Elections 2010 Usanii wa JK - amteua kijana aliemaliza chuo kuwa DC

Kijana si tatizo bali uwezo wake wa kuongoza na msijeona ajabu riz1 akapewa ukuu wa mkoa kanda ya ziwa
 
mimi sioni tatizo la huhu bwana mdogo kuteuliwa katika nafasi hiyo ila tatizo litakuwa iwapo jk amemteua kwa maslahi binafsi na si maslahi ya umma
 
Kuana habari nimeipata toka chanzo cha uhakika Ikulu JK mbali amemteua kijana mmoja kuwa mkuu wa wilaya moja huko Nyanda za juu kusini. Huyu kijana ana miaaka kati ya 30-32 na amaemaliza chuo kikuu nje ya nchi miezi 6 iliyopita hivyo kuleta maswali ni jinsi gani atakuwa na uwezo wa kuongoza wilaya. Habari za kina kuhusu uteuzi huu wa kiswahiba kama ilivyo ada ya JK kufuata....

Mitanzania mingine bwana ina wivu wa kijinga.

Kuhusu uteuzi sina tatizo.Chanzo cha yote haya ni hawa Yuda's waliowauza watanzania kwa vipande thelathini vya fedha.Umeuza ndugu zako tuishi kwenye hali hii eti ili wewe upewe fedha.Watanzania milioni arobaini kwa miaka hii michache ijayo watanja joto ya jiwe kwa ajili ya watu wachache waliolambishwa fedha.Je huu ni ungwana???????.Tume ya uchaguzi mmeamua kutufanya watumwa kwenye nchi yetu kwa ajili ya vipande vya fedha?.Mtakula laana hii pamoja na vizazi vyenu na watoto wenu.Mtavuna mlichopanda kwa kuwahadaa watanzania.Kwa nini kusiwe na uwazi kwenye mahesabu yenu.
 
hata Nyerere alimteua salim Ahmed Salim Kuwa Balozi akiwa na miaka 18 tuu! huna hoja1 kwanza mtu mwenyewe na Cv yake huijui kwanini umuhukumu kuwa hana uwezo? mtachanganyikiwa sana mwaka huu!

Naomba kutofautiana nawe hapa,Salim pamoja na cv ukumbuke pia wakati hu hakukuwa na wasomi wa kutosha.Ni vizuri kama kuna shaka cv ya huyo kijana ikahakikiwa kwani kazi hiyo inahitaji uzoefu.Pia si vibaya kwani kuna wengine keshawapa ulaji mkubwa kama huo na si kwa cv bali kwa kuvuliana chupi.
 
Kwa zama izi DC huitaji mtu highly qualified maana nature ya kazi ni kama zilivotajwa apo juu
 
Humu ndani kuna watu wana wivu wa kijinga na hawatapata maendeleo kamwe iwapo wataendekeza majungu na mapipa!Mwezio kapata ulaji mpe hongera wewe unaanza eti mdogo,eti kasoma nje duh,WATU WABAYA SANA.JE UNGENIFAHAMI MIMI NI NANI NADHANI UNGEHAMA HAPA JF!
ACHA WIVU FANYA KAZI UOKOE FAMILIA YAKO

Shida ipo hapo pekundu. Hoja ya "cheo ni dhamana" haipo ILA NI ULAJI. Kwa kuwa kila mtu (hata mtoto mchanga) anaweza kula basi kwa mantiki hiyo COMPETENCE ya huyo anaeteuliwa si muhimu. Precisely CCM doctrine!

Sijui cheo chako ndugu, lakini naamini kwa vyovyote vile utakuwa ofisi ya umma - huko ndiko kwenye bora liende (and anybody can do anything - after all nobody is accountable. Nitafutie fresh graduate aliepewa umeneja kwenye kampuni yeyote efficient in private sector, ukimpata nitakuonyesha mbuzi mwenye miguu mitano.

Kama kateuliwa kijanamwenzetu mimi sina tatizo tena ningeomba wengi waingie ktk hizo nafasi nadhani ndani yake tutapata vijana ambao watakuwa na uchungu na hii nchii kama wale vijana wa chadema na maremu amina,
tumpe hongera mwenzetu na kumweleza ama kumsihi tu kuwa afanye kazi kwani jamii ya sasa ni tofauti na ile ya mwaka uleeeeeeeeeeeeeeeee,
mapinduziiiiiiii daimaaaaaaaaaa
 
Kuana habari nimeipata toka chanzo cha uhakika Ikulu JK mbali amemteua kijana mmoja kuwa mkuu wa wilaya moja huko Nyanda za juu kusini. Huyu kijana ana miaaka kati ya 30-32 na amaemaliza chuo kikuu nje ya nchi miezi 6 iliyopita hivyo kuleta maswali ni jinsi gani atakuwa na uwezo wa kuongoza wilaya. Habari za kina kuhusu uteuzi huu wa kiswahiba kama ilivyo ada ya JK kufuata....

Sasa kama akina Betty wametoka utangazaji wa redioni kuwa wakuu wa wilaya mi sioni tatizo la kumteua msomi wa miaka 30 -32 kuwa DC. Kutokana na umri wake inaelekea atleast ana MA au MSc.
 
Kama sikosei SAS aliteuliwa NA JKN kama balozi wa misri akiwa na umri wa miaka 18.

Ni kweli, lakini SAS hakuteuliwa kwa ajili ya umri wake, ni Competence. Napata taabu kuamini competence ya fresh graduate (kama kweli ni fresh graduate (KATIKA MAZINGIRA YA SASA). Na isitoshe enzi zile changamoto hazikuwa kama za leo.

Kulikuwa na kanuni zamani kuwa ili uwe mkuu wa idara ni lazima ufikie umri fulani (umri ulitofautiana kutokana na aina ya idara husika - kwa mfano usingekuwa headmaster ukiwa chini ya miaka 35 na kama hujaoa).
 
afadhali achague hao kuliko ile mimama inayojichubua imetapakaa mawilayani ikitinda nyusi tu... hata wewe ukiwa kwenye limelight waweza hojiwa hadi mkao wako ch00ni

Tumpe rais nafasi afanye kazi

Kaka umejuaje kuwa huyu KIJANA sio MWANAMAMA NA SI MTINDA NYUSI?
what if ni KAMATA?
 
afadhali achague hao kuliko ile mimama inayojichubua imetapakaa mawilayani ikitinda nyusi tu... hata wewe ukiwa kwenye limelight waweza hojiwa hadi mkao wako ch00ni

Tumpe rais nafasi afanye kazi
Na 'mijianaume' huwa inafanya nini? Sina uhakika kama takwimu zako ni sahihi. HAo wanawake ni wengi kiasi hicho wilayani? Au tatizo ni kutinda?
 
Kuana habari nimeipata toka chanzo cha uhakika Ikulu JK mbali amemteua kijana mmoja kuwa mkuu wa wilaya moja huko Nyanda za juu kusini. Huyu kijana ana miaaka kati ya 30-32 na amaemaliza chuo kikuu nje ya nchi miezi 6 iliyopita hivyo kuleta maswali ni jinsi gani atakuwa na uwezo wa kuongoza wilaya. Habari za kina kuhusu uteuzi huu wa kiswahiba kama ilivyo ada ya JK kufuata....

Haya kaka hii sio mbaya sana, Jinsia gani?
 
isije ikawa ni wale vijana walopewa kazi maalumu pale Upanga? tuambie amesoma course gani
 
afadhali achague hao kuliko ile mimama inayojichubua imetapakaa mawilayani ikitinda nyusi tu... hata wewe ukiwa kwenye limelight waweza hojiwa hadi mkao wako ch00ni

Tumpe rais nafasi afanye kazi

True dat.Huku kwetu tumepewa yule alievurunda uw-ccm(husna mwilima)
 
huyo kijana atakuwa wa aina ya Masha anawaongoza Watanzania kwa namna ya huko alikosomea mwisho wake hawatamwelewa ataishia kukipotezea chama uaminifu kwa wananchi lakini kwa kuwa rais akitamka inakuwa hamna taabu
 
Back
Top Bottom