Recent content by Kaluguyu

  1. K

    Waliowahi kuomba na kupata Visa tukutane hapa tupeane uzoefu

    Mie nilipoomba VISA ya USA nilitishwa kama nimeiba cha mtu. Aaah huwezi pata visa yao na hasa kama wewe mwenye sijida kama mwezi ndio kabisa. Lakini huwezi amini siku nilipoenda Ubalozini kwao kwa ajili ya interview niliulizwa swali ambalo siku litegemea na halikuwa la kiufundi kabisa nami...
  2. K

    Adha karibu na geti la Ikulu Dar!

    Kwani Manispaa ya Ilala hawayaoni Yale mashimo pale KINYEREZI SHULE yanasababisha foleni asubuhi na jioni kwa watumiaji wa Barbara ya Kinyerezi-Mbezi
  3. K

    Msaada kuhusu mkoa wa Tabora

    Acha umbea mtoto wa kiume utakuja haribiwa. mmepewa msaada halafu unaanza kuleta matusi na Dharau kwa wenyeji wako.
  4. K

    Ushauri: Samsung TV yangu imepasuka kioo, wapi nitapata mafundi wazuri?

    Nitafute tufanye Biashara naweza kurudisha kiasi cha pesa
  5. K

    Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

    Pole sana na Mahangaiko ya Dunia! Usimuombe Mungu akujulishe mke au mme wako wakati ndani yako umeshajichagulia wa kwako.
  6. K

    Kwa mapokezi haya hakuna ubishi Simba ndio Brand Kubwa Tanzania kuliko timu yoyote ile...

    Sio kweli, ukisema kuwa ni club kongwe sawa lakini kwa timu bado sana kwa sababu mwaka wa ngapi hawashiriki mashindano ya kimataifa?
  7. K

    Papa Francis ataka sala ya Baba Yetu ifanyiwe marekebisho

    Hivi ni vitu viwili tofauti kabisa!
  8. K

    JamiiForums Usiku wa manane

    Nipo napitia JF!
  9. K

    Kumekucha, Philip Coutinho wa Liverpool awasilisha hati kwa uongozi wa Liverpool kutaka kuhama!

    Had I muda huu Liverpool bado wanakanusha kupokea barua tika kwa Coutinho,pia kumbuka katika mkataba wake wa January hakuna kipengele cha kuachiwa kwa bei (I.e Release Clause) kama kwa Suarez au wengine waliopita. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. K

    Zitto Zuberi Kabwe punguza uchafu

    Kwani una uhusiano gani nae? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. K

    Nimefahamu kwamba mke wangu sio mke wangu (sad)

    Umempa jibu lililo zuri kabisa na lenye uhakika. Eda imewekwa mahsusi ili kuweza kufanya kitu hiki/tendo hili lisiwe rahisi kama tunavyo fikiria. Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
  12. K

    Shehe wa Mkoa wa DSM ( BAKWATA ) Musa Salum ni Shehe wa Milele?

    Sio allah ni Allah huna budi kuanza kwa herufi kubwa.
  13. K

    Ulishawahi kukutana na mmasai ambaye ni muislam?

    Huzaliwa japokuwa huwa hawakui kwa sababu huuawa wakiwa wachanga ktazamo wa kuwa ni laana kwenye familia
Back
Top Bottom