Recent content by katoto

  1. K

    Toxic Aid: Economic Collapse and Recovery in Tanzania - A book by Sebastian Edwards

    Wana-uchumi chambueni kitabu hiki Toxic Aid: Economic Collapse and Recovery in Tanzania - By Sebastian Edwards Unaweza kusoma kutoka Toxic Aid: Economic Collapse and Recovery in Tanzania - Sebastian Edwards - Google Books Kitabu kinaeleza kuwa
  2. K

    Jinsi ya kumkamata anaye-cheat kwa kutumia simu...

    Nilitaka kununua Spy Tools and Cheating Spouse Info Kit for Iphone lakini nimecheck hizi customor review nikaghairi. Customer Reviews Not that good by rodney shelton It tells you how to restore messages but the stuff to do for iphones are for jailbroken phones and im not gonna do...
  3. K

    Msaada wa research!

    Please, post your findings
  4. K

    mabosi Wa Kihindi Ni Washenzi

    Wakijua umeshawahi kufika kwao (India) hawakunyanyasi hata tone. Wanajua unafahamu shida zao, kule Gujarat,Bombay, Punjab... na watakuheshimu.
  5. K

    Qn: Can Viruses infect data burned into CD?

    Hapana na ndio. Recordabe CD haiwezi kushambuliwa na virus. Hata ivyo kama data ulizoandika kwenye CD tayari zilikuwa na virus, basi CD hiyo inaweza kuwa hifadhi nzuri ya kuendelea kusambaza virus!
  6. K

    kwa wapenzi wa Animation movies

    Cars and Cars 2
  7. K

    Wasomi wa Tanzania wametoa mchango gani kwenye Taifa letu mpaka sasa?

    Ni ukweli ulio wazi. Msanii ni maarufu zaidi kuliko professor, kila mwananchi anamjua msanii, lakini professor ni maarufu kwa watu wachache/wanachuo/na wasomi wacahche Hata mimi ningekuwa politician msiba wa msanii ndio mahali pa kuonyesha ukaribu na wananchi.. Hivyo msiba wa Kanumba kuvutia...
  8. K

    Wanyama wangekuwa na ID JF

    Labda samaki angesema Sisi wanyama ni wanyama, hatuwezi kufanana na wana JF. Asilimia kubwa tunalalamika kuhusu kitu ambacho binadamu atatufanyia. Hapa JF ni kwa binadamu, mimi narudi baharini kwangu, hapa hakuna oxygen
  9. K

    condom.......kwa kiswahili.....

    Kifudushi linatamkika kwa urahisi. Hata ukienda dukani huoni aibu kuagiza,kifudushi. Lakini unafikiria mara tatu kabla huja sema tafadhali niuzie condom.
  10. K

    Clouds na Matusi ya Lusinde inamaanisha Nini?

    Hiyo DVD waki-burn iandikwe warning "ONLY ADULTS OVER 18"
  11. K

    Elimu ya Tz

    Point noted Sir H I dont know how much the Tanzanian education differ from the Kenyan counterpart. But, Tanzanians teachers need to stop thinking that students understands by scaring/scolding them. Instead they should teach to reason with confidence. Always let pupils know why 2X2 is 4, with...
  12. K

    Rais kikwete katika picha akipanda mlima Kilimanjaro

    Natumaini wakifika mbele watavaa mavazi (nguo na viatu) vya kupandia mlima. Vinginevyo baridi si kali sana huko mlimani?
  13. K

    Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

    Jaribu kufanya mazoezi ya viungo mara kwa mara au kila siku, uchovu wa mwili unaweza kuchangia tatizo lako!
  14. K

    Kenyan & Tanzanian Surburbs

    Mekatili I dont know if you are the same personality as '(findingnimo)' on flicker. If you are, congratulations for a nice photography project of Kenyan suburbs. If you are not, you should credit findingnimo for making it easier for you to scare the hell out of JF (Tanzanian) guys, all you did...
  15. K

    Kwanini Balali hakuzikwa Tanzania?

    Hivi ni nani alitangaza msiba huu officially, tutakuja kutaka ushahidi wake siku moja.
Back
Top Bottom