Clouds na Matusi ya Lusinde inamaanisha Nini?

And seriously, mwishoni mwa matusi yake anasema yeye ni kichaa wa kuzaliwa. Moja ya sifa za ubunge ni kuwa na akili timamu. Ofisi ya bunge iandae utaratibu wa haraka kwenda kupima akili yake. Isije kuwa kweli tumepeleka kichaa bungeni.
 
nataman ningekuwa na namba ya lusinde jaman ningemwambia chek jf afu aje atukaneeeee wote umu ndani...dah lakin yule mding ajabu kweli anatukana km kanywa mkojo wa...


Aisee hivi ulipotelea wapi vile? nilikumiss bana...:focus: nadhani ni bora clouds wameiicheza hiyo clip ili hata wananchi wasiokua na access na mitandao wajue ni watunga shera wa aina gani tulio nao pale mjengoni.
 
Waungwana, nina wasis wasi kuwa ama huenda Lusinde hakulelewa na wazazi wake au hakupata uangalizi wa kutosha wakati anakua, alijilea mwenyewe au kulelewa na ndugu ambao hawakuwajibika vema kwa mtoto wao. Kama alilelewa na wazazi au ndugu basi I afraid to say tha Hon. Lusinde is a mad!

Kama ana mke na watoto, I very sorry kwa familia yake, watakuwa wanajiongoza wenyewe.
 
Daa ulikuwa wapi Rose jamani wakati tunashangilia jana. hujaonekana siku nyingi humu ndani

jana nilikuwa bize na joshua jaman kumpapole na uchovu......na kumpongeza pia manake mmhh alichoka kweli asi unajua tena magamaba walivyo wachokoz.....leo ndo nimemwachia ila kesho staonekana tena cz ntakuwa na kaz naye....tutakuwa ndani tu masaa 14....UMESKIA?MISJASEMA:tape2:
 
Aisee hivi ulipotelea wapi vile? nilikumiss bana...:focus: nadhani ni bora clouds wameiicheza hiyo clip ili hata wananchi wasiokua na access na mitandao wajue ni watunga shera wa aina gani tulio nao pale mjengoni.


MI PIA NAMSHUKURU gerlad kwa kuicheza cz skujua lolote...ehh kanibikiri kabsa juu ya bwana lusinde....

mi nipo wewe tu...maden meng mwaya ndomana sionekan asi unajua tena....:censored:
 
MI PIA NAMSHUKURU gerlad kwa kuicheza cz skujua lolote...ehh kanibikiri kabsa juu ya bwana lusinde....

mi nipo wewe tu...maden meng mwaya ndomana sionekan asi unajua tena....:censored:

He he heeee usipotee hivyo bana...
 
kuna thread moja hapa inaongelea kupiga marufuku miss tz, na kuna kampeni za chini chini kusitisha mambo ya fiesta nk.

kwa kifupi hii radio ndio aina ya mambo ambayo inapromot na kila ikitokea nikaisikiliza najaribu kifikiria ni aina gani ya community wanajaribu to animate. Sijui malengo yao ya muda mrefu ni nini, kwa kifupi mpaka sasa wanasababisha damege kubwa sana katika akili za Watz walio wengi ambao kwa kawaida uelewa wetu sio mkubwa kiivyo!

Labda Kipanya anaweza kutupa comments za redio hii on short, medium and long term plans.
 
Hivi huyu Lusinde, si ndio alikuwa MC wakati fulani akiishi maeneo ya Kawe-DSM? Kama ni yeye, basi amedhalilisha si wabunge wenzie wa chama cha magamba tu, bali hata ma-MC wenzie! Shame on him!
 
Alosema wabunge wapimwe akili ni nani?na kwanini alisema?rejea kikao cha budget LaSt yIa
 
Hiyo DVD waki-burn iandikwe warning "ONLY ADULTS OVER 18"

Tafadhali sana,mu burn nakala nyingi za hiyo clip ya matusi yake mtawanye bure jimboni kwake ili watoto,watu wazima na wazazi wake wajue aina ya kiongozi waliyenaye.Ikiwezekana hata mawilayani all over Tanzania mtusambazie watu wata burn kwa gharama zao,kuna vijana naishi nao jirani niliwaonyesha hiyo clip kwenye lapto ya Lusinde anavyobwabwaja,mmoja wao ambaye alikuwa mwanachama wa CCM karudisha kadi juzi.Hakuna alieamini kuwa matusi yale yanatolewa na mtu mwenye dhamana ya kuongoza wananchi.
 
Back
Top Bottom