jama wako mbali jamani kila sekta

  kwak msafiri tuwape tafu awa jamaa kwanza ndege yao nzuri ,sijapata kuona,,wako na service nzuri full smile kujiachia.....yetu macho hapo atujaanza mambo ya afrika mashariki ..

  wako na fair very cheap kutegemea na jamaa zetu wale wa nairobi waliotugonga kweli anyway walitusaidia kipindi aipo....
   
 2. K

  Kanyafu Nkanwa JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2010
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 812
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  We Samsoni, hiyo rwandair inakwenda wapi na wapi na inatokea wapi!? Maana huwezi ukaamua kupanda wakati aiendi unakokwenda. Wewe ulikuwa unakwenda wapi na hiyo ndege yako?
   
 3. K

  Kinombo JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2010
  Joined: Feb 24, 2007
  Messages: 332
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  RwandAir » Fly our dream to the heart of Africa.
   
 4. K

  Kinombo JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2010
  Joined: Feb 24, 2007
  Messages: 332
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
 5. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #5
  Aug 5, 2010
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,672
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  nashukuru kwakweli ngoja nicheki nao,,,maana uhuni wa ndege zetu nimechoka mwezenu
  pesa watulime na huduma za maringo
   
 6. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #6
  Aug 5, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Tumeiua ATC ili kuimarisha usafiri wa presidaa kwa kuresource mapato yote ya nchi kwa ka-gulf stream kamoja kasiko na faida kwa nchi. phew!!!!!!!!
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  Aug 5, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,613
  Likes Received: 5,783
  Trophy Points: 280
  inatoka dar inakwenda safari ulizoziona hapo juu mkuu for more info openwww.rwandair.com
   
 8. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #8
  Aug 5, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,613
  Likes Received: 5,783
  Trophy Points: 280
  ipo jamani imeandikwa WEBSITE STILL UNDER CONSTRUCTIONSINCE 2006
   
 9. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #9
  Aug 5, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,613
  Likes Received: 5,783
  Trophy Points: 280
  sio usafiri wake tu na per diem zake za safari amesema 5yrs ilikuwa ni kutafuta wateja 2011 anaanza biashara rasmi
   
 10. K

  Kekuye Senior Member

  #10
  Aug 5, 2010
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Shukran kwa taarifa mkuu
   
 11. U

  Umslopagas Senior Member

  #11
  Nov 14, 2014
  Joined: Jun 13, 2013
  Messages: 129
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35

  Ssshhh....:shut-mouth: kuna mtu humu JF anaitwa JMali tafadhari naomba asikusikie
   
Loading...