Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,934
Mungu Ni Mtenda Miujiza
Nani kakwambia wanashida?Mungu ni wa ajabu, tazama hao wenye shida wanasoma na kufanikiwa halafu wengine wanafoji vyeti na hali ni wazima wa afya!!!!
Basi yaishe isiwe tabuNani kakwambia wanashida?
Ahsante Mungu kwa uumbaji wako, wewe unajua zaidi kuliko sisi, walinde viumbe hawa, waepushe na majanga, wewe ndie unayejua umeandika nini katika maisha yao.
Amen!Ahsante Mungu kwa uumbaji wako, wewe unajua zaidi kuliko sisi, walinde viumbe hawa, waepushe na majanga, wewe ndie unayejua umeandika nini katika maisha yao.
Asante Mungu kwa kuilinda miujiza hii tangu ulipoileta duniani.Watoto wamechanua wamependeza wanaonesha jinsi utukufu wako ulivyo mkuu!
Akili kama hizi, tungemuazima baba Bashite tungekuwa mbali sana.Unajiuliza kuhusu kuolewa?
Jiulize mmoja akifariki vipi mwingine atakuwa hai?
Je akiwa hai....unafikiri marehemu atazikwaje?
Mimi ni pacha ila nashukuru ckuzaliwa kama huwa wenzangu...
Share hiyo video na sisi tuwajue ambao hatuwajuiSijui ila mm niliona video yao siku ya mahafari yao
Wale wanashea mfumo mmoja so mmoja akidanji na mwingine pia.Unajiuliza kuhusu kuolewa?
Jiulize mmoja akifariki vipi mwingine atakuwa hai?
Je akiwa hai....unafikiri marehemu atazikwaje?
Mimi ni pacha ila nashukuru ckuzaliwa kama huwa wenzangu...
Wadau wa elimu habari zenu.
Naomba kuuliza iwapo wale wasichana mapacha walioungana, Maria na Consolata Mwakikuti wapo kwenye orodha ya watihiniwa wa kidato cha sita mwaka huu 2017?