Askofu Kakobe; What you are doing is not FAIR! Mungu hapendi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Askofu Kakobe; What you are doing is not FAIR! Mungu hapendi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Teamo, Jan 26, 2010.

 1. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  sikuwahi kuona ''mgomo'' wa staili hiyo kwenye historia ya wokovu(kuanzia adam mpaka yesu)...!nashindwa kuelewa unatumia clause ipi katika biblia takatifu kuwakeshesha waume za watu,wake za watu,wazazi wa familia kadhaa usiku na mchana kwa ajili ya swala la kanisa na tanesko!YOU CAN'T BE SERIOUS!

  ninapita hapo sasa ni mwezi umekatika lazima utakuta watu aidha wanaungua na jua au wanaumwa na mbu!....THIS IS NOT RIGHT!

  • kwanza unaathiri pato vipato vta familia nyingi sana ambazo ni masikini kwasabab u asilimia kubwa ya watendaji ndio unaowaweka hapo

  • Pili unaonyesha picha mbaya ki-imani!ninavyoifahamu mimi imani ya kristu ni kwamba MUNGU ANAWEZA KUJIBU MAOMBI!...hawezi kujibu maandamano!rejea vipengele kadhaa vya biblia
  MY TAKE:kuna njia nyingine za kudai mnachokiamini ni haki yenu,lakini hilo mnalolifanya sasa ni SIASA!injili na siasa wapi na wapi bwana...!
   
 2. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #2
  Jan 26, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Geoff umenena
  Imani ni kama madawa ya kulevya yaani inawezamtoa mtu akili kabisa na kufanya mambo ya kutisha. Angalia wale wanaojitoa muhanga kwa minajili ya kuipigania imani zao! Na sasa hawa wa Kakobe. Jamani kwa nini hatujifunzi kutokana na yatokeayo? Ninamkumbuka Kibwetere mimi.
   
 3. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  definetely ndiko tunakoelekea!.....
   
 4. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #4
  Jan 26, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Natamani ningekuwa na uwezo ningefungua kesi ya haki za binadamu kwa
  1. Waume wanaolala pale na kuacha familia zao nyumbani
  2. Wanawake wanaolala pale na kuwaacha waume zao na watoto

  Ila kubwa ni watoto wanaoachwa bila uangalizi wa wazazi wao ambao si kwamba wamekwenda kazini la hasha wanakesha kulinda mabango ya kanisa yasiondolewe kuruhusu kupitishwa kwa nyaya za umeme.

  Ninaanza kuamini yale yanayosemwa mitaani kuwa ukijiunga na Kakobe unatakiwa kusurrender dhahabu zako na kumkabidhi!!

  Hivi hakuna njia nyingine ambayo Kakobe angewezatumia kufikisha ujumbe na kupata haki yake?
   
 5. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #5
  Jan 26, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Imani kitu kingine unakumbuka wale wa Uganda walivyojichoma moto kwa kudanganywa ni mwisho wa dunia halafu kiongozi wao aktimka na mali zao kusiko julikana! Yaani watu hawafuatilii hata historia na kuona wanatumiwa visivyo kwa faida ya mwingine! Enyi waumini wa kakobe someni Biblia mjue kweli ni ipi! heeeeeiiiiiiii acheni kuwa kama bendera fuata upepo!
   
 6. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #6
  Jan 26, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  ....kibaya zaidi ni hawa watoto wanapogeuka kuwa omba omba wa chakula!...kwa kauli za MUNGU ATAKULIPA
   
 7. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #7
  Jan 26, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  HII ni 80% ya watz!..kwa mujibu wa muungwana!
  certainly YES
   
 8. bht

  bht JF-Expert Member

  #8
  Jan 26, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  matumizi mabaya ya dini haya!!!!! mimi naamini neno la Mungu ndilo lingetusaidia kutupa muongozo mzuri katika maisha likiwemo suala zima la kutatua matatizo. sasa hapo kweli tunaweza kulisingizia neno la Mungu au upuuzi wa mawazo yetu!!!
   
 9. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #9
  Jan 26, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Kakobe is onother business man of typical slave trade, only that he is doing it in a more civilised manner with bible as capital. People are suffering to protect his properties . They have chains in their necks and feet without themselves knowing it.
   
 10. Guyana Halima

  Guyana Halima Member

  #10
  Jan 26, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 78
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Its not fair at all!! Wakati yeye anaendelea kuingiza kipato na sadaka, waumini wa watu hata watoto sijui watakuwa wanakula nini kama muda wote mtu anashinda pale!!!!
   
 11. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #11
  Jan 26, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  najiuliza kwamba je,
  serikali inaweza kutishwa na huo mgomo???!...

  je,wao wanaamini kwa kufanya hivyo serikali haitafanya kilichoplaniwa??...
   
 12. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #12
  Jan 26, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  something NEEDS to be done urgently!

  ninaumia sana ninapopita asubuhi pale kila siku!lol
   
 13. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #13
  Jan 26, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mfamaji hakuna kitu kinawezafanyika kwa watu hawa? Lets say haki za binadamu au ndo watasema kwa kuwa wamekubali kwa hiari yao hakuna kesi hapo? Fine wazazi wameamua kufanya hivyo what about watoto ambao wananyimwa haki zao za msingi? Mimi huwa nikipita asubuhi natamani nishuke garini na fimbo niwachape wale wamama ambao hakika wana familia zao!!

  Kuna umuhimu wa mtu kufanya utafiti juu ya hali ya maisha (income) kwa wale wote wanaosali kwa Kakobe- tuangalie how they fair- inawezekana kabisa Kakobe akawa anachangia katika kurudisha nyuma harakati za kutokomeza umasikini nchini!!
   
 14. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #14
  Jan 26, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hawakawii kudanganywa kuwa yale maji ya washawasha yatageuka kuwa mvua ya kawaida isiyowasha na risasi zitageuka maji kama enzi za kinjekitile so hawaogopi serikali hao!!

  Angalau wangefanya doria kwa mpangilio yaani huo mgomo ungefanyika ile siku ambayo serikali imepanga kuja kupitisha hizo nyawa otherwise najiuliza watakaa kwa muda gani pale maana kama tujuavyo serikali yetu inawezachukua hata miezi sita kabla ya kufanya inachotaka kufanya- si tunaona nyumba zinazobomolewa ili kupisha ujenzi wa barabara? sometimes zinabomolewaga hata kabla mkandarasi hajaanza kutafutwa!!
   
 15. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #15
  Jan 26, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  unadhani ki-imani wanahitaji kugoma?
   
 16. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #16
  Jan 26, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  ki-imani wanatakiwa kuomba ili MUNGU awasaidie kupata haki yao but sidhani kama imani hiyo inakataza wao kufanya njia na jitihada nyingine kuipata hiyo wanayoiita haki yao including kupata mwanasheria n.k.

  Mimi nimesema hivyo kwa kuwa walishaamua kugoma basi ni kama wanaamini kuwa hii ndo njia pekee ya kuwapatia haki hiyo!!
   
 17. k

  kamaghe Member

  #17
  Jan 26, 2010
  Joined: Oct 30, 2009
  Messages: 14
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mi sidhani kama anayafikiria yote mliyoyasema maana inatia huruma sana ila na waumini wao wote hawajapevuka kimawazo. nakuangalia hasara zake
   
 18. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #18
  Jan 26, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  RELIGION IS OPIUM OF PEOPLE.....Samora Machel
   
 19. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #19
  Jan 26, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hii nchi itaendelea kuwa masikini!....
   
 20. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #20
  Jan 26, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Inasikitisha serikali ya watu milioni 40 inazuiwa kuleta maendeleo na watu 2000!!!

  Ngeleja ameshindwa na 0.005% walio kwenye kitongoji kimoja

  SHAME SHAME SHAME
   
Loading...