Rais kikwete katika picha akipanda mlima Kilimanjaro

Tukio hili ni la kuonyesha kwamba kuna watu wanamzushia kwamba afya yake ni mgogoro lakini pia kama madaktari wamemruhusu basi wameridhika na afya yake. Misukosuko iliyompata wakati wa kampeni inaonekana ilitokana na uchovu. kila binadamu anaumwa ingawa kuna watu wanapenda kuongeza chumvi kwenye afya ya Rais kwa sababu za kisiasa.
tuwekeane dau wewe weka jiwe mi najitoa muhanga kupigwa life ban endapo atapanda kwa miguu yake walau mita 3000.
 
hafu yule mchungaji anasema Wakwere wachafu, muonyesheni picha ya 2, jinsi kijana wa kikwere alivyopozi akingoja picha

Kwa usafi J.K ni tofauti sana na wakwere wengine,hapo anatamani wangekua wanapanda na travota ili anyanyue mguu kidogo ionekane kwa picha!
 
ameenda kupga picha tu hawezi panda mlima yule...jukwaan tu anaanguka ndo mlimani????
 
tuwekeane dau wewe weka jiwe mi najitoa muhanga kupigwa life ban endapo atapanda kwa miguu yake walau mita 3000.


kupanda mlima kilimanjaro hakuna kuapiza hata vijana hawafiki. Mimi nilipanda tukiwa 18 tulifika kileleni 8 na wote vijana. hata akishindwa hakuna uhusiano na kukosa afya.
 
Natumaini wakifika mbele watavaa mavazi (nguo na viatu) vya kupandia mlima. Vinginevyo baridi si kali sana huko mlimani?
 
kupanda mlima kilimanjaro hakuna kuapiza hata vijana hawafiki. Mimi nilipanda tukiwa 18 tulifika kileleni 8 na wote vijana. hata akishindwa hakuna uhusiano na kukosa afya.
kubali yaishe mshua anaweza kupanda ndege tu mlima hauwezi
 
Binafsi siamini kama Jk ana uwezo wa kupanda mlima hadi kileleni! JK ni mgonjwa, hali ya hewa ya huko haimsuhusu. Hata hivyo kila kheri JK, ila angalia bana haya mambo ya baadaye tukaanza kuambiwa uchovu sijui, safari ya botswana sijuii nini!!!

Weye haya tu..
 
Conclusion


Ladies and Gentlemen;


I know most of you are now ready to start the climbing of Mt Kilimanjaro, therefore let me not delay you any further with a long speech. We wish you well and we hope that you will all reach the Uhuru Peak, the highest point of Mount Kilimanjaro and in Africa. With these remarks, I formally declare the Africa UNITE Climb to End Violence against Women and Girls officially launched.


Thank you for your attention and best of luck!
 


namuna kama Lyatonga kwa karibu aking'aa macho, huyu nae si mgonjwa lakini,au anatafuta sababu za kwenda India unless awe alirudia pale pale chini kwny uzinduzi
 
Back
Top Bottom