Kuchukuliana pesa ktk NMB account | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuchukuliana pesa ktk NMB account

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Bao3, Feb 24, 2010.

 1. B

  Bao3 JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2010
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 318
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ndugu wadau au yeyote mwenye uelewa:
  Naomba kujua, hivi inawezekana kuchukuliwa pesa toka kwenye account yangu na mtu mwingine(rafiki/ndugu) bila kutumia ATM (yaani kwa cashier)? Ni vitu gani vinatakiwa kufanya kama nataka kumtuma mtu akanichukulie pesa yangu maana nimeshindwa kwenda bank mwenyewe na ATM card yangu naambiwa imeisha muda wa kutumika kwake. Asanteni.
   
 2. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 5,103
  Likes Received: 1,543
  Trophy Points: 280
  sidhani kama wanatoa mzee mpaka uende mwenyewe,ila ukituma akakuwekee poowa inaruhusiwa.
   
 3. B

  Bao3 JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2010
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 318
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ok, asante Babu kwa msaada wako wa haraka.
   
 4. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,640
  Likes Received: 625
  Trophy Points: 280
  No way hapo inabidi uende mwenyewe
   
 5. B

  Bao3 JF-Expert Member

  #5
  Feb 24, 2010
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 318
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Asante, hapo kazi ninayo aisee.
   
 6. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #6
  Feb 24, 2010
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 8,115
  Likes Received: 2,412
  Trophy Points: 280
  Procedure ya mtu mwingine kukuchukulia pesa ni ngumu. Nimeona mara kadhaa watu wanaenda na wagonjwa benki!
   
 7. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #7
  Feb 24, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mkuu lazima uende mwenyewe maana watu siku hizi hawaamini mkuu,au kama vp inabidi umuendorse m2 lkn hiyo ni CRDB maana nilishagafanya hivyo pamoja na kutuma passport (copy) yangu na visa ninapokaa au permit na ilichukua muda lkn kama uko Bongo mkuu inabidi uende mwenyewe
   
 8. K

  Kibongoto JF-Expert Member

  #8
  Feb 24, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mh, hata mimi nina similar problem but am outside bongo. Kimbembe!!!!
   
 9. k

  kamaghe Member

  #9
  Feb 24, 2010
  Joined: Oct 30, 2009
  Messages: 14
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  nenda mwenyewe ndo utapewa
   
 10. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #10
  Feb 24, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,378
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  apo pakafu mpaka ubhuke jhu jhu ghwe,
  haiwezekani lazima uende mwenyewe,
  its not possible, you should go your self,
   
 11. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #11
  Feb 24, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Kwa NMB inawezekana kabisa. Nina uhakika na hili labda wawe wamebadilisha utaratibu mwaka huu. Kuna jamaa mmoja alikuwa masomoni nje ya nchi akawa-direct bank wampe mtu fulani pesa na walimpa. Mimi pia nilishawahi kuwaangiza benki wahamishe pesa toka kwenye akaunti yangu kwenda kwenye akaunti ya mtu mwingine na wakafanya. Walichotaka kutoka kwangu ni barua, copy ya passport yangu na copy ya kadi yangu ya benki. Wasiliana na Tawi lako ujue watataka nini kutoka kwako ila inawezekana kabisa.
   
 12. B

  Bao3 JF-Expert Member

  #12
  Feb 24, 2010
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 318
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Nashukuru mkuu,nimekugongea thanks hapo pia.
   
 13. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #13
  Feb 24, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 5,103
  Likes Received: 1,543
  Trophy Points: 280
  mmh,sijui lakini mimi nilituma jamaa kuchukua pesa na kadi yangu ya atm nbc walikataa kabisa na nikapiga simu pia walisema hawatoi labda nifungue acc mpya nimkabidhi huyo mtu.
   
 14. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #14
  Feb 24, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Hiyo ni NBC ya makaburu mkuu sisi tunazungumzia NMB ya makabwela.
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...