Ubungoubungo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 2,502
- 743
Umenena mkuu. Wababe ni lazima wapigwe vita kila mahali ama sivyo haki itapotea kabisa duniani. Napoleon, Hitler, Hirohito, Mussolini na wengine walitokomezwa pamoja na ubabe wao. Kama dunia Hitler asingepigwa vita sijui dunia hii ingekuwaje hadi leo. Israel isifikiri kwamba itaendelea na ubabe wake milele, na bila shaka sasa polepole inatambua kwamba the world is abandonig it, siyo kwa sababu nyingine isipokuwa ni ubabe wake tu. Siku moja itajikuta hata US itakuwa inamweka kwa mbali, ingawa hii haitakuja leo au kesho.
wengi wapo nyuma ya israel kuwasapoti, nyie wachache tu msio kuwa hata na nguvu ndo mnakuwa mnaongea sana. mnapoteza muda, fanyeni kazi kuondoa umasikini wa nchini kwenu...kama ukimwona mbabe, unatakiwa kula heshima, usipokula heshima mtu mwenyewe mbavu mbili, atakutwanga mara moja....kila kunapokucha, israel wanagundua silaha na technologia mpya...kwasasa wameshagundua technology ya kuiweka kwenye nchi yao yote, rocket za hamas na hezbohal kabla hazijafika chini ya ardhi, zitadakwa kwa makombora yaliyotegwa atomatically kwenye vituo vingi, yanayojifyatua yenyewe, na rocket zitavunjwavunjwa kulekule juu kabla ya kukida chini...zinadakiwa kulekule...
kumbuka osama na ujanja wake wote alikuwa na uwezo wa kuishambulia marekani lakini kwa israel amenyosha mikono, hadi akasema ngoja nimpige rafiki wa israel kwasababu kumpiga israel hata kuingia tu pale hawezi..fyata mkia..