Nimefahamu kwamba mke wangu sio mke wangu (sad)

Nimefahamu kwamba mke wangu sio mke wangu (sad)

Mmmh makubwa ndo maana ...

love thé love or hâte thé love.....
 
Siyajui haya

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Mas'ala ya Talaka yana Ikhtilafu nyingi kwa wanachuoni usikurupuke na kumuacha mkeo
 
===
Asante kwa mtazamo wako pia... huenda ukisoma Quran hukuti jinsi ya kutawadha, pia hukuti jinsi ya kutoa zaka... haya yote yametolewa tafsiri katika hadithi na sherehe mbalimbali....
Binafsi naamini katika uislam pia, lakini naamini uwepo wa school of thoughts katika mambo mbalimbali na kutokana na elimu yangu yanatambulika.....ingawa nayaamini haya kama opinions za wajuzi na wala sio bifu...

thanks

Si kweli. Qur'an imekamilika tena kiushahidi kabisa kuhusu kutawadha na zakat. Huo ni mjadala mwengine. Hapa kuna talaka. Na talaka iko wazi kwenye Qur'an. Qur'an ni kitabu kisicho na Shaka ndani yake.

Hizo porojo za kusema sijui hakuna hiki hakuna kile na badala yake tunaletewa mambo ya kututowa na kuacha Uislam wetu.
 
Mkuu;
Asikudanganye mtu. Ulishamtamkia talaka tatu ni hivyo. Hakuna ubishi. Sasa, kwa kuwa; 1. Umemrudisha kinyume na uislam, huyo hakika sio mkeo. Unakaa na hawara tu mliyezaa naye tena nje ya ndoa tu. 2. Jiulize moyoni; Je ile hasira ya siku ile aliwahi kuiwasha tena? Kama jibu ni hapana, basi kajirudi sawia. 3. Kama moyo wako umemridhia tena na kujirudi, na kwa kuwa bado wampenda, shauri ni kuwa, mtafute nduguyo au swahiba wako wa kweli, umwombe akufungulie kifungo hicho. 4. Umurudishe kwao, asubuhi na mapema, saa 4 ujumbe uje wa kumtaka harusi na mahari ilipwe, mara baada ya alasiri, amtwae, aingie kwake, tawireyi amtaliki talaka 3. Asubuhi unamchukua awe mkeo ila usijaribu kuurudia tena ujinga wenu. 5. Hii ni kama unampenda na unaipenda familia yako. Kama sivyo, yaani huna hamu naye, achana naye. Mwambie arudishe talaka yake umpige 3 za kwakheri kabisaaaa. Msiichezee dini
Talak ya hivyo kisheria haipo katik dini yetu yaan ampange mume wa kumuoa mtalak wake then amuache hii kisheria haipo kabisaaa ni mpk aolewe na mtu mwengine kabisa sio mume wa kupangwa wakishindwana washindwane wenyewe kam alivyoshindwa mume wa awali ila kwa maelezo uloeleza wew bado watakuwa wazinifu tu na kisheria haipo
 
Unaifaham sharia gani weye?? Wadhani ni mchezo kujua kuwa swahiba wangu kamuona mke wangu?? Kama bado unampenda ukifanya hivyo inakuwa sunnaht. Sio kwamba wafanya kuachia kiseb seb. Itabidi aende mbali na weye atii. Nilivyoshauri ndiyo mpango mzima kwa huyu mlete hoja ili kuinusuru familia yake
 
"Sunnat" ndiyo nini?

Wacha porojo.
 
Dini ukiishikilia unaweza kujikuta unafanya mambo ya ajabu ambayo hajawi kutokea.
Dini haina tofauti na ukabila n.k

UKIMUAMINI MUNGU KATIKA ROHO NA KWELI HAKIKA HUWEZI KUFANYA MAAMUZI YA KIJINGA.
Mtoa uzi umenihuzunisha sana. Achana na Dini. Mrudie mkeo mlee watoto. Dini ni za duniani tu.
Kwenye vitabu vitakatifu imesisitizwa kuwa Amri kuu kukiko zote ni..Mpende Mungu wako kwa moyo wako wote na kisha mpende binadamu mwenzako kama unavyojipenda wewe..na kwamba huwezi kumpenda Mungu usiyemuona zaidi ya binadamu unayemuona.. so katika maamuzi yake atangulize UPENDO kwa mke wake..in short asimuache yf ni afadhali kuwa mpagani kuliko kumpa machungu ya maisha mwenzake ambaye ameshamchakaza tayari..

Sent from my SM-J5108 using JamiiForums mobile app
 
Qur'an 4:35. Na mkichelea kutakuwapo mfarakano baina ya mke na mume basi pelekeni muamuzi kutokana na jamaa za mume, na muamuzi kutokana na jamaa za mke. Wakitaka mapatano Mwenyezi Mungu atawawezesha. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mjuzi Mwenye khabari.

2:225. Mwenyezi Mungu hakushikeni kwa viapo vyenu vya upuuzi. Bali anakushikeni kwa yanayo chuma nyoyo zenu. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe na Mpole.

2:226. Kwa wanao apa kuwa watajitenga na wake zao, wangojee miezi mine. Wakirejea basi Mwenyezi Mungu hakika ni Mwenye kusamehe na Mwenye kurehemu. Maelezo

2:227. Na wakiazimia kuwapa talaka basi, Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusikia na Mjuzi.

In wako akiwa kwako

Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu nawasalim sana,
Nimeamua kuandika hili hapa kiasi nipate fursa ya kulitoa moyoni mwangu kwani nipo kwenye mtihani mgumu sana. Leo hii mchana nikiwa nasikiliza mawaidha ya kiislam channel ten kutoka kwa Sheikh Mohamed Eid abu Eid, mada "matatizo katika talaka - (islamic)".

Kuna msikilizaji aliuliza swali kwamba ikiwa mwanaume katika hali ya hasira atatoa talaka "tatu" kwa kutamka, lakini punde akasema alighadhibika so itambulike ni moja, je hukumu ya kiislam inasemaje?
Jibu: Uislam hauna utani kwenye talaka, na mwanaume kapewa power ya talaka kwa kuaminiwa kwamba ni composed compared angepewa power hiyo mwanamke zingekuwa zinatumika dailly. so kitendo cha kusema tatu, itabakia kwamba umeacha talaka tatu na kuanzia hapo mwanamke sio mke wako na atakiwa arudi kwao. Utaruhusiwa kumuoa tena tu endapo ataolewa na mtu mwingine willingly na ataachika willingly bila fitna kutoka kwa mwanaume aliyekuwa amemuoa kabla.

Issue
miaka kama minne iliyopita iliwahi kutokea sintofaham kati yangu na mke wangu. Nakumbuka nikiwa nimelala mke wangu aliniamsha kwa hasira akitaka nimuache. Baada ya kumsihi na kushindwa nilitamka kumuacha talaka tatu...lakini aliponiomba nimuandikie kwa ajili ya uthibitisho kwao nikaandika moja. kwakua ikiwa moja au mbili mwanamke anatakiwa akae eda kwako, nilimruhusu abaki eda, na alhamdulillah siku ya pili tu aliniomba radhi nikamsamehe tupo hadi leo..

what next,
Leo tulikuwa na issue nyingine na wife, nilipokuwa ijumaa niliomba Allah anifaulishe katika mtihani wangu na wife katika kila sidja niliyoenda nikilenga amshushe jazba. Nilipofika nyumbani wakati nasubiri lunch, ndipo nikawasha channel ten marudio ya kipindi husika. Lahaula napigwa na butwaa kusikia hii kitu.

Nimebaki na butwaa nawaza kuwauliza masheikh wengine kama hili linakubalika katika madhehebu yote katika uislam. Na ikithibitika kuwa hakuna namna wakuu nitakuwa naagana na mpenzi wangu wa 15 years.

najiliwaza kwamba labda Allah anampango wake kwetu sisi wote. Labda ajali iliyotokea ilitakiwa itokeee kwa ajili ya kusimika maandiko. Labda ndoa yetu ilikuwa ya muda mahsusi na ililenga kupata watoto wetu.... Ikitokea nitaachananae nimeamua kumruhusu achague chochote katika mali zangu ambacho kitampa faraja aendako. Nitalea watoto wangu nakadhalika.

nawatahadhalisha wanaume wenzangu, muwe makini sana. Kwa atakaye muoa mke huyu namtakia kila la kheir. sina kinyongo atakuwa mke mwema kwako. nami inshallah huenda nitapata zaidi ya huyu...

regards,
Mahwelu

Hii Surat Talak:
65:1. Ewe Nabii! Mtakapo wapa talaka wanawake, basi wapeni talaka katika wakati waeda zao. Na fanyeni hisabu ya eda. Na mcheni Mwenyezi Mungu, Mola wenu Mlezi. Msiwatoe katika nyumba zao, wala wasitoke wenyewe, ila wakifanya jambo la uchafu ulio wazi. Hiyo ndiyo mipaka ya Mwenyezi Mungu, msiikiuke. Na mwenye kuikiuka mipaka ya Mwenyezi Mungu, basi amejidhulumu nafsi yake. Hujui; labda Mwenyezi Mungu ataleta jambo jengine baada ya haya.
 
Unaweza kutuma sms au whatsapp msg kuwa "mimi Eli nakuacha Irene kwa talaka tatu",

Kwa wenzetu life's so simple...teh teh!!
 
Unaweza kutuma sms au whatsapp msg kuwa "mimi Eli nakuacha Irene kwa talaka tatu",

Kwa wenzetu life's so simple...teh teh!!
Qur'an 65:1. Ewe Nabii! Mtakapo wapa talaka wanawake, basi wapeni talaka katika wakati waeda zao. Na fanyeni hisabu ya eda. Na mcheni Mwenyezi Mungu, Mola wenu Mlezi. Msiwatoe katika nyumba zao, wala wasitoke wenyewe, ila wakifanya jambo la uchafu ulio wazi. Hiyo ndiyo mipaka ya Mwenyezi Mungu, msiikiuke. Na mwenye kuikiuka mipaka ya Mwenyezi Mungu, basi amejidhulumu nafsi yake. Hujui; labda Mwenyezi Mungu ataleta jambo jengine baada ya haya.

2. Basi wanapo fikia muda wao, ima warejeeni muwaweke kwa wema, au farikianeni nao kwa wema. Na mshuhudishe mashahidi wawili waadilifu miongoni mwenu. Na simamisheni ushahidi kwa ajili ya Mwenyezi Mungu. Hivyo ndivyo anavyo agizwa anaye muamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho. Na anaye mcha Mwenyezi Mungu humtengezea njia ya kutokea.

Soma zaidi: 65. SURAT ATT'ALAAQ
 
Umempa jibu lililo zuri kabisa na lenye uhakika. Eda imewekwa mahsusi ili kuweza kufanya kitu hiki/tendo hili lisiwe rahisi kama tunavyo fikiria.

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
===
Asante kwa mtazamo wako pia... huenda ukisoma Quran hukuti jinsi ya kutawadha, pia hukuti jinsi ya kutoa zaka... haya yote yametolewa tafsiri katika hadithi na sherehe mbalimbali....
Binafsi naamini katika uislam pia, lakini naamini uwepo wa school of thoughts katika mambo mbalimbali na kutokana na elimu yangu yanatambulika.....ingawa nayaamini haya kama opinions za wajuzi na wala sio bifu...

thanks

Hakuna madhehebu au "school of thought" inayofuta maandiko (abrogate) ya Qur'an na ukiamini kuwa hilo linawezekana basi hiyo ni shauri yako si ya Allah.

Kama nilivyokueleza, Qur'an IPO wazi kabisa kuhusu talaka, hakuna shaka na hakuna suala la talaka moja au mbili au tatu. Suala ni mara moja au mara mbili au mara tatu, jisomee:

Qur'an 2:229.T'alaka ni mara mbili. Kisha ni kukaa kwa wema au kuachana kwa vizuri. Wala si halali kwenu kuchukua chochote mlicho wapa wake zenu, ila ikiwa wote wawili wakiogopa ya kwamba hawataweza kushikamana na mipaka ya Mwenyezi Mungu. Basi mkiogopa kuwa hawataweza kushikamana na mipaka ya Mwenyezi Mungu hapo itakuwa hapana lawama ikiwa mwanamke atajikomboa. Hii ndiyo mipaka ya Mwenyezi Mungu; basi msiikiuke. Na watakao ikiuka mipaka ya Mwenyezi Mungu, hao ndio madhaalimu.

230. Na kama amempa t'alaka (ya tatu) basi si halali kwake baada ya hayo mpaka aolewe na mume mwengine. Na akiachwa basi hapana ubaya kwao kurejeana wakiona kuwa watashikamana na mipaka ya Mwenyezi Mungu. Na hii ni mipaka ya Mwenyezi Mungu anayo ibainisha kwa watu wanao jua.

Kama uonavyo, hakuna talaka tatu. Kuna mara ya tatu.

Huyo ni mkeo kwa mujibu wa Qur'an unless uwe unatafuta sababu zisizokuwepo.
 
Wakuu nawasalim sana,
Nimeamua kuandika hili hapa kiasi nipate fursa ya kulitoa moyoni mwangu kwani nipo kwenye mtihani mgumu sana. Leo hii mchana nikiwa nasikiliza mawaidha ya kiislam channel ten kutoka kwa Sheikh Mohamed Eid abu Eid, mada "matatizo katika talaka - (islamic)".

Kuna msikilizaji aliuliza swali kwamba ikiwa mwanaume katika hali ya hasira atatoa talaka "tatu" kwa kutamka, lakini punde akasema alighadhibika so itambulike ni moja, je hukumu ya kiislam inasemaje?
Jibu: Uislam hauna utani kwenye talaka, na mwanaume kapewa power ya talaka kwa kuaminiwa kwamba ni composed compared angepewa power hiyo mwanamke zingekuwa zinatumika dailly. so kitendo cha kusema tatu, itabakia kwamba umeacha talaka tatu na kuanzia hapo mwanamke sio mke wako na atakiwa arudi kwao. Utaruhusiwa kumuoa tena tu endapo ataolewa na mtu mwingine willingly na ataachika willingly bila fitna kutoka kwa mwanaume aliyekuwa amemuoa kabla.

Issue
miaka kama minne iliyopita iliwahi kutokea sintofaham kati yangu na mke wangu. Nakumbuka nikiwa nimelala mke wangu aliniamsha kwa hasira akitaka nimuache. Baada ya kumsihi na kushindwa nilitamka kumuacha talaka tatu...lakini aliponiomba nimuandikie kwa ajili ya uthibitisho kwao nikaandika moja. kwakua ikiwa moja au mbili mwanamke anatakiwa akae eda kwako, nilimruhusu abaki eda, na alhamdulillah siku ya pili tu aliniomba radhi nikamsamehe tupo hadi leo..

what next,
Leo tulikuwa na issue nyingine na wife, nilipokuwa ijumaa niliomba Allah anifaulishe katika mtihani wangu na wife katika kila sidja niliyoenda nikilenga amshushe jazba. Nilipofika nyumbani wakati nasubiri lunch, ndipo nikawasha channel ten marudio ya kipindi husika. Lahaula napigwa na butwaa kusikia hii kitu.

Nimebaki na butwaa nawaza kuwauliza masheikh wengine kama hili linakubalika katika madhehebu yote katika uislam. Na ikithibitika kuwa hakuna namna wakuu nitakuwa naagana na mpenzi wangu wa 15 years.

najiliwaza kwamba labda Allah anampango wake kwetu sisi wote. Labda ajali iliyotokea ilitakiwa itokeee kwa ajili ya kusimika maandiko. Labda ndoa yetu ilikuwa ya muda mahsusi na ililenga kupata watoto wetu.... Ikitokea nitaachananae nimeamua kumruhusu achague chochote katika mali zangu ambacho kitampa faraja aendako. Nitalea watoto wangu nakadhali wanaume wenzangu, muwe makini sana. Kwa atakaye muoa mke huyu namtakia kila la kheir. sina kinyongo atakuwa mke mwema kwako. nami inshallah huenda nitapata zaidi ya huyu...

regards,
Mahwelu

= nawatahadharisha

Kwanza nakushauri rekebisha hilo halafu rekebisha msimamo wako kuwa eti umefahamu kwamba mke wako si mke wako. Kutokana na "dalil" za Qur'an nilizokupa juu huko huyo ni mkeo.
 
Back
Top Bottom