Wanawake na sex toys...

eRRy

JF-Expert Member
Jun 12, 2009
1,125
204
kwanini kina dada/mama wameamua kujikita katika matumizi ya viungo vya plastiki(sex toys)? tatizo?
 
kwanini kina dada/mama wameamua kujikita katika matumizi ya viungo vya plastiki(sex toys)? tatizo?

-Unachagua size unayotaka-tofauti na mwanaume ambaye unamkuta na hicho alicho nacho, no compromize!

-Unachagua yenye umbo na sura unayotaka-ina uhuru zaidi!

-Ucan command it, not a man who commands you always!

-Haipigishi bao moja na kusinzia-unlike men...lol!

-Anytime, anyhow, anyway!.....Bado tu hujakubali?
 
kwa kifupi haikobore.....u are always sure to have a good time......unlike u know what....:)
 
-Unachagua size unayotaka-tofauti na mwanaume ambaye unamkuta na hicho alicho nacho, no compromize!

-Unachagua yenye umbo na sura unayotaka-ina uhuru zaidi!

-Ucan command it, not a man who commands you always!

-Haipigishi bao moja na kusinzia-unlike men...lol!

-Anytime, anyhow, anyway!.....Bado tu hujakubali?

PJ are you he/she?
 
Hiyo si kama nyeto kwa wanaume,sema sisi hatuhitaji toy mara nyingi.
 
Mlachake...

Umeundiwa hoja kwenye Thread yako ya MWALIMU ANGEKUWEPO, uliyoiposti sasa hivi, nenda kajibu kwanza!

hahahah lakini ulivojibu apo juu mkuu, umeuvaa uhusika, si ungetumia nafsi ya tatu?
 
Sikonge, mambo maswano kabisa kuhusu hizi zana. Tunauza wazi wazi tu tena mbele ya baraza la nyumba zetu......
 
PakaJimmy

Dah Kazi kweli kweli.pamoja na hayo yoooote still mwanamke atakuwa na mwanaume mwingine? Hizo toy haziwezi kumpa mwanamke 'mapenzi' yote kwa sababu mapenzi is not all about sex .Vinginevyo tutakuwa na watu walio affected kisaikolojia wengi sana kwa kukosa real love.
 
Last edited by a moderator:
Dah Kazi kweli kweli.pamoja na hayo yoooote still mwanamke atakuwa na mwanaume mwingine?Hizo toy haziwezi kumpa mwanamke 'mapenzi' yote kwa sababu mapenzi is not all about sex.Vinginevyo tutakuwa na watu walio affected kisaikolojia wengi sana kwa kukosa real love.

Say it again darling. Mwanaume atabakia kuwa mwanaume na toy litaendelea kuwa toy. Period!
 
Sikonge

mkuu umenifurahisha sana,mimi nilidhani hilo ni tunda tu kumbe laweza kusave several purposes.siku nyingine uwawekee na manua ya jinsi ya kutumia hiyo
 
Last edited by a moderator:
Say it again darling. Mwanaume atabakia kuwa mwanaume na toy litaendelea kuwa toy. Period!

Yes dear!Nimewahi kusikia watu wanasema kuwa eti mwanamke akikosa mume/mwanamume kwa umri fulani anakuwa na asilimia kubwa ya kuwa kama aliyechanganyikiwa,sijui ni kweli?
hata hivyo mimi sielewi lakini nini hasa kinasababisha wanawake watumie ma-toy kwa kiwango hicho?.
 
Back
Top Bottom