dada unachokofanya hapo unapokuwanaye huwa unacompare, hapo unakosea sana tu tulia na mume wako mweleze unachotaka na kwa upole si kwa dharau wala ukali wala dhihaka nina imani atakielewa.pia tulia dada na ndoa yako utaambulia kuachwa bure uje jilaumu tu
ukianza kuhesabu utaona ni nying sana ila ni mambo ya kijamii zaidi huwezi kukwepa. ila inabidi system ya harusi nzima ibadilishwe maarusi wawe wanapewa kiasi kikubwa tofauti na ile zawadi ya kamati
nafikiri nilikuwa peke yangu katika kushangaa hilo.
itabidi elimu itolewe kwa watu hao.na pia kukataza matumizi ya vipodozi hivyo maana wengine wanaungua kama wamechomwa na mafuta ya maandazi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.