Kwanini Balali hakuzikwa Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini Balali hakuzikwa Tanzania?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAGEUZI KWELI, Jan 13, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Jamani si kuwa naota..Ninajaribu kukumbukia Serikali yetu ya Tanzania na upana wa maamuzi yake..Tulikuwa na Gavana wa BOT na alikumbwa na Kashfa Lukuki mpaka Macho yoote ya Watanzania yakaganda kwenye Sakata Hilo.

  Sasa Huyu jamaa alikufa, Nini kilisababisha Maiti isije Tanzania kwa mazishi na uhakika wa kifo Cha mtu huyu???

  Serikali kutokuwa na Maamuzi mapana kuhusu sakata la BOT ilikuwa inakusudia nini??

  Nimewaza nikatoka na Hili hebu tuuchambue kidogo huu uongozi tulio nao na upana wa maamuzi yake...

  Haya njooni tusemezane Asema Bwana.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Nani kakwambia balali kafa? Ulishawahi kuona kiongozi mkubwa anakufa halafu unaambiwa juu kwa juu? Hata picha hakuna lol,balali yupo marekani anakula bata refu we karagabhao
   
 3. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Acha kumchulia kifo Balali. Balali yupo visiwa vya Carribean anakula bata
   
 4. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #4
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  embu fikiri unyeti wa cheo chake halafu afariki watu wasihudhurie msiba wake, kiongozi gani wa nchi alienda kwenye mazishi yake? Kikwete pamoja na kupenda kuhudhulia misiba huu wa balali mbona hajaenda? Kwa kifupi balali yupo anakula bata tu
   
 5. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #5
  Jan 13, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  You can fool people for sometime, but you can not fool people all the time.
   
 6. M

  Mokerema JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 236
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inawezekana Kama kweli amekufa alikuwa ameukana uraia wa Tanzania. Pili labda aliacha wosia kwamba akifa asizikwe Tanzania ni mambo binafsi. Alikaa huko USA kwa miaka mingi na alikuwa na nyumba yake huko. Tumwache apumzike. Tupambane na Ndullu afanye kazi kwa tija yaliyopita SI ndwele tugange yajayo!:A S 465:
   
 7. B

  Baba Collins JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2012
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nasubiri siku atakapotia maguu hapa bongo!
   
 8. Secretary General

  Secretary General Member

  #8
  Jan 13, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Tuliambiwa kuwa kifo cha Balali kilikuwa ni private death, na mazishi yake pia yakawa ni private (nadhani hata mkewe hajui kama mumewe alikufa) na inawezekana alijizika mwenyewe. RIP Balali watanzania walikuhitaji ujibu tuhuma lakini Mungu alikupenda zaidi.
   
 9. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #9
  Jan 13, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,482
  Likes Received: 12,754
  Trophy Points: 280
  Hajazikwa kwakuwa
  bado hajafa ile
  ilikuwa funika kombe
  mwanaharam apite
   
 10. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #10
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  ...D. BALAAHILI, hahahaaa! Hao wahalifu waliopo tunawaangalia tu na kuanza kusaka "wafu"....!!!
   
 11. G

  G.JUMA Senior Member

  #11
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 112
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Coz inasadikika yu hai,
   
 12. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #12
  Jan 13, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  inshu ya balali is so disguisting, yaani mtumishi wa umma ngazi ya Gavana anakufa then hasafirishwi kurejeshwa nyumbani/nchini kwake?
   
 13. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #13
  Jan 13, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,337
  Likes Received: 6,684
  Trophy Points: 280
  !!!!!kaaazi kweli kweli!!!kumbe hiyo ni sehemu ya hobie!
   
 14. k

  katoto Member

  #14
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 5, 2007
  Messages: 42
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Hivi ni nani alitangaza msiba huu officially, tutakuja kutaka ushahidi wake siku moja.
   
 15. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #15
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Labda walihisi wakiileta nchini itafikia kwanza keko halafu ikaagiwe mahakamani
   
 16. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #16
  Jan 13, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Nataka afe ili tupate ukweli!akifa kweli ndo ukweli wa mambo ndo utajulikana!Mungu asaidie na aweke mkono ili afe na tupate ukwel wa mambo!
   
 17. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #17
  Jan 13, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Balali yupo hai anadunda kama kawaida.
   
 18. Komeo

  Komeo JF-Expert Member

  #18
  Jan 13, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 2,393
  Likes Received: 423
  Trophy Points: 180
  Wakuu niwarejeshe kwenye waraka wa I wa mkuu "Hutaki Unaacha" alipoeleza mambo mengi kumtahadhalisha mkulu. Katika waraka ule ambao umo humu jamvini imeelezwa kuwa Balali aliuawa na kikosi maalum kwa kazi hiyo na kwa maelekezo ya mkulu mwenyewe ili kufunika mambo ambayo yalielekea kumlipukia mkulu mwenyewe. Imeelezwa kuwa baada ya kuuawa alichomwa moto na majivu yake kutupwa baharini. Kwa maelezo zaidi rejea waraka huo Part I, uusome hadi mwisho sio kuishia njiani (kama kawaida ya watz wengi) kwakuwa ni mrefu.
   
 19. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #19
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Umeshawahi kuona mtu akizikwa akiwa hai?
   
 20. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #20
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tena kila siku anasoma mtandao wa JAMII FORUMS, upo hapo
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...